baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Tueleweshe basiwewe baba mwajuma huelewi vitu vingi sana sema unajiona mjuaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tueleweshe basiwewe baba mwajuma huelewi vitu vingi sana sema unajiona mjuaji
Nikienda dukani kununua kitu kikubwa nadai risiti ila nikinunue pipi sidai risiti mm.Ulipo happy hata ukienda dukani hudai risiti,ukiuza hutoa risiti sasa kwa nini Serikali isiweke tozo?
Zinajulikana mwaka jana ni Trilioni 18 zilikusanywa na Budget ya mwaka jana iliotekelezwa ni trilioni 24, trilioni 7 kati ya 18 zilitumika kulipa deni la taifa, so effectively trilioni 11 ndio zilikuwa kwa ajili ya kufanya Mambo muhimu ya kitaifa kama Afya, Elimu, mishahara etc. Hizo nyengine tumetembeza bakuli tusaidiwe.jitahidini muwe na uwezo mkubwa wa kufikiri nchi hii inakusanya pesa nyingi sana kwa mwezi
We unamwulizaga nani? Huko kijiweni kwenu?Habari JF,
Mimi kama mtanzania wa hali ya chini nimekuwa nikifuatilia namna wananchi tunavyolipa kodi na Tozo mbali mbali lakini kuna mikopo mikubwa sana tumechukua ndani ya kipindi kifupi.
Kila nikijaribu kufuatilia pesa hizi zinatumika wapi sipati majibu sahihi, wengine wanasema JPM aliacha Nchi haina pesa kabisa hivyo zinapelekwa kwenye miradi, ukiwauliza mbona mpaka anaondoka miradi ilikuwa inaendelea vizuri? Wanakosa majibu.
Baadhi wanasema zinakwenda kwenye mirafi mipya, ukiwauliza ni miradi ipi hiyo mikubwa ya trilions of money wanakosa Jibu.
Nikajiuliza je zinakwenda kulipa mishahara ,posho na mafuta magari ya serikali nimeona bado tumekusanya pesa Nyingi.
Swali kwa wale wanaojua pesa hizi zinakwenda wapi atoe jibu tafadhari ,ili nikatwe kodi/tozo nikiwa na Amani.
Kwanza angejiuliza ni watanzania wangapi wana akaunti benki. Ni wachahe sana, sana sana ni wafanyakazi wa umma na binafsi maana lazima mshahara upitie benki. Wengine hata humu JF ni bendera fuata upepo hawana akaunti benki. Mfanyakazi lazima kila mwezi atafanya muamala hata moja akiamua kutoa mshahara wake wote vinginevyo atafanya miamala kadhaa.Hela zooote hizo zikikusanywa Hazitoshi hata budget yetu kujitegemea wenyewe, tuna tegemea wafadhili watuongezee
Nchi ina watu zaidi ya milioni 60, milioni 2 tu ndo walipakodi, hizo hela unazoona ni nyingi Hazitoshi hata kidogo.
Tra wanakusanya Around Trilioni 1, kwa mwaka ni kama Trilioni 18, Hapo Kuna Trilioni 6 mishahara na Trilioni 7 deni la Taifa, hapo Tayari umekaribia kumaliza hela yote
Bado Kuna Miradi ya Matrilioni ya Hela karibia 20 na matumizi mengine yasiyo Mishahara ya Serikali Takriban Trilioni 4.
Kasome budget yako mambo yote yameelezewa
Mkuu ukishinda million 100, serikali inakukata MSHINDI at least 12-18M.Unapolipa Kodi betting umelipa wewe imelipa kampuni ya Kubeti?
Hujanielewa concept yangu, kinachotakiwa ni VALUE sio QUANTITY ya walipaji!! Kodi ya FDIs kubwa 100 zina offset Kodi za wamachinga wote!!Sheria ya Nchi ipo wazi ukiwa unaingiza zaidi ya milioni 4 Tra inakuhusu.
Mimi ni Mfanyabiashara kuweka mambo sawa kusema Kubana biashara 100 kubwa huo ndo upuuzi wenyewe ninaoongelea hapa, kwanini walipe wachache kodi halafu wengine wasilipe? What so special kuhusu hao wengine? Hawatembei barabarani, hawaendi hospital? Hawapeleki watoto shule? Kwanini kikundi kidogo kihudumie nchi Nzima na wengine wale Bata?
Tunaishi nchi ambayo Machinga anauza begi moja 200,000 ana mabegi zaidi ya 100 na store 3, Machinga anauza sufuria hadi 80,000 kazi panga ndefu kama minara, kawaida kabisa kukuta Machinga anauza mamia ya mamilioni ya bidhaa kwa mwaka.
Kariakoo kila siku maduka yanageuka Magodown biashara zote ni za Machinga, so unahisi solution sio kuongeza wigo wa walipa kodi Bali ni kuwabana wafanya biashara wakubwa?
Hawa wadogo waachwe wanalipia hela ya Meza na kutumia mpesa?
Wasukuma mnapata tabu sana na mama yetu samia.Habari JF,
Mimi kama mtanzania wa hali ya chini nimekuwa nikifuatilia namna wananchi tunavyolipa kodi na Tozo mbali mbali lakini kuna mikopo mikubwa sana tumechukua ndani ya kipindi kifupi.
Kila nikijaribu kufuatilia pesa hizi zinatumika wapi sipati majibu sahihi, wengine wanasema JPM aliacha Nchi haina pesa kabisa hivyo zinapelekwa kwenye miradi, ukiwauliza mbona mpaka anaondoka miradi ilikuwa inaendelea vizuri? Wanakosa majibu.
