Kumtumia mtu mmoja [Rais Samia] kuwa mwakilishi wa jinsia nzima nchini; ni akili timamu kweli?

Tangu tulipoanza kuwa kuwawekea nafasi za viti maalum, tayari tulishakubali kwamba wao ni weak hadi hapo wanapowezeshwa(na siye wanaume)
 
Shida mnaamkia kwenye ulevi kwanza. Ndio tatizo.
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Mzee nguruvi3,wakupe maua yako,na huo ulioandika ndio ukweli wenyewe
 
Wewe msimamo wako ni upi?!,
 
Mbona Bangladesh inaongozwa na mwanamke!

New Zealand, Israel, Italy, Australia, Indonesia, Brazil, Korea Kusini, Denmark, Finland, Thailand, n.k, kote huko kumeshakuwa na viongozi wa nchi/ serikali ambao ni wanawake!

Au hujui hilo?
Nani kweli mwanamke anewahi kuiongoza Israel?, kwa nafasi gn?
 
Bado,utasema tuh, shetani lishabakia mifupa huko
 
Tafuta kazi ufanye pimbi ww, awamu hii ya samia fursa kibao 'na mama hataki wafanyabiashara tutaabike kama enzi zake dikteta mmagufuli
 
Ni ujinga tu,SAMIA anaendelea kutuambia kwamba wanawake kazi yao ni jikoni kupika tu na si kuongoza.
 
Mwepesi kwenye kila kitu kasoro mwili tu.
Kwahiyo mkuu unataka uniambie samia akitaka kuongoza kiukali na kudhibiti watu wasihojihoji kama alivyofanya magufuri hawezi?
Maana Rais akiamua hata usipomuona wala kumsikia wapo watu wenye kazi ya kushugulika na watu wanaojitoa ufahamu kama nyie mkuu.

Hebu amsheni akili kidogo tu, kwamba kuacha watu kusema, kukosoa , hadi kutukana sio kwamba mtu huyo ni mwepesi!!
Huyu n mtu wa kizazi kipya ambacho kinatamani kupewa changamoto, hivyo msijitoe ufahamu.
 
Sehemu pekee ambayo tupo juu juu kidogo ni jeshi. Jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani 🤣🤣🤣.
Jeshi hili hili linalosaka jezi zake kwa wananchi ndilo lipo nafasi ya 6 kwa ubora duniani?

Hapa Napo TUMEPIGWA kwa takwimu za kutengeneza na UVCCM 😂
 
Mimi ni mmoja wa wanaopinga na kukataa siku zote mwanamke kuchukua nafasi ya uongozi wa namba 1 wa nchi na taifa hili..

Hata nani aseme nini na kwa staili yoyote, kwangu mimi siku zote naamini mwanamke hawezi kuwa kichwa cha familia huku mwanaume akiwepo. Taifa na nchi hii nzuri ya Tanzania ni familia nzuri ambayo Mungu ametupa Watanzania..

Kumpa mwanamke nafasi ya kuwa kiongozi mkuu wa taifa hili ni kuvunja na kukiuka kanuni ya asili ya uumbaji wa Mungu na ni lazima taifa hilo lipate adhabu ya kutosha..!

Huko USA uliko kwa miaka yao yote ya kujitawala hawajawahi kufanya kosa hili pamoja na kelele zao. Alijaribu Hillary Clinton kuiwania hiyo nafasi, Lakini system inayojitambua na kuuelewa ukweli huu haikuruhusu jambo hili kutokea na haitakuja kutokea...

Na maandiko ya kitabu cha historia ya ukweli na uumbaji [Biblia] inatufundisha sana juu ya ukweli kuwa, mwanamke position yake siku zote ni ya "usaidizi" kwa mwanaume..

Akivuka mstari wa "usaidizi" na kutaka kutwaa nafasi ya mwanaume, tegemea jamii kuharibiwa. Ilitokea Kwa Mfalme Ahabu kumruhusu mkewe Jezebel kuchukua sehemu ya majukumu ya mfalme. Kilichotokea unajua bila shaka..

Najua ndugu Nyani Ngabu unaweza kuniambia yapo mataifa mengi kama India, Liberia, Germany, Uingereza na mengine ambayo yamewahi kuongozwa na wanawake na mataifa hayo yapo...

Ni kweli. Lakini makosa ya mataifa hayo hayawezi kufanya jambo lisilo halali liwe halali kwetu sisi na ndani ya taifa letu...

Hizi kelele za "gender equality" zinazopigwa na wanawake wakisaidiwa na baadhi ya wanaume, ni sauti ya shetani tu ndani ya watu hao ili kupinga uumbaji na utaratibu wa Mungu...

Usawa kati ya wanaume na wanawake upo ktk eneo moja tu kuwa sisi sote ni "mtu aliyeumbwa na Mungu" ili tutawale uumbaji wake...

Lakini tukija kwenye maswala ya obligations & duties, kila jinsia ilikuwa assigned yake. Mwanaume anasimama kama kichwa na kiongozi kwa mwanamke [final decision maker]...

Mwanamke ni msaidizi wake na atasikilizwa Kila inapohitajika lakini mwisho wa siku mwanaume atafanya maamuzi...

Hii principle ina - apply katika levels zote kuanzia ktk familia, jamii and at the national level...

Msimamo wangu huu hauna maana ya kuwa nadharau jinsia ya kike. Lakini huu ni ukweli wa asili unaotakiwa kusemwa kwa uwazi ili Kila mtu aelewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…