Wanao uwezo mkubwa wa kumeneji mambo hivyo wanatumia trick kutuingiza sisi kwenye njia yao wakati atufanani ...mfano tajiri anaweza kutumia milioni 3 kila siku kwa mambo yasiyo ya msingi na anasa sasa masikini ukisema mbona tajiri anatumia hiyo pesa na wewe kumuiga nini kitatokea kwako.hizo ni trick za kitoto wanazo tumia wajanja kufanikisha malengo yao mabaya kwenye nchi zetu masikiniKwahiyo nchi zilizoendelea nazo ni ujinga wa mtu mweupe! Ndio maana hii nchi inachelewa kusonga mbele, mnawazaga kinyume tu
Mkuu kuondoa urazima wa visa haimaanishi kuwa una ruhusiwa kuingia kwenye nchi husika kiholela , kuondoa visa ni katika jitihada za kupunguza usumbufu tu na upotevu wa muda.umeangalia upande mmoja wa shilingi, watu kuweza kuingia nchini kutumia mipaka isiyo rasmi haihalalishi kuondoa ulazima wa visa . kama umewahi kwenda marekani au UK ,visa zao zina chukua hadi mwezi kuzipata ,tena lazima uoneshe proof ya namna utakavyoishi nchini kwao , kuhalalisha watu kuingia nchini kiholela utakuaja kushtuka hata kazi za kuuza karanga zinafanywa na wachina ,na hutakua umelinda ajira za watu wako.
la pili fikiria kuhusu ujio wa majasusi wa kigeni ambao wengine wanaweza kuja kwa njia halali na wakadhuru watu wetu , kupitia balozi zetu watu hao wakiomba visa , screening ama vetting hufanyika kujua back ground za watu hawa
Ni nature ya mwanadamu kujifunza kutokana na makosa !Tatizo ni Elimu ndogo na uelewa mdogo sana kuhusiana na Masuala ya Diaspora and International Migration. Suala hili Lina faida zake lakini pia Lina hasara zake kulingana na nyinyi wenyewe wananchi jinsi mlivyojipanga na kujiandaa.
Kwa Nchi gani huo ulinzi uimalishwe?Nimeshangaa sana, kikubwa hapo ulinz mipakani uimarishwe, ukaguzi uwe mzuri watu wasiingie na madawa ya kulevya na Silaga hatari bas,
Bado tupo mbali sana na Dunia ya sasa !Watanzania wengi hatuja funguka kifikra na kimawazo na hii imetokana na wengi wetu kurundikana ndani ya nchi bila kutoka.
Suala la Kenya kuondoa visa wala si jambo baya na sisi kama africa tumechelwa sana na tumegawanywa na hao wenzetu wa mbele ili waendele kutunyonya na kuchukua wanachojiskia.
Leo hii Mtanzania ukitoka kuelekea Mauritania ni lazima uwe na visa na unaweza pia hisiwa kama umeleta kitu flani kibaya katika nchi yao.
Lakini mmarekani anaweza ingia na kutoka bila visa na atapewa jina zuri kuwa yeye ni mtalii.
Tushajazwa chuki kubwa sana baina yetu wa africa na si aghlabu hatupendani na tumewekeana vikwazo lukuki ambavyo havina msingi.
Najua wengi watakuja kupigia mstari suala la umaskini na ugaidi ambao wenyewe unaletwa na hao tunao wapa majina mazuri ya kuwa ni watalii aflafu wanapewa wacongo au wasomali wachinjane wenyewe kwa wenyewe.
Leo hii Europe nzima raia wa taifa lolote anaweza toka nchi moja kwenda nyengine bila visa na kuna nyengine bila hata ya passport yani National ID tu, na vivyo hivyo bara la North America nk.
Kweli kwetu kuna changamoto za usalama lakini hizi nazo zimeletwa na hao hao na wanajulikana.
Kwa uelewa wangu ni kwamba, Kuwa "visa free" haina maana kwamba wageni wawe wanaingia kiholela. Udhibiti wa kiusalama una baki ni jukumu la msingi la Vyombo vya Usalama. Kilichoondolewa ni malipo yanayaoambatana na Visa au ruhusa ya kuingia nchi husikaNimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake.
Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji?
Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini?
Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30?
Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini Kenya na sio njia au jambo zuri la kuiga Tanzania? ukifanya hivyo, kesho uhamiaji watajaa wasomali maelfu kwa kigezo cha utalii tutaingiza magaidi nchini.
hozo nchi ulitaja huzuiliwi wanachotaka upe na uwezo wa kujikimu uwapo huko usilete tafrani kwao kwa kuanza kutafuta kazi na vinginevyo ikiwa una uwezo unaingia kwa mapana na marefuVisa ni first line of defence , ukienda balozi za UK na Marekani kuna maelfu ya watu wanakataliwa kwenda
wengine wana historia za ugaidi nk.
