Kumwamini Mungu bila kumwamini Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach, ni kupoteza muda,moto unakusubiri

Sawa kwa udadavuzi wako hata wana wa mudi moto unawahusu pasipo wao kujua mudi aliwadanganya wakifunga ramadhan,wakioa wake wanne na kuswali x5 kwa siku wataenda paradiso
 
Hoja zako ni dhaifu sana, sababu unajatibu kutumia akili finyu ya darasani kufungua codes za Biblia.

Na hiyo ndio tofauti YANGU na yako ewe mpinga Kristo,

Yesu ni jina la Mungu tullilopewa wanadamu litupasalo kuokolewa kwalo.
Tofauti yangu ni Yako Ni kwamba Wewe Huna Hoja zaidi ya Kukimbilia Code Kwenye Vitu vilivyo wazi..
Maneno yaliyowazi hayahitaji Hoja..

Udhaifu wa Hoja Hautamkwi Mdomoni au Kalamuni Unajibiwa Kwa Hoja Zilizo Nzito zaidi yake..
Mpaka sasa Tofauti na Kusma "Yesu ni Jina Mungu" Umejibu Hoja Ipi
 
Wewe Umeandika kitu kinachoeleweka kwa mtu mwenye imani, amekuelewa.
 
Kwa hatua Uliyofikia 🀣🀣🀣🀣
Hata Kwenye Ukristo Tena Wewe Haupo 🀣🀣.usiwadanganye wenzako..

Ni Maswali ya Kitoto zaidi Kuwahi Kuulizwa kama Mwanatheolojia 🀣🀣
 
Kwa hatua Uliyofikia 🀣🀣🀣🀣
Hata Kwenye Ukristo Tena Wewe Haupo 🀣🀣.usiwadanganye wenzako..

Ni Maswali ya Kitoto zaidi Kuwahi Kuulizwa kama Mwanatheolojia 🀣🀣
Yesu ni Mungu.
Muhamad ni mtume wa waislam
 
Kwamba kusema kuzimu kuna moto, na ardhini chini ya maji kuna volcano ulio moto uwakao,

Lipi ni rahisi kwako kueleweka?
Hakuna kitu kama hicho wala Mungu hajawahi waza wazo la kikatili kama hilo
 
Hakuna kitu kama hicho wala Mungu hajawahi waza wazo la kikatili kama hilo
Mungu Enzi za Musa amewahi iamuru ardhi ifunuke watu wakamezwa hai sababu ya DHAMBI.

Mungu ni mtakatifu,haendekezi UOVU.
 
Mara nyingi vilaza ndio huwa wanapenda kuongelea mambo ya dini
 
Nlimaanisha wewe ni kilaza 😎
Hujakosea,


Kilaza hudhani wote ni vilaza wenzie,

Ni kama tu kichaa hudhani wasiookota makopo ni vichaa na wachafu!

Pole ndugu.
 
Hujakosea,


Kilaza hudhani wote ni vilaza wenzie,

Ni kama tu kichaa hudhani wasiookota makopo ni vichaa na wachafu!

Pole ndugu.
Wewe ni kilaza, na nina uhakika huna hata D mbili,
kutwa kuchwa kuongelea yesu na ngano za mashariki ya kati, sababu huna upeo kuongelea maendeleo ya elimu, wala sayansi, teknolojia na wala biashara, umejikubali
huna tofauti na washabiki wa yanga na simba.....
Na hawa hapa vilaza wenzako, ngara23 , Yesu Anakuja , MK254 , ambao mko level moja vilaza pro max
 
Akutukanaye hakuchagulii tusi
l πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…