umenichekesha sana ,Ruto ni mjanja mjanja sana yule jamaahujui ruto ni mpenda sifa na populist?
jamaa ni demagogue to the core
ni professional serial lier!
yaani anadanganya eti "GRAMMY" watafungua studio Kenya za kufanya movie production kiasi kwamba hajui GRAMMY haijihusishi na movie production at all
huyu jamaa na pepo la uongo na populism
na cha ajabu Kenyans hua they believe what this lunatic says
Fear of the unknown. !!It i
It is just of unkown,mawazo ya kuhisi Tanzania anatamaniwa sana wakati hakuna kitu,ule wimbo wa Tanzania nakupenda na mauongo yaliombatana na wimbo
Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake.
Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji?
Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini?
Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30?
Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini Kenya na sio njia au jambo zuri la kuiga Tanzania? ukifanya hivyo, kesho uhamiaji watajaa wasomali maelfu kwa kigezo cha utalii tutaingiza magaidi nchini.
Fear of the unknown. !!
Kama vile kwenye Uraia pacha !!
Sisi tunajiona wajuaji sana kuliko waliopo huko Duniani wanaoruhusu Uraia pacha !!!
Ushamba tu !! π ππ
Kwakweli !!Ni upumbavu tu, hii nchi kila kitu ngumu.
Niujinga wa mtu mweusi ...hakuna faida yoyote zaidi ya kufungua mlango kwa wahalifu
Ok, tunataratibu zetu na mida maalum ya entry pass, tusiongeze au kutanua mipaka zaidi ya hapo. Hao majirani kuna wanachotafuta zaidi ya hapo, be keen!, baada ya kufikia stage fulani, wataanzisha mwafrika ruhusa kanunua ardhi Kenya bila shida yoyote, ni mwendo wa stage by stage, mpaka kufikia kibra.Hivi unafahamu kwamba Mkenya haitaji VISA kuja Tanzania?
Sasa watushawishi sisi tuwaige ili iweje wakati wakenya wanaingia Tanzania bila visa
We unazungumzia dola 20 na 50 hujafikiria kiwango atakachotumia huyo mgeni akishaingia kwenye nchi, kuanzia chakula maradhi na usafiri!Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake.
Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji?
Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini?
Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30?
Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini Kenya na sio njia au jambo zuri la kuiga Tanzania? ukifanya hivyo, kesho uhamiaji watajaa wasomali maelfu kwa kigezo cha utalii tutaingiza magaidi nchini.
Kwa akili yako unadhani unaweza kumzuia gaidi kwa kuweka visa entry ya 50 dollar?Una hoja nzito, usikilizwe. Kwasababu this is not an overnight petty issue to deal with kwa maana vyombo vyetu vya usalama visijekuwa overloaded with huge task itakayopelekea loopholes, unless wa isolate kitengo so special and specific ku deal na hiyo section.
Mi nimeshangaa wanaomuunga mkono mleta mada yaani watanzania wengi iq ipo chini mno! Hawajui kabisa kureason!Your reasoning capacity yako iko chini below average......nchi kama Tanzania inauwezo wa kuzuia magaidi kuingia wakitaka?, Nani kakuambia kwamba gaidi anahitaji viza kuingia hapa Tanzania?
Labda kama unawaza nchi za Ulaya, Marekani na Uingereza, lakini kwa karibu nchi zote za Afrika Visa inaombwa airport au mji unaoingilia sasa vetting inakuwa imefanywa saa ngapi? Au neno vetting linakusumbua?kwa sehemu kubwa ,visa ni sehemu ya vetting ya kiusalama , ili kupunguza uwezekano wa kuleta watu wasio sahihi nchini
nchi ambazo zina special arrangement ya kuto hitaji visa ,kuna mahusiano maalumu ya serikali mbili zinazoshirikana ,
yule chalii mpaka anakuja kustaafu itabidi wamjengee documentary na vitabu na kila kituumenichekesha sana ,Ruto ni mjanja mjanja sana yule jamaa
Mtego tu huo kwa Tanzania, hamna lolote.
Tatizo ni Elimu ndogo na uelewa mdogo sana kuhusiana na Masuala ya Diaspora and International Migration. Suala hili Lina faida zake lakini pia Lina hasara zake kulingana na nyinyi wenyewe wananchi jinsi mlivyojipanga na kujiandaa.Fear of the unknown. !!
Kama vile kwenye Uraia pacha !!
Sisi tunajiona wajuaji sana kuliko waliopo huko Duniani wanaoruhusu Uraia pacha !!!
Ushamba tu !! π ππ
Ila ww baba yako aliuza ngombe akupeleka shule kujifunza matusi na kukosea heshima watu sio?Basi kusiwe na vitambulisho vyovyote nchini wala kusiwe na mapolisi maana majambazi yapo hata sasa ...viza inasaidia siyo kukamata wahalifu tu hata kuzuia watu kuwa wahalifu . Wewe akili yako ni sawa na kuku ...baba yako aliuza ng'ombe kuku somesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe
HUYU WAKENYA WATAMTOA KWENYE UCHAGUZI UJAO.Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake.
Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji?
Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini?
Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30?
Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini Kenya na sio njia au jambo zuri la kuiga Tanzania? ukifanya hivyo, kesho uhamiaji watajaa wasomali maelfu kwa kigezo cha utalii tutaingiza magaidi nchini.
Issue ni kwamba wanaidrag Tanzania ili ifate mkumbo ili wakenya na wanyarwanda wajae nchini na ajira zote wachukue wao mana education ya watanzania IPO chini sana nda mana we huwezi kusecure ajira Kenya ila sisi huku wakenya wamejaa mana hamna control mechanism ya private sector. Ki ufupi Tanzania ni shamba la bibiTuelezee mkuu, kwanini unasema ili Tanzania aingie? Kwanini Tanzania awe target?
Ameplan nini kenya kwa Tz?
Tupe madini mkuu.