Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Maneno yenu hayo.....Kuna wana CCM kwenye kamati kuu yao wanataka kumharibia mama kwenye uongozi wake, awe makini sana na watu hao.
Leo mama yupo mtu kati kuhusu kesi ya ugaidi...wao wapo poa tu na wake zao.
Labda unataka tu kukomalia jambo lililokuwa wazi.....
Kwani mh.Kassim Majaliwa aliitoa hiyo "statement" wiki kadhaa kabla ya mh.Rais kututangazia MSIBA.....
🤣🤣Huna ujualo, alitoa siku 3 kabla ya msiba kutangazwa. Sasa ukae kwa kutulia.
Unataka kutuaminisha kuwa mh.Rais na mwenyekiti wa CCM hakijui chama vilivyo?!!
Haijui misimamo ya chama vilivyo?!!
CCM ni imani na itikadi....chama hiki cha kijamaa kamwe hakiwezi kumpitisha mwenyekiti "mwepesi" aliye "bendera fuata upepo".......
#SiempreSerikaliMbiliZaJMT
#KaziIendelee
🤣🤣
Kwani mtu hawezi kuumwa akiwa anachapa kazi ofisini na kupelekwa hospitali?!!!
Nadhani Mwigulu anahusika hapaKuna Genge linamtisha mama kuwa akiongea na wapinzani amekwisha[emoji28][emoji28][emoji28]
Shauri yako.Hapana, ila namuamini Mulamula
Wewe wasema...Ccm sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Na ndio maana kwa sasa, chama cha siasa kinapambana na vyombo vya dola, maana ccm haiko tena.
Yule mzungu Amsterdam kapotelea wapi?Huyo humwamini ila wabambikaji unawaamini.
Sio kweli kabisa! Najua unaongea hili lakini deep down unaujua kweli. Umesahau hata Kauli ya Diallo?Wewe wasema...
Nitegemee useme tofauti?!!!😲🤣🤣
Watanzania walio wengi wanakiamini chama hiki kikongwe kuliko "vyama vya matukio"......
#SiempreCCM
🤣Yule mzungu Amsterdam kapotelea wapi?
Unamuamini huyo Lissu?
Wewe wasema...
Nitegemee useme tofauti?!!!😲🤣🤣
Watanzania walio wengi wanakiamini chama hiki kikongwe kuliko "vyama vya matukio"......
#SiempreCCM
Situlii, tuone.....Tulia wewe huko Lumumba haujui kitu.
Upo SahihiNimemsikiliza Lissu kwenye mahojiano akasema ikulu inamwambia watampigia simu halafu ikifika wakati kuna njama zinafanyika kuhakikisha Mama anashidwa kuongea naye.
Tujue kuwa kuna wafaudika wakubwa hata ndani ya usalama mfano mitambo ya kudukuwa simu nani katoa budget! Watekaji nani anawalipa, pesa za kununua wapinzani nani anatoa haya ni mabilioni ambayo wanaohopa kuyakosa.
Rais Samia asikokuwa makini hawa jamaa watahakikisha kuna fujo ili waendelee na biashara zao
Chama kinachojibu hoja kwa risasi, kuteka watu, kubambikizia watu kesi - shame !!Maneno yenu hayo.....
Mh.Rais SSH ni mwenyekiti wa chama bora ,cha mfano na kikongwe AFRIKA....anakijua chama "in and out".....
Mh.Rais SSH amekuwa mjumbe wa kamati kuu kwa muda mrefu sana.......
#SiempreSerikaliMbiliZaJMT
#NchiKwanzaKablaYaYeyoteNaChochote
#KaziIendelee
Kuna mabodigadi wangapi wa mwendakuzimu waliokufa unaowajua!!??Yaani mh.Lissu ni "pathological lier".....
Nilitegemea asafishe hali ya hewa kwa kuomba msamaha kuwa ALIDANGANYA kuhusu yule ndugu....daah mpaka leo amebaki kimya.....
Mh.TL haaminiki......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio dhalimu bali anaiga tembo kunya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana mkuu! Shida ni kwamba ulimdemkia mapema mno,!
Sasa ni hivi, mama siyo dhalimu anatupeleka vizuri sana! Mataga na sukuma gang wanakomolewa, sasa tunapumua baada ya dhalimu wetu kufariki.
Bashiru na Polepole wanakiona cha mtema kuni
Mpaka mda huu ,sion na hakuna sababu ya kuongea na ccm na serikali yao,tuongee nini KWa mfano?Nimemsikiliza Lissu kwenye mahojiano akasema ikulu inamwambia watampigia simu halafu ikifika wakati kuna njama zinafanyika kuhakikisha Mama anashidwa kuongea naye.
Tujue kuwa kuna wafaidika wakubwa hata ndani ya usalama mfano mitambo ya kudukuwa simu nani katoa budget! Watekaji nani anawalipa, pesa za kununua wapinzani nani anatoa haya ni mabilioni ambayo wanaogopa kuyakosa.
Rais Samia asipokuwa makini hawa jamaa watahakikisha kuna fujo ili waendelee na biashara zao