Kuna kikundi kinapinga Rais Samia kuongea na upinzani


Nimecheka kwa nguvu kinoma. Mkapa na JK walikuwa marais, wote hao hatukuona ulinzi wa hivyo. Huyu mama alipoanza hakutaka ulinzi wa hivyo, ila baada ya muda lile genge lililokuwa linapiga kupitia ulinzi wa vitisho, Lakibidi limjengee huyo mama hofu na kumtaka awe na ulinzi wa kufuru. Lengo likiwa ni kuendelea kula kodi za Mabwege, na hasa hasa ni kuficha aibu ya dhalimu kuwa alikuwa na kiburi cha madaraka, na matumizi mabaya ya fedha za umma. Kama genge la dhalimu ndio limebaki washauri wake, unategemea wataacha kutumia mbinu ile ile ili wapige hela za wajinga?

Hakuna mwenye muda wa kuhatarisha maisha yake mpaka ahitaji ulinzi wa hivyo, ila hilo kundi la wapigaji linatengeneza mazingira ya upigaji, na kufunika matumizi ya hovyo ya yule dhalimu.
 
Kikundi kinaitwa Axis of Evil kinaongozwa na gaidi Mwigulu Nchemba na wajumbe ni Ndugulile, Mpango, Majaliwa, Gwajima K, Ndugai, Kabugi na Gwajima KE.

 
Unamuamini huyo Lissu?
Huhitaji kumwamini au kusikia Lissu kasema juu ya hili...

Circumstantial evidence inaonesha wazi kuwa kuna majambazi na magaidi ndani ya serikali yakitumia advantage ya "Rais mwanamke" kufanya ujambazi wao wa kimfumo/kiserikali...

Nakuhakikishia siku huyu mama atakapoamka na kugundua uasi huu wa wateule wake, atawachinjilia mbali mpaka mtashangaa...!!
 
Huhitaji kumwamini au kusikia Lissu kasema juu ya hili...

Circumstantial evidence inaonesha wazi kuwa kuna majambazi na magaidi ndani ya serikali yakitumia advantage ya "Rais mwanamke" kufanya ujambazi wao wa kimfumo/kiserikali...
“Circumstantial evidence” ipi hiyo?
 
“Circumstantial evidence” ipi hiyo?
Kama mpaka haya yote yanayotokea huoni kuwa there's something wrong somewhere, basi hata ukidadavuliwa kila kitu hakuna awezaye kubadili msimamo wako...!

Kwa kuwa kama nchi tumegawanyika kwa namna hii, twendeni hivyo hivyo mwisho wa siku WENYE HAKI ndio watakaoshinda....
 
Kama mpaka haya yote yanayotokea huoni kuwa there's something wrong somewhere, basi hata ukidadavuliwa kila kitu hakuna awezaye kubadili msimamo wako...!
Usianze kujihami, wewe sema tu hiyo "circumstantial evidence" iko wapi?
 
Kwani ni lazima mama Samia aongee na wapinzani? Ili iweje? Kwani wapinzani wana nini cha kuongea ambacho mama hakijui?
Wapinzani wapunguze kujiona ni kundi muhimu.
 
Kama hicho kikundi kweli kipo basi kinathibitisha udhaifu wa Samia, kwanini kwa mamlaka aliyonayo anashindwa kikushughulikia?
Urais ni jina tu. mule ndani kuna magenge hatari
 
wahafidhina wako kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.
 
Sawa kabisa mkuu. "Opportunists" katika "reform system" yeyote hawakosekani. Ila watayeyuka tu pindi joto litakapozidi na haitachukua mda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…