Kuna faida gani kumpaka mtoto aliyezaliwa damu ya uzazi?

Ephen ameandika hapa tayari au unataka iandikwe huko halafu iletwe na majahazi kama kitangulizi cha ukoloni tena?
ephen_ kauliza kwanini hao watutsi wanawapaka uchafu watoto wachanga.
Siyo kwamba kaleta andiko linalowataka mpake watoto hiyo damu na kueleza faida zake. Yeye kauliza, hajaleta andiko ambalo kalifanyia utafiti na kapata matokeo sasa nae kawa mtume kaja na andiko lake.
 
Haya thibitisha kuwa andiko lako ni sahihi na hiyo damu ipo wapi tuipake
 
Kuhusu madarasa kuwa na 15 yrs na kuwa form six unaweza ukaona chai

Ila huyo dg alikuwa anasoma Uganda alisoma mpaka darasa la nne kisha akaja huku Tanzania akingizwa form two

Amezaliwa mwaka 2009
Alikuwa anasoma uganda mwaka 2020 ilipotokea mripuko wa Corona Shule zilifungwa .

Hivyo akaamua kurudi Tanzania wakati Shule zinafungwa alikuwa Darasa la tano hivyo alipofika Tz kuna Mwalimu alimchukua akasema wamuingize form two

So amerukishwa madarasa na sasa yupo anamalizia form six
Nimeamini
 
Kuna baadhi ya mama huwapaka watoto wao damu inayotoka ukeni punde baada ya kutoka kujifungua.

Kwa nilivyosikia hii kitu ipo sana kwenye jamii ya Watutsi.
Wanasema punde mama anavyokabidhiwa mtoto wake basi hufanya kitu hiki huku akinenea maneno.

Inasaidia mtoto asipate husda yoyote inayosababishwa na walimwengu.
Watu waliofanyiwa kitu hiki huwa hawarogeki, wengine wanakua na nyota kali sana.
Chochote kibaya kinachowapata labda akisababishe mwenyewe ila sio kwa kusababishiwa na watu.

Hii ishu nimeisikia mara mbili, na jamii hizo hufanya jambo hili kwa siri ndio maana sio kila mtu anajua kuhusu hii mila au desturi.

Nikaona nije kuuliza humu sababu kuna wajuzi wa mambo.
Naomba kujua ukweli wa jambo hili.
Mshana Jr LIKUD GENTAMYCINE mdukuzi ngara23 Kapeace
Ni ujinga tu.
 
Pengine inawezekana ni kweli hao Watutsi hupaka damu ya uzazi kwa watoto wao.

Kama ni kweli, Basi huo ni utamaduni wao na uhuru wao wa kimila kufanya hivyo.

Lakini hakuna ukweli wowote kwamba hiyo damu ya uzazi itawakinga hao watoto na husda za walimwengu.

Hizo ni imani zao uchwara tu zisizo na ukweli wowote.

Hata uchagani miaka ya zamani walikuwa wanaamini kuzaa watoto mapacha ni nuksi kwenye ukoo.

Hivyo ilikuwa ukizaa watoto mapacha, wanamuua mtoto(pacha) mmoja wakiamini eti wanafuta laana kwenye ukoo.

Kumbe ni mila uchwara tu za kijinga.
 
Ndio nasikia Leo,labda ni mila.ya kwenu huku kwetu haipo.
 
Serikali yetu sikuvu ifanye utafiti wake na kama ni kweli basi maelekezo haya yawekwe kwenye vipeperushi vya mama mjamzito
Hii serikali ambayo inapuuzia mambo ya maana ndio unaitegemea ikufanyie utafiti?
 
Inasaidia nini🤣
Hayo hayo wanayosemaga kila siku mara sijui husda, kurogwa, magonjwa n.k.. yule manzi kutokea ngarenaro nilishindwana naye hapo tu.. alikuwa na mambo ya kiswazi sana... simlaumu sana mitaa aliyokulia ndio chanzo.
 
Huo ni ujinga tu wa waafrica,..hamnaga nuksi, uchawi,muujiza, wala BARAKA,....🥲🥲
 
Kuna baadhi ya mama huwapaka watoto wao damu inayotoka ukeni punde baada ya kutoka kujifungua.

Kwa nilivyosikia hii kitu ipo sana kwenye jamii ya Watutsi.
Wanasema punde mama anavyokabidhiwa mtoto wake basi hufanya kitu hiki huku akinenea maneno.

Inasaidia mtoto asipate husda yoyote inayosababishwa na walimwengu.
Watu waliofanyiwa kitu hiki huwa hawarogeki, wengine wanakua na nyota kali sana.
Chochote kibaya kinachowapata labda akisababishe mwenyewe ila sio kwa kusababishiwa na watu.

Hii ishu nimeisikia mara mbili, na jamii hizo hufanya jambo hili kwa siri ndio maana sio kila mtu anajua kuhusu hii mila au desturi.

Nikaona nije kuuliza humu sababu kuna wajuzi wa mambo.
Naomba kujua ukweli wa jambo hili.
Mshana Jr LIKUD GENTAMYCINE mdukuzi ngara23 Kapeace
I was today's years old when I learned this... Anyway, labda watuambie Warutsi, sijui kama hiyo mila ipo Tanzania
 
Unajua jinsi inavyofanyika? Walisema inasaidia nini tofauti na kuzuia husda?
 
Unamuamini mtu wa Kwanza ( Nesi/ Mkunga sijui ) anaebeba mtoto wako na kukukabidhi ?
Unajifunza Nini juu ya vilema wanavyozaliwa navyo watu ?

Unajifunza Nini wazee wanapokuambia bariki chombo kabla hakija beba mzigo ?.

Maneno ya wazee hayaanguki hovyo Kama embe bovu.
Ramadhan kareem shekhe.
 
Pengine inawezekana ni kweli hao Watutsi hupaka damu ya uzazi kwa watoto wao.

Kama ni kweli, Basi huo ni utamaduni wao na uhuru wao wa kimila kufanya hivyo.

Lakini hakuna ukweli wowote kwamba hiyo damu ya uzazi itawakinga hao watoto na husda za walimwengu.

Hizo ni imani zao uchwara tu zisizo na ukweli wowote.

Hata uchagani miaka ya zamani walikuwa wanaamini kuzaa watoto mapacha ni nuksi kwenye ukoo.

Hivyo ilikuwa ukizaa watoto mapacha, wanamuua mtoto(pacha) mmoja wakiamini eti wanafuta laana kwenye ukoo.

Kumbe ni mila uchwara tu za kijinga.
Kuna ile uchagani watoto wakiota meno ya juu kwanz ni laana na nuksi😂
 
Back
Top Bottom