Ukiondoa visa restriction kwa nchi zote nchi yako inaweza kuwa terrorist hub
Kwa kweli hapo mlengwa ni Tz, ili tukosee tu na sisi tuingie kichwa kichwa jamaa waje wajae hunu halafu kuwatoa iwr issue. Bongo ina rasilimali nyingi saana ambazo wenzetu wanazitaka ikiwemo ardhi. Sisi tusikubali hata kidogo. Mwekezaji au yeyote anayetaka kuja afuate sheria zetu ikiwemp visa na atakaa tunamjua na hadi mwisho wa kibali chake. Hao Kenya tuwape muda tu watakuja farakana soon. Huwezi iacha nchi watu waingie kama sokoniNimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake.
Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji?
Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini?
Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30?
Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini Kenya na sio njia au jambo zuri la kuiga Tanzania? ukifanya hivyo, kesho uhamiaji watajaa wasomali maelfu kwa kigezo cha utalii tutaingiza magaidi nchini.
kumbuka jambo hayo mataifa wanajijua ni jinsi gani kuwa wao ni maadui wa dunia wajua hwatakiwi wanaishi kwa wasiwasi wanateseka sana mpaka huruma hawana amani kwamaana hiyo ukipanda mahindi utavuna mahindi huwezi vuna mbaaziVisa ni first line of defence , ukienda balozi za UK na Marekani kuna maelfu ya watu wanakataliwa kwenda
wengine wana historia za ugaidi nk.
Ukiondoa visa restriction kwa nchi zote nchi yako inaweza kuwa terrorist hub
Wanao uwezo mkubwa wa kimeneji mambo hivyo wanatumia trick kutuingiza sisi kwenye nyia yao wakati hatu fanani ...mfano tajiri anaweza kutumia milioni 3 kila siku kwa mambo yasiyo ya msingi na anasa sasa masikini ukisema mbona tajiri anatumia hiyo pesa na wewe kumuiga nini kitatokea kwako.hizo ni trick za kitoto wanazo tumia wajanja kugikia malengo yao mabaya kwenye nchi zetu masikini
Kwa kweli hapo mlengwa ni Tz, ili tukosee tu na sisi tuingie kichwa kichwa jamaa waje wajae hunu halafu kuwatoa iwr issue. Bongo ina rasilimali nyingi saana ambazo wenzetu wanazitaka ikiwemo ardhi. Sisi tusikubali hata kidogo. Mwekezaji au yeyote anayetaka kuja afuate sheria zetu ikiwemp visa na atakaa tunamjua na hadi mwisho wa kibali chake. Hao Kenya tuwape muda tu watakuja farakana soon. Huwezi iacha nchi watu waingie kama sokoni
Umeanza vizuri lakini umemaliza vibaya , ungesubiri majibu ya wadau badala ya kuhitimisha mwenyewe na hoja ya ugaidiNimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake.
Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji?
Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini?
Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30?
Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini Kenya na sio njia au jambo zuri la kuiga Tanzania? ukifanya hivyo, kesho uhamiaji watajaa wasomali maelfu kwa kigezo cha utalii tutaingiza magaidi nchini.
Nchi zote zinazoizunguka Tanzania. Do not have what Tanzania has. Ila wao Wana akili ambayo kwa kiasi kikubwa watanzania hawana kulingana nao.Tuelezee mkuu, kwanini unasema ili Tanzania aingie? Kwanini Tanzania awe target?
Ameplan nini kenya kwa Tz?
Tupe madini mkuu.
Uko sahihi, lakini visa free inakupa hata uwanda mpana wa kutokuzuia vitu vingi. Tuzidi kutafakari.Your reasoning capacity yako iko chini below average......nchi kama Tanzania inauwezo wa kuzuia magaidi kuingia wakitaka?, Nani kakuambia kwamba gaidi anahitaji viza kuingia hapa Tanzania?
Waafrika wengi ni wapumbavu lakini nchi zetu ni special sana.Aliyewaambia wabongo ni special aliwajaza ujinga sana.
Whamiaji wenyewe ni kutoka nchi zenye changamoto. Maana changamoto inakuja Africa mashariki.Rwanda kakubali kupokea wahamiaji haramu toka uk , rwànda yenyewe ni kanchi kadogo,unafikiri hao wahamiaji wataenda wapi?
Kweli hata mimi naona kaingia chaka ila labda ameona hela zinapigwa ila hili nalo sidhani maana sio hela nyingi hivyo mpaka aamue tukose woteRuto anatafuta publicity ,ana joto la kisiasa kwake , lakini ukweli ni kua kuondoa visa restriction ni kuondoa geti mlangoni
Hapa kuna kujiandaa ki ulinzi na usalama. Kwa haya mazoea ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Kwa mapenzi mema kabisaa sishauri hili.Nadhani na sisi tuondoe vikwazo vya visa kwa nchi zote za Africa isipokua zenye usalama mbovu wa raia wake.
Hii italeta chachu ya maendeleo.
Ila serekali iwe makini na kuongeza ufuatiliaji.
We are not special as citizens, but we have a country that has plenty of opportunities waiting to be exploited in contrast Kenya doesn't have.Aliyewaambia wabongo ni special aliwajaza ujinga sana.