Kuna jambo zito linawakabili vijana wa kiume wa Arusha. Msaada wa haraka unatakiwa

Hili jambo watalipinga......nilipoingia hapa juzi nimekutana na taarifa za kusikitisha kuhusiana na jambo hili.
Umekaa Arusha siku 2 uka conclude Arusha ndio ipo hivyo?
 
Arusha ipi unaizungumzia?Vijana wachapa kazi ndio majority lakini kama miji yote mikubwa wapo watu wa dili,Marios,madalali ,waongoza watalii na vibaka.
Sio tabia exclusive kwa vijana wa Arusha.
Muhimu ni kupambana na hizo tabia ndio lengo la huu uzi.

Endeleeni kukaza mafuvu.
 
Kwani CHADEMA wanasemaje?
 
Baadhi umesema kweli...Arusha ina vijana walevi wa pombe chafu na mihadarati mno alafu washamba.
Wana uhuni wa usela mavi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…