Umesema wanaofiwa.Ubinafsi hapo upo wapi mbona watoto waliofiwa na baba zao wanaishi vizuri tu
Gharama zake zipo je?Nenda sperm banks ujichagulie baba ambae hutakaa ujue historia yake
Unafikiri ni rahisi tuu?Baba ako tulikutana somewhere
Sijawahi kumuona tena hata familia yake siijui kabisa wala sijawahi kumuona tena vp hapo?
Ipo siku nitasimulia kaka nakuahidi na nitakutag maana sio wewe tu ni wengi wamependq kujua chanzo cha jina hili.Ingebid unipe hizo tetesi kidg mkuu
Tafuta hela ukanunue mbegu mbona ipo hiyo?Wewe naona hujaelewa yaan lengo mtoto awe wako tu bila ku share
Heh haya sawa asante kwa maoni yako mkuuUmesema wanaofiwa.
Baba zao wameishakufa hivyo hawana chaguo.
Yeye analo chaguo linashikiliwa na mama yake (wewe) mpaka atakapokuwa mkubwa.
Hivi umewai kuwatuliza hao wasio na baba wakakuambia wanapenda hiyo hali?
Hawatamani kukaa na baba yao wakamuuliza maswali au kumuomba awafanyie kitu fulani?
Nimekuelewa Ila sasa kutokana na sisi binadamu tulivyo lzm tuulize baba Ake yupi mara hv hii inapelekea kutengeneza mazingira fulani ya kuonekna baba kumbe sio.... Maake ukisema nimemficha ni wachache wanaokuelewaMtoto ninaemzunguzia hapa ni hata kua na baba kabisa ili awe wangu peke yangu ndio maana yangu
Basi tena unaanza kuharibuIpo siku nitasimulia kaka nakuahidi na nitakutag maana sio wewe tu ni wengi wamependq kujua chanzo cha jina hili.
Tuombe uzima ,kikubwa nawaza nitatumia maneno gani fiche mpaka nisijulikane maana sidhani kama nitakuwa mgeni masikioni mwako
Kiongozi samahaniKamdomo kijanaπ€«
Sasa hapo uyole ukiwa makasini niambie maana nina dada angu anauza genge soko mjinga hapoππππππππHabari za bagamoyo hapo ? Nafurahia kukuona nipo Uyole hapa kuna usia wowote unaweza kunituma leo ?
Ahahahahahaha siongei sana kwa sasa ngoja niende kwa zamundaNani sasaππ we chizi mishangazi
Hapana siharibu huyo daktari lazima anijue tu .Basi tena unaanza kuharibu
ShukraniTafuta hela ukanunue mbegu mbona ipo hiyo?
Unayakuza sanaila ulale na mtu akukojolee then useme wako peke yako seriously?
Heh haya sawa asante kwa maoni yako mkuu
zaidi ya jf sikufahamu labda kukusikia km ni relevantIpo siku nitasimulia kaka nakuahidi na nitakutag maana sio wewe tu ni wengi wamependq kujua chanzo cha jina hili.
Tuombe uzima ,kikubwa nawaza nitatumia maneno gani fiche mpaka nisijulikane maana sidhani kama nitakuwa mgeni masikioni mwako
Nataka helanaPole kwa kujiamulia mambo
Sawa AsanteNimekuelewa Ila sasa kutokana na sisi binadamu tulivyo lzm tuulize baba Ake yupi mara hv hii inapelekea kutengeneza mazingira fulani ya kuonekna baba kumbe sio.... Maake ukisema nimemficha ni wachache wanaokuelewa
Kwa hivyo imeshanasa tayari na baba kashapatikana?Heh haya sawa asante kwa maoni yako mkuu
PoaAhahahahahaha siongei sana kwa sasa ngoja niende kwa zamunda
Mh unataka nikutane na dada yako kaka ,hapana sikuahidi kwenda nilidhani nionane na mzee wako labda .Sasa hapo uyole ukiwa makasini niambie maana nina dada angu anauza genge soko mjinga hapoππππππππ
Asante kwa leo inatosha.Mkuu MKANGAFFU acha hizo mimi sihusiki na hayo mambo unayasema nipo zangu navuna mahindi na kahawa hapa Rushe karagwe
Karibu kaka kilimo kinalipa sana .
Najiita nyoka maana ni jina la utani naloitwa na jamaa zangu baada ya kuwa na tabia ya kukimbia mapigano huko bar ikiwa yatatokea basi uwa napotea kama nyoka ndiyo wakasema mimi sikimbii ila natambaa kama nyoka .
Kuna lingine mkuu naweza kukusimulia ?