ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #141
Aaah okayhakuna umuhimu wala faida yoyote ya maana kufanya uamuzi mbaya kama huo, ambao daima hua ni wa kitumwa kisaikolojia kwa mama na mtoto mwenyewe asie na hatia, lakini ni uamuzi wa mbovu wa kujizolea mikosi na kuzikimbiza Baraka na Neema za Mungu kwa makusudi.
hiyo ndio inaitwa fake life with fake family
πππNitakuwa sperm donor tu.
Nachangia wazungu "natembea mberee".
Hapo soma kwa lafudhi ya Jiwe ya kisukuma.
Asantee mkuu ππKwanza atakosa sehemu ya utambulisho wake.
Kadri watoto wanavyokua huanza kuuliza, mimi ninafanana na nani?, Familia yangu ni ipi?, Baba yangu ni nani?
Hayo ni maswali ya kawaida ya kibinadamu, kukosa majibu kunaweza kuacha pengo la kihisia kwa baadhi ya watoto.
Jambo lingine muhimu mtoto atakosa historia ya ukoo wake na taarifa muhimu za kiafya, kuna magonjwa mengine au tabia za kurithi ambazo ni muhimu kuzijua kutoka pande zote za wazazi.
Kwahiyo issue ni kama baba ni mtu mwema, mtoto anaweza kupoteza fursa ya kupata jambo la ziada ambalo lingeongeza thamani katika maisha yake.
That's the real issue.
Hii hata mimi nimewahi kusikiaSi nasikia kuna mbegu za kiume zinauzwagwa. Unajichagulia unawekewa unapata mtoto ambae hamjuani na baba. Sina hakika lakini.
π€π€Mtoto atakapokua mkubwa na kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa lengo la kufunga ndoa na kaka / dada yake hapatakuwa na shida.
Kazi kweli kweliMtoto atakapokuwa na matatizo ya kiafya ambayo yanarithishwa kifamilia kutoka upande wa baba yake, madaktari hawatakuwa na shida kabisa kulijua hilo na kumtibu.
Shida sasa wanawake wanapenda kuchagua mtu wakuzaa nae.Sidhan kama wanakouza mbegu wanakupa fursa ya kuchagua mbegu za mwanaume unaetaka kupata mtoto. Maana kama huonyeshwi unaweza kupewa mbegu na kuzaa mtoto akafanana na baba yake na mwisho usimpende alivyo ikawa changamoto tena.Hii hata mimi nimewahi kusikia
Sijapanga kufanya nimeuliza mkuukuna koo damu zao hazidhulumiwi binti yangu
hicho unachokipanga kukifanya nidhuluma na hautofaidika kwa lolote
Umefanya nimechekaShida sasa wanawake wanapenda kuchagua mtu wakuzaa nae.Sidhan kama wanakouza mbegu wanakupa fursa ya kuchagua mbegu za mwanaume unaetaka kupata mtoto. Maana kama huonyeshwi unaweza kupewa mbegu na kuzaa mtoto akafanana na baba yake na mwisho usimpende alivyo ikawa changamoto tena.
Kumbe sawa babu yanguHuo ni uamuzi uliojaa ubinafsi, unamnyima haki mtoto kumfahamu baba yake. Sio uamuzi sahihi kwa mtu mwenye afya njema ya akili.
Nisamehe bure MkuuShukrani
Unayakuza sana
π usijal mkuuNisamehe bure Mkuu
Kweli ni shida pia yakuangalia kuingiziwa mbegu huzijui za nani.πUmefanya nimecheka
Hivi wewe π π πKweli ni shida pia yakuangalia kuingiziwa mbegu huzijui za nani.π
We mtumishi tulia acha wenge π πKwanini mtoto awe pekee yake, alijigegeda mwenyewe? Kama wana makubaliano ya kupeana ujauzito kisha baada ya hapo mwanaume asihangaike na chochote hapo sawa, ila kama hakuna baba ana haki ya kujulishwa kuwa kuna damu yake.
Sasa mbona mlishea mwili, we ukatanua, ye akapenya katikati.. kolabo ikiwa kwenye kuimba basi mpaka utambulisho wa wimbo kunakuwa na utambulisho.We mtumishi tulia acha wenge π π
Hakuna makubaliano yoyote
Ni mtu tu hataki heka heka za ku share
Ushauri wako sijauchukua mzee tokaaaa eboooSasa mbona mlishea mwili, we ukatanua, ye akapenya katikati.. kolabo ikiwa kwenye kuimba basi mpaka utambulisho wa wimbo kunakuwa na utambulisho.
Song: mtumishi
Artists: ShesRise_1 ft makaveli10