Kuna kazi au Majukumu mwanamke au Mwanaume akiziweza kuoa inakuwa kipengele

Kuna kazi au Majukumu mwanamke au Mwanaume akiziweza kuoa inakuwa kipengele

Aisee kila kukicha kuna jipya 🙌

Enhee kwahiyo unasema mwanaume asiweza au asiependa au kumudu kazi unazoziita za kike ni rahisi kuitaji mwanamke na akimpata ana mheshimu🤔

Kwa hiyo huyo mwanaume tajwa hapo juu 👆
Yeye anaoa kwa sababu hiyo tu basi

Na mwanaume anaeweza kufanya kazi zote hizo yeye hana haja saana na mwanamke maana ana jiweza


Wanaume Hivi hua mnaoa kwanini?
Ni kama alivyosema Robert Heriel Mtibeli
Uhakika wengine hapa tunaoa ili tusaidiwe kupika, kufua na kuosha vyombo japo na kujenga familia pia.
 
Sawa kitombile
Ukiolewa na njemba inayopenda kupika, kufua, kuosha vyombo na kudeki hizi jamaa huwa hazioni shida kukupiga chini wakati wowote hata ukiondoka mwaka hazijali, mimi manzi yangu akiondoka siku moja huwa naona dunia chungu na masaa yanakawia.
 
Yarabi kwahiyo hizo ndio sababu za kuoa na kuolewa?

Lazima ndoa siwe ngumu.
 
Yarabi kwahiyo hizo ndio sababu za kuoa na kuolewa?

Lazima ndoa siwe ngumu.

Ndoa zinakuwa ngumu kama mweza hakutegemei kwa chochote au unachoofa hukifanyi kwa weledi na ufanisi. Pili, kama hamfanani ndoa lazima ikushinde.

Uhitaji ndio unafanya watu waoe/kuolewa. Tunazungumzia maslahi.

Sasa kama huna mchango wowote kwa nini mtu ahangaike na wewe?

So hiyo ni mojawapo ya sababu.
Robo tatu ya malalamiko ya wanawake ndoani ni maslahi yao ya kuhudumiwa yanahujumiwa. Bado huoni sababu za ndoa ni zipi?
 
Ko kumbe ni kosa, mi kujua kupika, kuosha vyombo, kubembeleza watoto.

Eiish intelli hawa ma filosofa wa gen z, wana zingua
 
Back
Top Bottom