Kuna aina za gari haipendezi kumilikiwa na mwanaume

Mawazo ya kimaskini, ujinga mwingi na utoto ndani yake kila mtu anamiliki kile anacho ona kinamfaa yeye, mfano wa kawaida tu chukulia taifa kama uingereza asilimia kubwa wanaendesha vigari vidogo vidogo na ni matajiri wakubwa vitu vingine ni kutumia akili ya kawaida tu!
 
Kwakweli hata kama mali ya mtu haina jinsia mimi siwezi kuvaa sketi na brauzia sijui...
Mmmmh hayo mabrazia yameingilia WAPI,sisi tunaongelea magari we nyabumbu sawaaa???🫵🫵🤔🥱🥱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…