Kuna dogo kashinda Millioni 58 kwa kubeti. Mnashauri nini?

Mwambie atafute mkeka mmoja wa maana aweke yote anapata faida zaidi
 
Atulie kwanza TRA wachukue Chao haiwezi kubaki 58mil..then kilichobaki ndio atulize nacho akili. Ikanuwekezaji wa hela ya betting aiweke kwenye gvt compound bond..awe anavuna mshahara wake.
 
Ana stake 1m?
 
Wanaoshinda huwa niwachache. Nirahisi kuzaliwa na mpiga kura ila nivigumu kuzaliwa na kiongozi
 
Hisa za CRDB za 55 M. Hiyo 3 akaupe mwili pole aendelee na maisha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…