Kumficha Baba wa Mtoto lila ugomvi ni uamuzi sahihi au la?

Mh unataka nikutane na dada yako kaka ,hapana sikuahidi kwenda nilidhani nionane na mzee wako labda .

Hivi nashuka na hizi noah natokea Inyala ,mpange mzee tukutane hapa msikitini nawahi hapo
Mzee jau bob..
Usije ukamwambia nachofanya bagamoyo mambo yakawa mengi mkuu 😂😂😂🙌🙌🙌

Mi ni wa kwanza kwetu
 
Yesu baba ake ni nani?

Kwenye mada: sio kwamba mtoto hana baba ila anaficwa makusudi tu

Yaani mfano mimi niseme mtoto nataka ila sitaki ku share huyo mtoto na mtu awe wangu peke angu

Umeelewa?
Nenda kanunue mbegu za kiume hospital. Hili linawezekana kwa sababu wanaume wanao-donate mbegu huwa hawatajwi.
 
Ni kama unanitisha kwakweli lol
 
Siyo uamuzi wenye manufaa ya muda mrefu.

Mara nyingi atakayepata madhara zaidi kwenye situation kama hiyo siyo baba wala mama, bali ni mtoto mwenyewe, so better kufikiri mara mbili kabla ya kuamua kufanya hivyo.
 
Siyo uamuzi wenye manufaa ya muda mrefu.

Mara nyingi atakayepata madhara zaidi kwenye situation kama hiyo siyo baba wala mama, bali ni mtoto mwenyewe, so better kufikiri mara mbili kabla ya kuamua kufanya hivyo.
Nieleweshe kwa upole mtoto atapata madhara gani?

Watoto wasio na baba wanaupungufu gani?

Wanakosa nini?
 
hakuna umuhimu wala faida yoyote ya maana kufanya uamuzi mbaya kama huo, ambao daima hua ni wa kitumwa kisaikolojia kwa mama na mtoto mwenyewe asie na hatia, lakini ni uamuzi wa mbovu wa kujizolea mikosi na kuzikimbiza Baraka na Neema za Mungu kwa makusudi.

hiyo ndio inaitwa fake life with fake family
 
Nieleweshe kwa upole mtoto atapata madhara gani?

Watoto wasio na baba wanaupungufu gani?

Wanakosa nini?
Kwanza atakosa sehemu ya utambulisho wake.

Kadri watoto wanavyokua huanza kuuliza, mimi ninafanana na nani?, Familia yangu ni ipi?, Baba yangu ni nani?

Hayo ni maswali ya kawaida ya kibinadamu, kukosa majibu kunaweza kuacha pengo la kihisia kwa baadhi ya watoto.

Jambo lingine muhimu mtoto atakosa historia ya ukoo wake na taarifa muhimu za kiafya, kuna magonjwa mengine au tabia za kurithi ambazo ni muhimu kuzijua kutoka pande zote za wazazi.

Kwahiyo issue ni kama baba ni mtu mwema, mtoto anaweza kupoteza fursa ya kupata jambo la ziada ambalo lingeongeza thamani katika maisha yake.

That's the real issue.
 
Kumekua na migogoro mingi kuhusu watoto na inaumiza kicwa sasa nikaona niulize kama kuna uwezekano kwa mwanamke kujipatia mtoto wake binafsi bila ku share na baba mtu ili kuepuka migogoro inayoweza kujitokeza
Si nasikia kuna mbegu za kiume zinauzwagwa. Unajichagulia unawekewa unapata mtoto ambae hamjuani na baba. Sina hakika lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…