Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Hazihusiki ila kama watoto hawajafika umri wa mtu mzima izo mali zinakua chini ya uangalizi wa mama yao.

Kwa mwanaume sio salama sana kuandikisha mali majina ya watoto maana watoto na mama yao lao moja halafu si unajja kuna suala la kubambikiwa watoto unalea unarithisha mali kumbe sio mabao yako
Kwhy hayo maelezo yapo kwenye vifungu vya sheria kbs.
 
Hakuna sheria ya ndoa inayolinda masilahi ya mwanaume
Soma vizuri Sheria ya Ndoa Mwanamke ana haki zake na mwanaume ana haki zake.

Pande zote mbili zisipotimiza haki hizo zitawajibishwa kisheria.

Sheria ni kwa watu wote na si mtu mmoja kila mtu ana haki kisheria.

Nyie mmejiweka upande wa kuonewa ndio maana.
 
Nimeoa 2010..kabla ya hapo nilimiki nyumba na kigari limoja...then baada ya kuona Kwa Kasi pamoja na juhudi mambo yaakanza kubadilika sana...milango ya baraka kibao ikafunguka..kazi cheo kikapanda,biashara zikashamiri...tukaongea nyumba na magari..mtoto WA kwanza akazaliwa..
Mwaka 2014 nikapta pigo..baba yangu alikuja kututembelea....baada ya wiki mbili akaugua sana...nikaondoka nae kwenda India.. Huku nyuma nikamuacha wife pamoja na kazi yake lakini pia alisimamia biashara +kilimo .mzee amekaa India miezi mitano ... mzee akawa hajapona tukashauriwa twende. South Africa..mwez December mzee akafariki..nikasafirisha had mwanza home..usiku wife akanifata akaniembia twende kwenye gar Nina maongezi na wewe...akaniambia pole sana najua umeuguza baba mda mrefu pole sana...akaniambia alvyoambana na kilimo Cha vitunguu,viaz mviringo ..akaniambia Kuna Hela kidogo nimekuja nayo ya kisaidia msiban..akaenda ndani akaja na kibegi kidogo...kujifungua haloooo...kimenonanikamuilkza ni kias Gani hiki akasema niliona 60 hizi ni za vitunguu tu...za viazi ziko bank...nilichofanya nikambusu kwenye paji la uso na nikamfanyia Ishara ya msalaba pale kwenye paji la uso ..
Kuna kipindi nilichepukaga nikazaa nje..kipindi Niko nje Nauguza alienda akamchukua mtotokwa mama yake...korosho safi..amefanya mengi,mengi sana....mpaka leo tuko vyema na mambo yanenda kama kawa...Kwa kushirikiana nae tumeweza kufanya mengi...
Mtu kuleta mada sijui wanawake nyenyenyenye.....sijui ndoa hazifa..kataa ndoa..mara sijui nini..namwangalia huku jicho Moja nimefunga..
Mwanaume Baki kwenye nafasi yako..tengeneza misingi ambayo kwayo mkeo atatembelea na kuifata .simamia unachokiamini..zungumza na mke(sio kuongea..wanaondoa hawaongei)..mfanye mke awe rafiki yako WA kwanza lakini timiza wajibu wako vizuri...kumbuka Pia mwanaume ndie kiumbe pekee anayepokea LAWAMA nyingi Lakin LAWAMA hizo zote yeye huona ni Sifa....
Sasa wewe ukioa MKE MKE au mke mke wetu lazima utoe kilio Kikubwa inafaa uone MKE MKEO...
 
Sasa hiyo ni Kama bahati tu kwako.
Kuna ambao wameoa vichwa vibovu na wanapelekeshwa hatare.
Mfano hapo kwenye kuzaa nje kuna mwingine angetaka umueleze vizuri kwanini ulim cheat.
 
Siku zote chanzo huwa ni nyie, hawezi chepuka bila sababu yoyote ile ilhali alikupenda na akakubali kuolewa na wewe
Here we have "it's always a man's fault mentality"...

Kwa hiyo maovu au upumbavuu wowote atakaoufanya mwanamke chanzo Chake ni mwanaume sio???

Yaani kwamba wewe unajijua kabisa umeolewa, leo hii umeamua kuchepuka na Ex-boyfriend wako hadi ukapata mimba ya huyo Ex-wako, kisha mimba hiyo ukaamua kunibambikizia Mimi mume wako....

Haya mtoto amezaliwa ikabainika kwamba sio wangu ni wa Ex-wako, halafu uanze kusema eti Mimi ndio chanzo Cha wewe kuniletea mtoto wa nje?... Yaani kivipi?

Yaani kwamba nyie wanawake hamuwezi mkafanya ushenzi au ujinga kwa utashi wenu nyie mwenyewe na badala yake lazima msababishi wake awe ni mwanaume???? Kwamba nyie ni marobot mnachokifanya sio akili zenu Bali Kuna mtu amekuwa ameshika remote au??

