Nimeoa 2010..kabla ya hapo nilimiki nyumba na kigari limoja...then baada ya kuona Kwa Kasi pamoja na juhudi mambo yaakanza kubadilika sana...milango ya baraka kibao ikafunguka..kazi cheo kikapanda,biashara zikashamiri...tukaongea nyumba na magari..mtoto WA kwanza akazaliwa..
Mwaka 2014 nikapta pigo..baba yangu alikuja kututembelea....baada ya wiki mbili akaugua sana...nikaondoka nae kwenda India.. Huku nyuma nikamuacha wife pamoja na kazi yake lakini pia alisimamia biashara +kilimo .mzee amekaa India miezi mitano ... mzee akawa hajapona tukashauriwa twende. South Africa..mwez December mzee akafariki..nikasafirisha had mwanza home..usiku wife akanifata akaniembia twende kwenye gar Nina maongezi na wewe...akaniambia pole sana najua umeuguza baba mda mrefu pole sana...akaniambia alvyoambana na kilimo Cha vitunguu,viaz mviringo ..akaniambia Kuna Hela kidogo nimekuja nayo ya kisaidia msiban..akaenda ndani akaja na kibegi kidogo...kujifungua haloooo...kimenonanikamuilkza ni kias Gani hiki akasema niliona 60 hizi ni za vitunguu tu...za viazi ziko bank...nilichofanya nikambusu kwenye paji la uso na nikamfanyia Ishara ya msalaba pale kwenye paji la uso ..
Kuna kipindi nilichepukaga nikazaa nje..kipindi Niko nje Nauguza alienda akamchukua mtotokwa mama yake...korosho safi..amefanya mengi,mengi sana....mpaka leo tuko vyema na mambo yanenda kama kawa...Kwa kushirikiana nae tumeweza kufanya mengi...
Mtu kuleta mada sijui wanawake nyenyenyenye.....sijui ndoa hazifa..kataa ndoa..mara sijui nini..namwangalia huku jicho Moja nimefunga..
Mwanaume Baki kwenye nafasi yako..tengeneza misingi ambayo kwayo mkeo atatembelea na kuifata .simamia unachokiamini..zungumza na mke(sio kuongea..wanaondoa hawaongei)..mfanye mke awe rafiki yako WA kwanza lakini timiza wajibu wako vizuri...kumbuka Pia mwanaume ndie kiumbe pekee anayepokea LAWAMA nyingi Lakin LAWAMA hizo zote yeye huona ni Sifa....
Sasa wewe ukioa MKE MKE au mke mke wetu lazima utoe kilio Kikubwa inafaa uone MKE MKEO...