Kumtumia mtu mmoja [Rais Samia] kuwa mwakilishi wa jinsia nzima nchini; ni akili timamu kweli?

Wivu tuu wa wanaume uchwara,ukiacha kwamba Wameshindwa kuonesha wao wanavyofaa ila pia Wameshindwa kuonyesha jinsi Rais Samia ameshindwa.

Mengine ni blaa blaa za chuki,ukiwemo wewe hapo
 
Mwepesi kwenye nini? Unataka awe mzigo Kiaje?
Duuh, nakumbuka tu pale alipohutubia Taifa akasema

"Kuna Mtu namfahamu kwasasa yupo nje ya nchi, yeye alienda kukopa mamilioni ya fedha katika benki 5 halafu akatokomea na tunamfahamu"

Daah nilimshangaa sana Rais, sasa alituambia ili iweje kama hakumchukulia hatua? Ili walipa kodi tuumie au?

Yaani kama Rais anawafahamu mafisadi na ushahidi wa Ufisadi wao akatoa maamuzi gani?
 
Mtu amekopa pesa zake wewe ulitaka afanyaje? Waliotokomea na Trilioni 1.5 walifanywa nini? 😂😂🤣

Wajinga ndio mliwao
 
Jinsi ni nini na jinsia ni nini?
Jinsi( Gender) ni mahusiano ya kijamii na kiutamaduni yanayozingatia mgawanyi wa majukumu Kwa kuangalia maumbile ya kibayolojia/ Jinsi ( ie Mwanamke au Mwanaume)
Jinsi(Sex) ...ni hali ya kiumbe hai ima Mwanamke au Mwanaume/ kiume au kike.
Nawasilisha!
 
Sioni tofauti yoyote ile katika hizo fasili zako!
 
Naunga mkono hoja.

Kuna akina Mama makini sana hii nchi.
 
Tafadhali fafanua kuhusu "uwezo duni wa Raisi Samia".
 
Unajua hata mwanzoni mwa uongozi wa Magufuli ilisemwa hivyo hivyo kuwa kuna remote kutoka msoga, inawezekana ilikuwa kweli ila baadaye hali ikachange.
Huyu sasa atabadilika lini kama ni hivyo?
 
Samia uwezo wake duni unajulikana.

Kwani kidato cha nne si mnajua aliambulia nini?

Hana vibrant brain ya kuongoza hata udiwani , huyu anaweza kuongoza ngazi ya familia tu.

Ndio maana nasema akigombea hata udiwani uchaguzi ukasimamiwa na tume huru hashindi.
 
Huyo rais tukitake chifu usukumani ndiye Hangaya
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Kwanza tupe vigezo ulivyotumia kusema kuwa Samia ana uwezo duni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…