Kumi bora yangu ya wakati wote ya nyimbo kali za muziki wa Congo

Kumi bora yangu ya wakati wote ya nyimbo kali za muziki wa Congo

Muzina ya Tabu Ley ndio wimbo wangu bora toka huko.

Basumuki baboya nzambe batala ye mpamba
Ntango ya bisengo oh oh
Kasi nkombo ya nzambe ezali ya makasi boboto
Ya yahwe ya nkembo, bakolimbisa bango
Muzinaaaa
Muzina di tata, e di mwana, e di mpeve santu
Muzina di tata nzambe oooh, ya muzina.
 
Rhumba
1.kamasutra_ferre gola
2.feux de lamour_jb mpiana
3.groundnrd_felix wazekwa
4.ikia_koffi & cindy
5.silivi_koffi olomide
6.blandine_werason
7.liputa_fally ipupa
8.aime moi_fally ipupa
9.court circuit_ferre gola
10.makolo ya masiah_simaro

Dansi

1.voyage_adoph domiguz(wenge)
2.losambo_extra music
3.ca vale_g7
4.kalay boing_wenge
5.efakata_koffi
6.titanic_wenge
7.fimbu_felix wazekwa
8.papa ngwasuma_koffi
9.philli_defao
10.la rumba_pepekale

Nb:baadhi ya majina nadhani kuna spellings nimechapia...

Baadhi unaweza kuzisikiliza na kidownload hapa Meta Connectivity



Vol 2

 
Diblo Dibala Baba wa Solo Guitar

Dally Kimoko Kaka Mkuu wa Solo Guitar

Alain Makaba Nahodha ( Captain ) wa Solo Guitar

Ibambi Ikombi ( Roga Roga ) Balozi wa Solo Guitar

Waliobakia hapo ni Wajumbe tu sawa?
Sawa kabisa mkuu
 
1. Etat major- extra
2.losambo- extra
3.titanic- wenge
4.loi -koffi
5.sala noki - defao
6.koza wangu baba...- defao
7.kuna sebene moja hivi la G7 lilitikisa miaka ya 90 mwishoni hivi nimesahau jina

Rhumba

1.omba- jb mpiana
2.feux d'lamour - jb mpiana


Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Nimefuatilia kwa umakini na utulivu Michango yenu yote WADAU wa Bolingo kwa bahati mbaya mpaka kufikia hapa sijaona hata MDAU mmoja aliyemtaja Yondo Sister.

Vipi WADAU wa Bolingo Yondo Sister Vibao vyake havibambi?
 
1. Etat major- extra
2.losambo- extra
3.titanic- wenge
4.loi -koffi
5.sala noki - defao
6.koza wangu baba...- defao
7.kuna sebene moja hivi la G7 lilitikisa miaka ya 90 mwishoni hivi nimesahau jina

Rhumba

1.omba- jb mpiana
2.feux d'lamour - jb mpiana


Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
nimelitaja hapo juu..linaitwa ca v ale
 
Nimefuatilia kwa umakini na utulivu Michango yenu yote WADAU wa Bolingo kwa bahati mbaya mpaka kufikia hapa sijaona hata MDAU mmoja aliyemtaja Yondo Sister.

Vipi WADAU wa Bolingo Yondo Sister Vibao vyake havibambi?
Yondo sister haimbi rumba wala sebene... ile style inaitwaje sijui..ila wapo na akina soukous ,bongo man,


Ila kiukweli kuna 2 aliziotea
1.sexy yondo
3.ngoma za kwetu
 
Hii midundo huwa inakosha Sana moyo wangu

Dansi
1 Famille kikuta-General Defao
2 Evelyne-Aurus mabele
3 Roger Miller-Pepe kalle
4 Nadina(Swahili version)-Mbilia bel
5 double double-Nyboma
6 tremblement de terre - General Defao & big stars
7 dandy-King Kester emeneya
8 pere noel confiance- Bozi boziana
9 Gate let coin - Awilo Longomba
10 Danse ya baCongolais-Koffi Olomide

Rhumba
1 Pesa position- TPOK Jazz
2 Recto verso-JB mpiana
3 Ya Jean- Madilu
4 Muchana-Kanda Bongoman
5 Mario- Franco ft Le TPOK Jazz
6 Vita inama- Ferre Gola
7 Mamou-Franco
8 Muzina - Tabuley
9 Nasi na bali-Tshala Muana
10 victime de amour-Ferre Gola & werason
 
Hii midundo huwa inakosha Sana moyo wangu

Dansi
1 Famille kikuta-General Defao
2 Evelyne-Aurus mabele
3 Roger Miller-Pepe kalle
4 Nadina(Swahili version)-Mbilia bel
5 double double-Nyboma
6 tremblement de terre - General Defao & big stars
7 dandy-King Kester emeneya
8 pere noel confiance- Bozi boziana
9 Gate let coin - Awilo Longomba
10 Danse ya baCongolais-Koffi Olomide

Rhumba
1 Pesa position- TPOK Jazz
2 Recto verso-JB mpiana
3 Ya Jean- Madilu
4 Muchana-Kanda Bongoman
5 Mario- Franco ft Le TPOK Jazz
6 Vita inama- Ferre Gola
7 Mamou-Franco
8 Muzina - Tabuley
9 Nasi na bali-Tshala Muana
10 victime de amour-Ferre Gola & werason
Hatari. Madilu kwenye rhumba alitisha mno
 
Kuna ngoma nyingi sana kutoka Congo unaweza kusikiliza hata mwezi ila kuna kitu kimoja tu Koffi kawashinda wengi humu sababu huyu mzee ana album zaidi ya 12 na hakuna album mbovu ni kuzidiana tu lakini huwa hakosei. Kuwa na album nyingi zenye songs nyingi na kusikilizika sio jambo dogo ni kipaji kikubwa sana. Ziko hit nyingi watu walitoa ila Koffi akishusha album utaisikiliza yote na itadumu kwa miaka. Salute
 
Back
Top Bottom