Yesu akamjibu shetani: Imeandikwa, Usimjaribu BWANA Mungu wako.Sasa basi Imani ya Utatu imetupiga kamba kwa sababu inasema The Father and the Son are two Separate entities
Mafunzo ya Utatu yanasema kuwa BABA siyo Mwana na Wala Siyo Roho Mtakatifu, ni three separate persons.
Mwana ana mapungufu mengi ikiwemo hajui muda wala saa ya siku ya hukumu, anasali kwa BABA, Katumwa na BABA, anaomba msaada kwa BABA.
Kwa sifa hizi Mwana hastahili kuwa Mungu maana ni mwenye madhaifu mengi!. Mungu yu mkamilifu hana pungufu hata moja!
Imagine mwana anapewa mtihani hadi na shetani, sasa Mungu gani anajaribiwa na shetani?.
Hao Waethiopia unawazungumzia hapa kihisroria wanatambua uwepo wa Kristo licha ya kutotawaliwa na Wazungu na wana mahusiano ya Kihistoria na Mashariki ya kupitia kwa Malikia wa Sheba na Mfaume Suleiman mtoto wa Mfaume Daudi kabla ya Krsito kuja!Kwa ujinga ulionao umeona kalenda ndiyo uthibitisho wa kuwepo na ni msaada kwako.
Ethiopia ni moja ya Waafrika eaofuata kalenda yao ulioswa na wewe kuwa na kalenda yako siyo kujisifu chini ya kivyli cha yesu.
Sijawahi kuandika humu kuwa mpumbavu kama wewe ufuate mizimu ya babu na bibi zako ila ninachokuandika ni uelewa wangu juu ya ASILI YA KWELI ya Mwafrika nje ya biblia unayoiamini na kuijua wewe na uliyoabdikiwa na mabwana zako na kuaminishwa ujibga.
Hivi kweli yesu angekuwa ni uhalisia wa kweli wa kwenda jwa MUNGU WA KWELI. mzungu angekuletea habari zake Afrika bure asikuuzie iwapo tu kwenda kwao ulaya unalipia?
Jitafajari!!
Sasa mwenye akili kweli atatatizwa na asili ya BINADAMU kama wewe usiye na akili unayeshindwa kutambua kitu kidogo hicho kuwa hakuna asili ya bibadamu bali kuna asili ya MTU aliyeumbwa na MUNGU WAKWELI WA WOTE WA WAKATI WOTE.Wewe mwenye akili nipe udhibitisho binadamu ametokea wapi na akili zimetoka wapi...unajua kitu kimoja kuhusu wajinga kama nyie ni kwamba mnafikiri mnajua sana science. Ila science yako haijui binadamu asili yake ni nini, wala asili ya ulimwengu...wewe na wenzako wenye mapepo hamwezi kusema chimpanzee katokea wapi na hapo alipotokea nini kimepafanya...hamwezi kusema forces of nature zimetengenezwa na nani au asili yake na mwanzo wake ni nini. Ndio naana zinaitwa theory maana hamna mwenye ushahidi...sasa mimi naamini nyumba haijajijenga yenyewe lazima kuna mjenzi wewe unaamin imejijenga yenyewe alafu unataka nibishane na wewe...nitakua sitendei haki akili yangu
Yaani ukiendelea kufikiri kupitia biblia,makanisa na ukristo nje ya "AKILI YA ASILI" uliyopewa na "MUNGU WAKO WA KWELI WA ASILI" hutokaa ujikomboe kifikira ma kuujua ukweli wa uwepo wako.Yesu akamjibu shetani: Imeandikwa, Usimjaribu BWANA Mungu wako.
Saaa shetani anajua uungu wa Yesu na kusema Ikiwa u mwana wa Mungu, na SI mwana wa Yusufu,
WEWE ushindweje kujua kuwa Yesu ilikuwa lazima ajishushe sababu Yu mfano wa wanadamu?
Uamuzi ni wako sasa, usipoteze muda π
Adam bustani ya Eden unadhani alitumia Biblia gani kuwasiliana na Mungu,Yaani ukiendelea kufikiri kupitia biblia,makanisa na ukristo nje ya "AKILI YA ASILI" uliyopewa na "MUNGU WAKO WA KWELI WA ASILI" hutokaa ujikomboe kifikira ma kuujua ukweli wa uwepo wako.
Chichidodo!!
Thibitisha Maneno yako? Kwa hiyo anataka tuamini hayo mawazo yako kuwa sijui riwaya na ujinga ujinga!Sasa mwenye akili kweli atatatizwa na asili ya BINADAMU kama wewe usiye na akili unayeshindwa kutambua kitu kidogo hicho kuwa hakuna asili ya bibadamu bali kuna asili ya MTU aliyeumbwa na MUNGU WAKWELI WA WOTE WA WAKATI WOTE.
Binadamu ni kiumbe wa kusadikika aliyebuniwa ktk riwaya ya biblia kwa kuwaaminisha waafrika wafia dini kuwa ameumbwa na Mungu wakati ni UONGO
BINADAMU ni neno lililotungwa ktk biblia likinaanisha Bin-Adamu ambapo "BIN" inamaana ya "MWANA WA" kwa upande wa vibasaba vya uumeni.
