Nani sio mwoga aliwahi kuongoza nchi ya Tanzania?Atamwongoza nani mtu mwoga kiasi hicho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani sio mwoga aliwahi kuongoza nchi ya Tanzania?Atamwongoza nani mtu mwoga kiasi hicho?
WellKumbuka CDM Haina utamaduni wa kurudia mgombea.
Pia KATIBA mpya na Tume huru vikipatikana kabla ya uchaguzi wowote, tutapunguza tatizo la kutegemea watu Badala ya kutegemea mifumo imara ya kiongozi.
Ameeeen
Dhihaka hizi ndugu yangu.Apumzike tu mwisho awe kilema buree!
Mmmh mhemko wa TAL ni next level ila mi namkubsli kwa material tuTofauti ya Tundu Lissu na Magufuli ni kwamba Lissu anasoma sana na anaelewa mambo mengi sana. Kwa tabia ni kama wanafanana tu, wote wana mihemko na ni mbaya kwa kiongozi wa ngazi ya Rais.
Upinzani nikijaribu kuangalia vyama vyote pamoja na hivi vingine ambavyo wanachama pekee ni viongozi, Mbowe pekee ndio ana utulivu wa akili wa kutosha kwa ngazi ya Urais. Labda na 'Mama Tanzania' kwa mbali.
Lisu anajua sheria...SAWA!Lissu hana tofsuti na Magufuli, kitabia na hata kimatendo.
Watanzania wote hawaitaki. Imebaki inaninginia kwenye kamba yembamba sana ya dora.Watu wenye akili timamu hii CCM tulishaifutilia mbali sana zamani.
Wamebaki wajinga wengi tu sababu hawawezi kuendesha maisha nje ya mfumo uliowekwa na CCM.
Hahahaa we jamaa acha chuki.Lisu anajua sheria...SAWA!
lisu ana maarifa...SAWA!
lakin wadau mnavyomuona na kumsikiliza, mna uhakika huyu jamaa havuti bange kweli!
au ni suala tu la malezi mabovu!
nadhan anafaa zaid kwenye technical team kama wa haiba yake john alivyokuwa anafaa uwaziri tu.
Mbowe na mbatia ndo naona wamekomaa katika kuwasilisha hoja kwa hekma na busara! sema mbowe ana credit ya pesa na mali ....kam ruto,
Kumbe swala ni hilo tu? Mbowe ni mtu hana tamaa yule sio Lipumba na wale huwezi kumlinganisha na OdingaTAL kwasasa inabidi atulize ball maana hana impact juu ya mbowe
Jaribu kuja na suluhisho lingine lakini sio hii unania njema but wrong approach.lisu Hana sifa hata ya kuwa waziri mkuu Tanzania.Habari wana Jf, kwa mara ya kwanza nimejikuta nasikitishwa sana na umasikini na ugumu wa maisha unaoendelea kuongezeka huku kukiwa hakuna suluhisho la kueleweka Kutoka CCM. Nimewaza sana na kujikuta naona Tundu Lissu ndiye anaonekana mtu pekee kwa sasa mwenye ushawishi na uwezo wa kuongoza nchi, hasa kuiondoa CCM madarakani kupitia chama chochote hata kipya, aandaliwe na kuweza kuja kuiondoa CCM.
CCM imeongoza nchi kwa zaidi ya miaka 40 lakini imeshindwa hata kuwatua kina mama ndoo za maji mijini kote. Pia imeshindwa kwa kiwango kikubwa katika kupiga vita ufisadi, kuendeleza na kujenga viwanda, kuondoa shida ya ajira, kuboresha huduma za afya na nk.
2025 CCM inaweza ondoka, aandaliwe vizuri tu.
why ?Jaribu kuja na suluhisho lingine lakini sio hii unania njema but wrong approach.lisu Hana sifa hata ya kuwa waziri mkuu Tanzania.
nakubaliana na wewe kimwili na kiroho kuwa jamaa anajua.Hahahaa we jamaa acha chuki.
Hivi kwa wabunge waliokuwepo tangu Bunge la JMT lianze nani unaweza kumlinganisha na Tundu Lissu kwa tunu za kiuongozi alizo nazo?
.Watu wenye akili timamu hii CCM tulishaifutilia mbali sana zamani.
Wamebaki wajinga wengi tu sababu hawawezi kuendesha maisha nje ya mfumo uliowekwa na CCM.
Msikilize Ansbert Ngurumo, kuna Thread juu ya hicho unachokisema