Baadhi wanasema zinakwenda kwenye mirafi mipya, ukiwauliza ni miradi ipi hiyo mikubwa ya trilions of money wanakosa Jibu.
Nikajiuliza je zinakwenda kulipa mishahara ,posho na mafuta magari ya serikali nimeona bado tumekusanya pesa Nyingi.
Swali kwa wale wanaojua pesa hizi zinakwenda wapi atoe jibu tafadhari ,ili nikatwe kodi/tozo nikiwa na Amani.
huyo Jamaa ni mr PerfectMkuu ukishinda million 100, serikali inakukata MSHINDI at least 12-18M.
Kingine Kodi nyingi ni shiftable, mfano gari linapotoka kiwandani Bei yake ni million 5 lakini mpaka lifike downstream market Bei ishafika 8m hapo ukinunua wewe na kuagiza kwa CFI unakuta limefika 15M hivi unadhani hiyo 10m iliyoongezeka hakuna ushuru uliohamishwa kutoka Kwa TOYOTA kuja kwa mlaji wa mwisho??
Bei za bidhaa zote zimechajiwa kwa wazalishaji ila wao wanapouza Wana include Ile Kodi waliyokatwa so mwisho wa siku WEWE unailipa sio WAZALISHAJI tena.
no wizi 😂😂😂Wasukuma mnapata tabu sana na mama yetu samia.
Hebu tupe hizo tozo zilizoongezeka na zilizoondolewa ili tuchanjue.
Unakumbuka yule Gaidi watu wamekufa kwa stroke alopowaibia pesa mabenki?
Bureau de change ngapi alowachukulia hela zao..
MO alitoa ngapi.
Mama anaupiga mwingi, no wizi lakini kazi zinaendelea kama kawa
mi sio Msukuma mkuuWasukuma mnapata tabu sana na mama yetu samia.
Hebu tupe hizo tozo zilizoongezeka na zilizoondolewa ili tuchanjue.
Unakumbuka yule Gaidi watu wamekufa kwa stroke alopowaibia pesa mabenki?
Bureau de change ngapi alowachukulia hela zao..
MO alitoa ngapi.
Mama anaupiga mwingi, no wizi lakini kazi zinaendelea kama kawa
Kinachotakiwa ni haki kukiwa na Haki automatically makusanyo yataongezeka naongea hivi kama mfanyabiashara mzoefu nafahamu Abc za biashara,Hujanielewa concept yangu, kinachotakiwa ni VALUE sio QUANTITY ya walipaji!! Kodi ya FDIs kubwa 100 zina offset Kodi za wamachinga wote!!
Hio indirect inatokana na direct kulipa kodi, direct ametimiza wajibu wake, na toka mwanzo nimejenga hoja kodi ni ile uliolipa kwenye source ya kipato chako, ni kudanganyana ukwepe kodi ya kipato chako useme mpesa ama kununua bidhaa umelipa kodi. Logic hii ikiendelea hata Bakhresa nae hatalipa kodi, huenda na yeye atafanya miamala mikubwa kuliko sisi.Kingine unielewe, Kodi nyingi in VALUE zinatokana na indirect tax, haya matozo, Kodi za miamala, VAT kwenye bidhaa zinaingiza pesa nyingi kuliko PAYE au Corporate Tax!! Sababu Kila mtu ananunua bidhaa whether ana kazi au Hana, ila hao wanaolipa DIRECT TAX ni fraction tu ya tax base.
Mkuu unashindwa kuelewa kitu hapa, Chimbuko la hizo Shiftable tax unalosema ni wapi? Ni kulipa kodi, sababu kuna mtu analipa kodi wewe unanunua ndio maana kodi imelipwa.So ni makosa kudhani waTanzania million 30 hawalipi Kodi ilihali wananunua bidhaa ambazo kama nilivyoeleza hapo juu Zina SHIFTABLE TAX yaani mzigo wa Kodi wa mzalishaji anaishia kulipa mteja wa mwisho.
kwani dhambi ?mi sio Msukuma mkuu
Yes lakini mlipaji aliesababisha kodi iingie ni mwanzilishi wa hio biashara, usingeshinda wewe hio betting angeshinda mwengine kivyovyote kampuni ingelipa kodi, hizo kampuni zinaandika kabisa shinda donge nono milioni kadhaa kwa wiki, imeshaandikwa na inajulikana kodi italipwa that week.Mkuu ukishinda million 100, serikali inakukata MSHINDI at least 12-18M.
Kingine Kodi nyingi ni shiftable, mfano gari linapotoka kiwandani Bei yake ni million 5 lakini mpaka lifike downstream market Bei ishafika 8m hapo ukinunua wewe na kuagiza kwa CFI unakuta limefika 15M hivi unadhani hiyo 10m iliyoongezeka hakuna ushuru uliohamishwa kutoka Kwa TOYOTA kuja kwa mlaji wa mwisho??
Bei za bidhaa zote zimechajiwa kwa wazalishaji ila wao wanapouza Wana include Ile Kodi waliyokatwa so mwisho wa siku WEWE unailipa sio WAZALISHAJI tena.
Dhu.... Hiyo katuni mbona imefanana na Waziri flani mstaafu.... Au ni macho yangu tu.
Hii nchi inajenga madarasa miaka yote.... Yaani toka Nyerere. Ina maana population yetu inakuwa kwa speed kubwa kuliko nchi nyingine au ni mipango yetu mibovu?Kujenga madarasa
🤣🤣🙌Wewe hesabu ma V8 mkuu wala usiumize sana kichwa.