Kuna madhara gani mwanaume anapochelewa kuoa?

Jamii inachangia katika kuongeza stress juu ya hili
 
Dah wanavosemaga age is just a number why kuwe na expire date tena! 🤔
 

Kama hajaona na ametulia haina shida, unaweza kukaa as many years as possible. Mbona kuna wana wana miaka kibao hawajaona na wanaishi pia tu, wazee kama akina Ayoub Rioba wako poa tu na maisha yanasonga na kazi wanapiga fresh. Shida uwe na umri huo halafu uwe macho juu na ushenzi mwingi, ngoma ipo ya kutosha watakuzika na kilo 5
 
Hii ni post bora ya mwaka 2021
Hii post naiwekea lamination.
Mtoa post ni rafiki yangu wa kwanza
 
Kama mwanaume ameweza kuwapata watoto bila kuoa/kufunga ndoa, hawezi kuoa milele, Ndoa nyingi zinatarajia watoto tu ila mengine yote unaweza kuyapata nje ya ndoa hivyo ule umuhimu wa ndoa hauonekani tena kama zamani. Maana watu wanazaa tu na maisha yanenda.
 
Ukimpata wa hivyo Ni bahati Kweli kwa mwanamke atakaemuoa, wengi wao huwaga na hamu Sana ya ndoa hivyo wanadekeza Sana wake zao
Nina ushahidi na mmoja, anaishi karibu na Mbezi stendi. shem kwakweli anadeka. Ila ndo madhara yake ni kwamba kama ni mwaajiriwa hachelewi kustaafu wakati watoto bado wadogo.
 
Umeona like yangu huko?
 
ll in all km unachelewa kuoa sababu hujapata sahihi ndugu yangu USIOE mpk upate sahihi .

Haka ka sentence nimekaelewaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…