Kumekucha: Marekani yakiri kutuma makombora maalumu ya kutungua rada Ukraine

Hii biashara wanayofanya US Ukraine naona mwisho wake itashushwa sarmat ile mwana ukome. Russia atarudi nyuma na kuwakaanga wa Ukraine na hio itakuwa ile basi tukose wote. Maana wanarefusha vita kwa misaada isio na msingi.

Ngoja tuone wakati wa winter ukifika itakuwaje ulaya na US wakikatiwa gas.
 
... watakuambia wanasubiri majira ya baridi eti hata Hitler alipigika msimu huo. Wanajisahaulisha kwamba bila US, UK, et. al. Mrusi alikuwa anatolewa kamasi na Nazi.
du!inaelekea una vitabu vyako vya history,tofauti na vingine vyote duniani...
 
haohao pro US & NATO,russia akishusha SARMAT au SATAN 3,ndo watakuwa wa kwanza kulaumu na kulia machozi.
 
cha ajabu urusi ndio inateka maeneo ya ukraine,alafu kwa mujibu wa vyombo vya magharibi,ndio wanapigwa,,tangu vimpe ushindi MANDONGA siamini vyombo vya habari..
 
Kweli vita vya sasa ni dhidi ya Teknolojia tu! Ngoja tuone, mataifa haya mawili yenye mvutano!
 
Yale ma hima yamefeli duh aendelee kuleta machuma chuma yake ya kipumbavu tuyaharibu
sikia aibu hapo USA anasupply silaha kwa hatua kama kwenye game hatua hii ukifaulu unapewa silaha hii then mpk mwisho ila Urusi alitumia silaha hovyo hovyo tu bila mpango sass hv kaanza kuomba msaada na China hali mbaya , USA is far better than China na Russia ( hawa jamaa wana tabia za kihaya majigambo mengi sana ila uwezo sifur ) , hii vita inaenda kuwafanya Ukraine kuwa taifa hatar sana na hii ni warning kwa USA pia maana Ukraine inaenda kuwa among well trained army in Europe after ww2 so USA aangalie hili pia asije Iran ya pili Ulaya maana hata hao Iran aliwalea yeye mweneyew
 
Marekani hachoki kuwaingiza mkenge wa Ukraine. Kila wakati tunasikiaga hizo story na kila wakati matokeo yanakuaga hasi
saa 72 hadi miez 6 , km 11 kutoka kyiev had km 320 kutoka kyiev , aya tusubir tuone nan anaingia mkenge ,kambi nyingine imelipuliwa huko
 
source yako ni ipi ? wkt muda wote upo kweny western media ?
 
Umesahau propaganda zao? Ndio kwanza kinu cha nuklia kinachozalisha Umeme kimetekwa takribani wiki Sasa.
kwa akilo yako vita inapiganwa kijiji kimoja tu ? yaan kinachotokea huku basi huko kwingine kinatokea hicho hicho ? akili fupi hz , unaeza upande mmoja ukawa unafanikiwa ila upande mwingine ukawa unaferi kikubwa , urus imetolewa kyiev vita ipo huko mashariki na kusin ya Ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…