Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
ephen_ kauliza kwanini hao watutsi wanawapaka uchafu watoto wachanga.Ephen ameandika hapa tayari au unataka iandikwe huko halafu iletwe na majahazi kama kitangulizi cha ukoloni tena?
Haya thibitisha kuwa andiko lako ni sahihi na hiyo damu ipo wapi tuipakeephen_ kauliza kwanini hao watutsi wanawapaka uchafu watoto wachanga.
Siyo kwamba kaleta andiko linalowataka mpake watoto hiyo damu na kueleza faida zake. Yeye kauliza, hajaleta andiko ambalo kalifanyia utafiti na kapata matokeo sasa nae kawa mtume kaja na andiko lake.
Kasome injili ya Luka mtakatifu.Haya thibitisha kuwa andiko lako ni sahihi na hiyo damu ipo wapi tuipake
NimeaminiKuhusu madarasa kuwa na 15 yrs na kuwa form six unaweza ukaona chai
Ila huyo dg alikuwa anasoma Uganda alisoma mpaka darasa la nne kisha akaja huku Tanzania akingizwa form two
Amezaliwa mwaka 2009
Alikuwa anasoma uganda mwaka 2020 ilipotokea mripuko wa Corona Shule zilifungwa .
Hivyo akaamua kurudi Tanzania wakati Shule zinafungwa alikuwa Darasa la tano hivyo alipofika Tz kuna Mwalimu alimchukua akasema wamuingize form two
So amerukishwa madarasa na sasa yupo anamalizia form six
Kwenye jamii vipo na vinafanyikaInakuaje vipo ila havithibitiki bwashee?
Ni ujinga tu.Kuna baadhi ya mama huwapaka watoto wao damu inayotoka ukeni punde baada ya kutoka kujifungua.
Kwa nilivyosikia hii kitu ipo sana kwenye jamii ya Watutsi.
Wanasema punde mama anavyokabidhiwa mtoto wake basi hufanya kitu hiki huku akinenea maneno.
Inasaidia mtoto asipate husda yoyote inayosababishwa na walimwengu.
Watu waliofanyiwa kitu hiki huwa hawarogeki, wengine wanakua na nyota kali sana.
Chochote kibaya kinachowapata labda akisababishe mwenyewe ila sio kwa kusababishiwa na watu.
Hii ishu nimeisikia mara mbili, na jamii hizo hufanya jambo hili kwa siri ndio maana sio kila mtu anajua kuhusu hii mila au desturi.
Nikaona nije kuuliza humu sababu kuna wajuzi wa mambo.
Naomba kujua ukweli wa jambo hili.
Mshana Jr LIKUD GENTAMYCINE mdukuzi ngara23 Kapeace
Pengine inawezekana ni kweli hao Watutsi hupaka damu ya uzazi kwa watoto wao.
Ndio nasikia Leo,labda ni mila.ya kwenu huku kwetu haipo.Kuna baadhi ya mama huwapaka watoto wao damu inayotoka ukeni punde baada ya kutoka kujifungua.
Kwa nilivyosikia hii kitu ipo sana kwenye jamii ya Watutsi.
Wanasema punde mama anavyokabidhiwa mtoto wake basi hufanya kitu hiki huku akinenea maneno.
Inasaidia mtoto asipate husda yoyote inayosababishwa na walimwengu.
Watu waliofanyiwa kitu hiki huwa hawarogeki, wengine wanakua na nyota kali sana.
Chochote kibaya kinachowapata labda akisababishe mwenyewe ila sio kwa kusababishiwa na watu.
Hii ishu nimeisikia mara mbili, na jamii hizo hufanya jambo hili kwa siri ndio maana sio kila mtu anajua kuhusu hii mila au desturi.
Nikaona nije kuuliza humu sababu kuna wajuzi wa mambo.
Naomba kujua ukweli wa jambo hili.
Mshana Jr LIKUD GENTAMYCINE mdukuzi ngara23 Kapeace
Mh! unatufukuza wachawi sasa nani atakujibu...??Kaa mbali na huu uzi, usiniletee pigo za Uchawi hakuna sijui ujinga wa Watanzania.
Hayo hayo wanayosemaga kila siku mara sijui husda, kurogwa, magonjwa n.k.. yule manzi kutokea ngarenaro nilishindwana naye hapo tu.. alikuwa na mambo ya kiswazi sana... simlaumu sana mitaa aliyokulia ndio chanzo.Inasaidia nini🤣
I was today's years old when I learned this... Anyway, labda watuambie Warutsi, sijui kama hiyo mila ipo TanzaniaKuna baadhi ya mama huwapaka watoto wao damu inayotoka ukeni punde baada ya kutoka kujifungua.
Kwa nilivyosikia hii kitu ipo sana kwenye jamii ya Watutsi.
Wanasema punde mama anavyokabidhiwa mtoto wake basi hufanya kitu hiki huku akinenea maneno.
Inasaidia mtoto asipate husda yoyote inayosababishwa na walimwengu.
Watu waliofanyiwa kitu hiki huwa hawarogeki, wengine wanakua na nyota kali sana.
Chochote kibaya kinachowapata labda akisababishe mwenyewe ila sio kwa kusababishiwa na watu.
Hii ishu nimeisikia mara mbili, na jamii hizo hufanya jambo hili kwa siri ndio maana sio kila mtu anajua kuhusu hii mila au desturi.
Nikaona nije kuuliza humu sababu kuna wajuzi wa mambo.
Naomba kujua ukweli wa jambo hili.
Mshana Jr LIKUD GENTAMYCINE mdukuzi ngara23 Kapeace
Ramadhan kareem shekhe.Unamuamini mtu wa Kwanza ( Nesi/ Mkunga sijui ) anaebeba mtoto wako na kukukabidhi ?
Unajifunza Nini juu ya vilema wanavyozaliwa navyo watu ?
Unajifunza Nini wazee wanapokuambia bariki chombo kabla hakija beba mzigo ?.
Maneno ya wazee hayaanguki hovyo Kama embe bovu.
Kuna ile uchagani watoto wakiota meno ya juu kwanz ni laana na nuksi😂Pengine inawezekana ni kweli hao Watutsi hupaka damu ya uzazi kwa watoto wao.
Kama ni kweli, Basi huo ni utamaduni wao na uhuru wao wa kimila kufanya hivyo.
Lakini hakuna ukweli wowote kwamba hiyo damu ya uzazi itawakinga hao watoto na husda za walimwengu.
Hizo ni imani zao uchwara tu zisizo na ukweli wowote.
Hata uchagani miaka ya zamani walikuwa wanaamini kuzaa watoto mapacha ni nuksi kwenye ukoo.
Hivyo ilikuwa ukizaa watoto mapacha, wanamuua mtoto(pacha) mmoja wakiamini eti wanafuta laana kwenye ukoo.
Kumbe ni mila uchwara tu za kijinga.