Dei Gratia Rex
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 423
- 696
Kwhy hayo maelezo yapo kwenye vifungu vya sheria kbs.Hazihusiki ila kama watoto hawajafika umri wa mtu mzima izo mali zinakua chini ya uangalizi wa mama yao.
Kwa mwanaume sio salama sana kuandikisha mali majina ya watoto maana watoto na mama yao lao moja halafu si unajja kuna suala la kubambikiwa watoto unalea unarithisha mali kumbe sio mabao yako
Soma vizuri Sheria ya Ndoa Mwanamke ana haki zake na mwanaume ana haki zake.Hakuna sheria ya ndoa inayolinda masilahi ya mwanaume
Sasa hiyo ni Kama bahati tu kwako.Nimeoa 2010..kabla ya hapo nilimiki nyumba na kigari limoja...then baada ya kuona Kwa Kasi pamoja na juhudi mambo yaakanza kubadilika sana...milango ya baraka kibao ikafunguka..kazi cheo kikapanda,biashara zikashamiri...tukaongea nyumba na magari..mtoto WA kwanza akazaliwa..
Mwaka 2014 nikapta pigo..baba yangu alikuja kututembelea....baada ya wiki mbili akaugua sana...nikaondoka nae kwenda India.. Huku nyuma nikamuacha wife pamoja na kazi yake lakini pia alisimamia biashara +kilimo .mzee amekaa India miezi mitano ... mzee akawa hajapona tukashauriwa twende. South Africa..mwez December mzee akafariki..nikasafirisha had mwanza home..usiku wife akanifata akaniembia twende kwenye gar Nina maongezi na wewe...akaniambia pole sana najua umeuguza baba mda mrefu pole sana...akaniambia alvyoambana na kilimo Cha vitunguu,viaz mviringo ..akaniambia Kuna Hela kidogo nimekuja nayo ya kisaidia msiban..akaenda ndani akaja na kibegi kidogo...kujifungua haloooo...kimenonanikamuilkza ni kias Gani hiki akasema niliona 60 hizi ni za vitunguu tu...za viazi ziko bank...nilichofanya nikambusu kwenye paji la uso na nikamfanyia Ishara ya msalaba pale kwenye paji la uso ..
Kuna kipindi nilichepukaga nikazaa nje..kipindi Niko nje Nauguza alienda akamchukua mtotokwa mama yake...korosho safi..amefanya mengi,mengi sana....mpaka leo tuko vyema na mambo yanenda kama kawa...Kwa kushirikiana nae tumeweza kufanya mengi...
Mtu kuleta mada sijui wanawake nyenyenyenye.....sijui ndoa hazifa..kataa ndoa..mara sijui nini..namwangalia huku jicho Moja nimefunga..
Mwanaume Baki kwenye nafasi yako..tengeneza misingi ambayo kwayo mkeo atatembelea na kuifata .simamia unachokiamini..zungumza na mke(sio kuongea..wanaondoa hawaongei)..mfanye mke awe rafiki yako WA kwanza lakini timiza wajibu wako vizuri...kumbuka Pia mwanaume ndie kiumbe pekee anayepokea LAWAMA nyingi Lakin LAWAMA hizo zote yeye huona ni Sifa....
Sasa wewe ukioa MKE MKE au mke mke wetu lazima utoe kilio Kikubwa inafaa uone MKE MKEO...
Unavyosema mchango wa kitaaluma unamaanisha nini?Katika iyo safari mwanamke alikua na mchango wa kiuchumi au kotaaluma?
Consultation, mentoring, advices kuhusu mishe za pesa za mumewe.Unavyosema mchango wa kitaaluma unamaanisha nini?
Umerogwa wewe sio bureMkuu Kwann utumie hela hovyo mwanamke ndio awe budget manager wako uko serias
Soma vZuri mkuu nimemaanisha mwanamke anatakiwa kupangiwa namna ya kutumia fedha sio mwanaumeUmerogwa wewe sio bure
Here we have "it's always a man's fault mentality"...Siku zote chanzo huwa ni nyie, hawezi chepuka bila sababu yoyote ile ilhali alikupenda na akakubali kuolewa na wewe
Nisamehe mkuu, nilikurupuka kumbe... Sikijua kwamba na wewe ulikuwa unamshangaaSoma vZuri mkuu nimemaanisha mwanamke anatakiwa kupangiwa namna ya kutumia fedha sio mwanaume
Hao kwanza ndoa kwao sio kipaumbele kabisa, yaani kitu ndoa au mahusiano ni kitu Cha ziada sana kwenye maisha yao.Unataka Kusema wanawake wa Sasa waliokomboka wako vipi kimtazamo
Napenda wanawake wasomiHao kwanza ndoa kwao sio kipaumbele kabisa, yaani kitu ndoa au mahusiano ni kitu Cha ziada sana kwenye maisha yao.
Wao focus ya kubwa wameiweka kutimiza malengo yao binafsi ambayo ni careers zao na kuwa na pesa za kutosha kiasi Cha kuishi maisha ya anasa wanayotaka... Na hata wakiingia kwenye ndoa mara nyingi Inakuwa ni kwa ajili ya kutimiza hivyo viwili nilivyo bold hapo, yaani ndoa kwao ni kama daraja la kufikia kwenye matamanio yao.
Na ndio maana wao ndio kundi la wanawake wanaoongoza kuomba talaka kwa waume zao, na haijalishi hata wewe mwanaume umpende vipi au umtii vipi(yes wanaume siku hizi wanawatii wake zao) siku akishaona tu ndoto zake binafsi zimetimia au zinaelekea kutimia utakuwa ndio muda muafaka wa kuachana na ndoa... Hivyo atatafuta kijisababu chochote tu Cha kuvunja ndoa na hawezi kukosa sababu.
Hajaelewa chochote kwenye hii mada Huyo Falla, si unaona hata alivyojibu kwa mihemko utafikiri kahaba aliyekimbiwa na mteja Gest.Umeelewa mada?
Wako wengi sana sokoni ni wewe tu kujichagulia, maana kwa wasomi wenzao hawana soko.Napenda wanawake wasomi
Kujishusha (ikizingatiwa mm ni msukuma ss wasukuma tuna hulka ya ubabe)Wako wengi sana sokoni ni wewe tu kujichagulia, maana kwa wasomi wenzao hawana soko.
Ila tu kaa ukifahamu hayo niliyokwambia hapo.
Na pia kubwa zaidi ukitaka kudumu nae kubali kuwa mke halafu yeye awe mume(naomba unielewe vizuri hapa).
Mm ni msomi Ila nimeanza kuona wasomi wa kike ni wa shenzi kiakiliKujishusha (ikizingatiwa mm ni msukuma ss wasukuma tuna hulka ya ubabe)
Wewe nae bwana Sasa ndio swali gani hili??U
Ulishawahi kuona Tajiri ambaye hana Mke?
Kujishusha (ikizingatiwa mm ni msukuma ss wasukuma tuna hulka ya uba cc
Haa wapi hakuna ukweli wowote kwenye haya ulioandika tukianza na hiyo mifano yako...Twende na huyo huyo vunja bei.. kuna watu wamejaliwa maakili ya biashara, haipingiki. Kila wanachogusa kinageuka dhahabu, na hapo hajaoa. Akioa sasa anachpata kinaongezeka maradufu. Chukua mfano wa Jeff wa amazon au Elon Musk wenye utajiri wa kutisha, mali nyingi zaidi waliweza kutengeza kipindi wapo na wake zao kuliko walivyokuwa peke yao