Vol 2
Zitupie humu..
Sawa kabisa mkuuDiblo Dibala Baba wa Solo Guitar
Dally Kimoko Kaka Mkuu wa Solo Guitar
Alain Makaba Nahodha ( Captain ) wa Solo Guitar
Ibambi Ikombi ( Roga Roga ) Balozi wa Solo Guitar
Waliobakia hapo ni Wajumbe tu sawa?
nimelitaja hapo juu..linaitwa ca v ale1. Etat major- extra
2.losambo- extra
3.titanic- wenge
4.loi -koffi
5.sala noki - defao
6.koza wangu baba...- defao
7.kuna sebene moja hivi la G7 lilitikisa miaka ya 90 mwishoni hivi nimesahau jina
Rhumba
1.omba- jb mpiana
2.feux d'lamour - jb mpiana
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Yondo sister haimbi rumba wala sebene... ile style inaitwaje sijui..ila wapo na akina soukous ,bongo man,Nimefuatilia kwa umakini na utulivu Michango yenu yote WADAU wa Bolingo kwa bahati mbaya mpaka kufikia hapa sijaona hata MDAU mmoja aliyemtaja Yondo Sister.
Vipi WADAU wa Bolingo Yondo Sister Vibao vyake havibambi?
Muziki wake unaitwa soukouss. Alibamba kwa muda mfupi.Yondo sister haimbi rumba wala sebene... ile style inaitwaje sijui..ila wapo na akina soukous ,bongo man,
Ila kiukweli kuna 2 aliziotea
1.sexy yondo
3.ngoma za kwetu
Hatari. Madilu kwenye rhumba alitisha mnoHii midundo huwa inakosha Sana moyo wangu
Dansi
1 Famille kikuta-General Defao
2 Evelyne-Aurus mabele
3 Roger Miller-Pepe kalle
4 Nadina(Swahili version)-Mbilia bel
5 double double-Nyboma
6 tremblement de terre - General Defao & big stars
7 dandy-King Kester emeneya
8 pere noel confiance- Bozi boziana
9 Gate let coin - Awilo Longomba
10 Danse ya baCongolais-Koffi Olomide
Rhumba
1 Pesa position- TPOK Jazz
2 Recto verso-JB mpiana
3 Ya Jean- Madilu
4 Muchana-Kanda Bongoman
5 Mario- Franco ft Le TPOK Jazz
6 Vita inama- Ferre Gola
7 Mamou-Franco
8 Muzina - Tabuley
9 Nasi na bali-Tshala Muana
10 victime de amour-Ferre Gola & werason
Mkuu, huyu@GENTAMYCINE ukija kwenye mambo haya, anaweza kukuliza kwa jinsi atakavyo kukumbusha nyimbo kali za ndugu zetu hao!Kweli Popoma umenikumbusha Destination. Bonge la wimbo aisee