Aisee @Bintikiziwi Hawa ndio wanawake wa kileo ambao mnawashauri vijana eti wawaoe??? Kwa akili hizi za kipuuzi namna hii?
 
Unataka Kusema wanawake wa Sasa waliokomboka wako vipi kimtazamo
Hao kwanza ndoa kwao sio kipaumbele kabisa, yaani kitu ndoa au mahusiano ni kitu Cha ziada sana kwenye maisha yao.

Wao focus ya kubwa wameiweka kutimiza malengo yao binafsi ambayo ni careers zao na kuwa na pesa za kutosha kiasi Cha kuishi maisha ya anasa wanayotaka... Na hata wakiingia kwenye ndoa mara nyingi Inakuwa ni kwa ajili ya kutimiza hivyo viwili nilivyo bold hapo, yaani ndoa kwao ni kama daraja la kufikia kwenye matamanio yao.

Na ndio maana wao ndio kundi la wanawake wanaoongoza kuomba talaka kwa waume zao, na haijalishi hata wewe mwanaume umpende vipi au umtii vipi(yes wanaume siku hizi wanawatii wake zao) siku akishaona tu ndoto zake binafsi zimetimia au zinaelekea kutimia utakuwa ndio muda muafaka wa kuachana na ndoa... Hivyo atatafuta kijisababu chochote tu Cha kuvunja ndoa na hawezi kukosa sababu.
 
Mnazidi kunichanganya hadi Sasa naanza kuhairisha kuoa

Napenda wanawake wasomi
 
Umeelewa mada?
Hajaelewa chochote kwenye hii mada Huyo Falla, si unaona hata alivyojibu kwa mihemko utafikiri kahaba aliyekimbiwa na mteja Gest.

Si ajabu na yeye anajiona ana akili kisa anaishi na mwanamke ndani wakati anaonekana ni mwehu tu.

Halafu kama umegundua kitu mada za aina hii hao married men ndio huwa wanazipinga kwa jazba na mihemko sana, Tena mara nyingi comments zao hata huwa hazieleweki unakuta ziko nje kabisa ya mada zimejaa hasira... Yaani mpaka Kuna muda huwa nahisi yawezekana labda na wao huwa wanaingia period kama wake zao na ule muda wakiwa wanaandika comment hapa wanakuwa kwenye heat😆😆😆😆😆😆
 
Napenda wanawake wasomi
Wako wengi sana sokoni ni wewe tu kujichagulia, maana kwa wasomi wenzao hawana soko.

Ila tu kaa ukifahamu hayo niliyokwambia hapo.

Na pia kubwa zaidi ukitaka kudumu nae kubali kuwa mke halafu yeye awe mume(naomba unielewe vizuri hapa).
 
Kujishusha (ikizingatiwa mm ni msukuma ss wasukuma tuna hulka ya ubabe)
 
Twende na huyo huyo vunja bei.. kuna watu wamejaliwa maakili ya biashara, haipingiki. Kila wanachogusa kinageuka dhahabu, na hapo hajaoa. Akioa sasa anachpata kinaongezeka maradufu. Chukua mfano wa Jeff wa amazon au Elon Musk wenye utajiri wa kutisha, mali nyingi zaidi waliweza kutengeza kipindi wapo na wake zao kuliko walivyokuwa peke yao
Haa wapi hakuna ukweli wowote kwenye haya ulioandika tukianza na hiyo mifano yako...

Elon Musk kipindi Bado Yuko kwenye ndoa alikuwa hata hayumo kwenye list ya matajiri 1000 na Wala alikuwa hata hajulikani kihiivyo... Kwa hiyo utajili wake umekua kwa Kasi kipindi ambacho ameshatoka kwenye ndoa, same to Jeff Bezos, kipindi ambacho anaachana na mkewe Mackenzie utajiri wake ulikuwa ni $160b, wakagawana Mali akayumba kidogo, ila leo hii Bezo utajiri wake ni $204b, hii tafsiri yake ni kwamba endapo kama wasingegawana Mali na yule mkewe leo hii pengine angekuwa na networth ya $300b+.

Kwa ufupi tu ndoa uhususani kwa miaka hii Haina faida yoyote kwa mwanaume zaidi ya kumtia hasara na kumtia umasikini, kwa sababu wanawake nyie wa Sasa ni liability yaani hamna faida kwa mwanaume zaidi ya kumzalia watoto na penyewe hata hao watoto unaweza ukazaa na Ex-boyfriend wako kisha ukambambikizia yeye.

Mimi sipingi watu kuoa, ila napenda tu wajue kwamba wanaoa ila wasiwe na mategemeo makubwa kama wanavyoaminishwa sijui ndoa ni baraka na blah..blah zingine kama hizo.

Mimi kama ni kuoa nitaoa mwanamke wa kunipa punziko la nafasi tu basi na sitahitaji mwanamke mwenye mambo mengi.
 
Back
Top Bottom