Kumekucha Mbagala: Kampuni ya MOFAT imetuma ombi LATRA kuziondoa Daladala

Ila haters wa Samia bwana, yaani mnaona sawa tu zile vurugu za hovyo hovyo za hao jamaa?!!! Yaani kusiwe na utaratibu kisa tu hatumpendi anayetawala......... pumbavu kabisa!
Kwa njia ya mwendo Kasi ipo kwa ajili ya nani?!!!!
 
Mkuu umekurupuka kujibu. Mara nyingi huwa napenda kuwaasa watu wajipe muda wa kusoma na kuelewa kabla ya kujibu lolote

Hoja ya mofat wanataka daladala zisifanye kazi kwenye njia ambayo wao wapo Kama ilivyokua kimara. Yaani kusiwepo na gari za mbagala gerezani.

Wananchi wanataka daladala ziendelee uwepo
 
Swadakta
 
Inawezekana wewe ndo hujawaelewa mofiat......umekurupushwa tu na mada ya hater wa Samia kama alivyoiandika kihatred
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…