Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Ubaya gan huo unaweza ku share Kwa faida ya vizazi vijavyo.....
Tukutane hapa tulioishi familia za kitajiri ila sasa maisha yametuchapa
LIKE, Kiporo na chai ya kukaanga sukari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji7]umenkumbusha mbali xn miaka 1997 nkiwa std I uko njombe... eeee Mungu wape maisha marefu wazazi wangu Sent using Jamii Forums mobile app