Kumlipa Clinical Officer laki 6 sio haki hata kidogo

Mbona darasa zima la watu zaidi ya 50 walikuwa wanajilaumu kwenda huko? Angalau sasa wanaanzia kamilioni na zaidi. Wakati sisi tunaanza ilikuwa laki 1!! Tukagoma, Waziri Mkuu Sumaye akasema tuache kazi twende popote kwenye mishahara mizuri. Na kweli mimi nikaondoka baada ya hayo maneno ya kifedhuli.
Wewe ni mtu wa kwanza nakusikia umesoma afya kwa bahati mbaya tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Mkuu.
 
Hahahajahah
 
Mwenye akili na aelewe
 
Anajiona anafanya kazi kubwa peke yake kumbe kuna wenzake wametulia washausoma mchezo

Huyu atakuwa dogo wa ajira mpya tu
 
Hahahahah
 
Kwahiyo msukumo wako wa kwanza kusoma afya ilikuwa mshahara?
Sio mshahara mkuu...hii wizara watu hawaoni thamani yake .......investment ya muda,pesa na resource nyingine ili uwe mhudumu wa afya tanzania hazilandani na utakachokipata.....
Passion halafu ukashindwa kumudu maisha ni uchawi tu......
 
Mpaka 2030 graduates watukawa wengi kiasi kwamba ajira zilizopo kwa sasa zisipo ongezeka mara 5 hazitawatosha hata kwa utoshelezezali wa sasa......
Endeleeni kumbeza Samia,anawatafutia fursa kwa private mnasema anazurura mara anauza nchi,,mtaongea lugha moja.
 
Kunywa pepsi nakuja kulipa
 
Hakuna kitu kigumu kama CO kwenda MD. Ukipata ni bahati ya Mungu kakuangazia tu.

Na sasa hivi CO wamejaa mtaani kama nzige.Na wengine manalipwa mpaka Laki 2 kwa mwezi kwenye vijiwe.
Kweli kabisa mkuu, kuna kijiwe fulani huko kusini CO ni laki 2 per month
 
Sio mshahara mkuu...hii wizara watu hawaoni thamani yake .......investment ya muda,pesa na resource nyingine ili uwe mhudumu wa afya tanzania hazilandani na utakachokipata.....
Passion halafu ukashindwa kumudu maisha ni uchawi tu......
Kwahiyo unakubali kuwa passion ni kitu cha kwanza kabla ya vyote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…