Msumari Wa Shaba
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 595
- 786
Ushauri mzuri sanaNilishampiga mil 20 sport bet sasa hivi namfukuzia nimpasue mil 123.
Pesa ya kamari haikai bora ajenge nyumba chap apangishe asijaribu kuifanyia biashara kwa sababu hii pesa haikai kabisa. Ajenge au anunue nyumba
Hela ya bet Huwa haikai muda si mrefu inapuputika pasipo eleweka
Hiyo hela ikipukutika uje utoe ushuhuda usinyamaze...tupo hapa.Sio kweli
mwambie akamtongoze WEMA SEPETU ndo ajua kwamba hiz ni milioni 35 ,au 350,000.......Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29
Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa.
Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani
Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana?
kabisa.Aache kubeti, hatopata tena kiasi kama hicho
Stake 20kStake ilikuwa sh ngapi?
Ajenge nyumba ya kawaida pesa ya betting sio ya kuangalia inaisha chapAtafute biashara au afungue fixed ac bank aweke km10 milion zen baada ya miaka atapata faida au anunue hisa
Ila usimshauri ajenge maana akienda kujenga ataishia kumiliki nyumba afu atarudi kwenye umaskini na kibaya zaidi anaweza akaiingiza iyo pesa kwa ujenzi na mwisho wa sku akajikuta nyumba inaishia kwenye renta
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.Sawa mkuu nitamshauri
Haupo sawa kichwaniBahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.
Sawa mkuuKama hajui la kufanya aweke kwanza bank fixed au Utt atulie akijitafuta. Pesa haiji mara mbili mbili kirahisi hivyo asichezee nafasi. Halafu asipige sana kelele kuwa ameshinda.
Pesa haikai au ni matumizi ya hovyo ya mhusikaNilishampiga mil 20 sport bet sasa hivi namfukuzia nimpasue mil 123.
Pesa ya kamari haikai bora ajenge nyumba chap apangishe asijaribu kuifanyia biashara kwa sababu hii pesa haikai kabisa. Ajenge au anunue nyumba