Nilijifunza chuoni hii kwenye saikolojia. Hiyo nguvu ya kunyonya huzaliwa nayo viumbe vyote vinavyonyonya. Ndiyo maana mbuzi, ng'ombe na nguruwe vikizaliwa tu hakuna mwalimu wa kumfundisha kunyonya. Wanyama pori ni zaidi huanza kunyonya ndani ya dakika 5 baada ya kuzaliwa. Nguvu hii huitwa libido energy au conscious activity kama sijasahau mana nimesoma zamani. Ni sawa na hamu ya kufanya mapenz Kwa wanyama huzaliwa nayo na hawafundishwi, paka, njiwa, kuku, huyo mtoto muda ukifika ataacha na akikua ataanza kufanya mapenz bila kuingia darasani kufundishwa. Mungu katuumba hivyo.