Mungu hajawahi kuumba "binadamu"" bali aliumba "MTU" ambaye ni MCHINA,MWAFRIKA,MWARABU,MUHINDI,NK.
Kwahiyo wewe kama ni "binadamu" basi ni "mwana wa adamu" na ni mzungu kwani adamu alijuwa mzungu.
MWAFRIKA yoyote ni ""MTU"" na siyo "bin-adamu" na ndiyo maana kuna "MTU WA MUNGU" hakuna "BIN-ADAMU WA MUNGU"
Tafuta ukweli wa mambo kupitia AKILI na ASILI yako siyo biblia,nakanisa na ukristo huko hakuna ukweli wa mambo.
Hapana,ni ujinga tu na uzito wabkufikiri unaokusumbua sasa kama yesu ni Mungu kwanininaitwe yesu tena wakati ni Mungu tayari?Huku nako ni kupoteza muda,
Wangemjua miungu, wasingepoteza muda kuabudu mwezi na jua kama Mungu yao.
Mungu ni mmoja tu,
Jina lake aitwa YESU KRISTO/Yeshua Hamashia
Anyway hulazimishwi kuamini,Hapana,ni ujinga tu na uzito wabkufikiri unaokusumbua sasa kama yesu ni Mungu kwanininaitwe yesu tena wakati ni Mungu tayari?
Usilishwe na kikaririshwa pasipo kujiongeza haiwezekani yesu azaliwe na bikra maria halafu bikra maria azaliwe na Mungu huyo huyo ambaye ni yesu,kuna akili hapo?
Watu wa zamani wakiwemo Babu na Bibi zako walisoma sayansi ipi na je waliweza kuishije bila huyo yesu wako?Thibitisha Maneno yako? Kwa hiyo anataka tuamini hayo mawazo yako kuwa sijui riwaya na ujinga ujinga!
Wewe unatamba hapa ni mwanasayansi leta ushahidi hapa wa mwanzo wa binadamu!
Naona ukishiba pilau na nyama hapo na sayansi yako ambayo umeisoma kwa kutumia mawazo ya wengine na akaamini anajiona unajua sana!
Wewe ni mtu mdadisi mwenye kutaka kujua mwanzo na Mungu ila umeshindwa kujua kuwa Mungu hachunguziki ndo maana wewe umesoma kisehemu kidogo sana cha Sayansi inayokufanya kujiona una akili nyingi wakati huna elimu hata asilimia 1 Sayansi ya Dunia hii!
Unadhani mimi na wewe uliyelishwa ujinga kuwa uesu ni Mungu nani ni mjing??Anyway hulazimishwi kuamini,
Baki na ujinga wako.
Ingawa nakuombea Nuru ikuzukie siku moja.
Unayeamini na kumtanguliza yesu usiye na unasaba naye na kuwadharau WAASISI/WAZAZI wako waliokuzaa ndiyo unakili kweli mbele za MUNGU WA KWELI??Anyway hulazimishwi kuamini,
Baki na ujinga wako.
Ingawa nakuombea Nuru ikuzukie siku moja.
Na una moyo sana.. Wewe ni MWALIMU!? Mimi ningeshampiga sana ngumi na kumtajia sehemu yake ya kupuuπππππππTofauti yangu ni Yako Ni kwamba Wewe Huna Hoja zaidi ya Kukimbilia Code Kwenye Vitu vilivyo wazi..
Maneno yaliyowazi hayahitaji Hoja..
Udhaifu wa Hoja Hautamkwi Mdomoni au Kalamuni Unajibiwa Kwa Hoja Zilizo Nzito zaidi yake..
Mpaka sasa Tofauti na Kusma "Yesu ni Jina Mungu" Umejibu Hoja Ipi
Mtumishi ubarikiwe sanaa... ila kabla hujafikia kuvua nguo si ungejiwahisha tu kule dodoma!? , au ndio mpaka kondoo wakufunge kamba..!? πππMkataa kwao ni mtumwa,
Mimi SI mtumwa,
Mbinguni ni kwetu, na nitarudi huko baada ya kumaliza mission YANGU duniani.
Ubarikiwe π
Kuna Mungu mmoja tu aiye juu jinalake ni Yesu.My name is Alisina and I don't believe in your god'
Sawa,Mtumishi ubarikiwe sanaa... ila kabla hujafikia kuvua nguo si ungejiwahisha tu kule dodoma!? , au ndio mpaka kondoo wakufunge kamba..!? πππ
Mafarisayo hawajawahi kuisha, wapo hata sasa,Unaniambia Mimi habari za YESU KRISTO? Wewe niite nije kukuongoza Sala ya Toba na kukubatiza kabisa
Mwambie AsomeUnayeamini na kumtanguliza yesu usiye na unasaba naye na kuwadharau WAASISI/WAZAZI wako waliokuzaa ndiyo unakili kweli mbele za MUNGU WA KWELI??