Kuna madhara gani mwanaume anapochelewa kuoa?

Kumbuka kuna magonjwa yasiyotibika. Kuoa kuna kuepusha na mengi mkuu
 
Hukuna madhara kabisa ila tu huu mzigo uliorundikana ukija kumsukumia utakaye muona atasimulia mashoga zake.
 
Mwanaume tafuta hela hakuna kuchelewa kuoa hata ukioa in 50's no problem hata ukifa ukaacha watoto wadogo hakuna tatizo maana unakuwa umeshawawekea misingi mizuri ya kimaisha maana una pesa na unawaachia vitega uchumi vya kutosha
 
madhara ni kuchelewa kuitwa baba huku ukiongozana na watoto wako...watu watawea kudhania kuwa umeongozana na wajukuu...wako....harafu mwisho wa siku watoto wako wanaweza kukuzidi akili...kwanini uchelewe kuoa...au huko kwenu hakuna wanawake...?
 
Sio kweli Kuna mzee ana miaka 88 mwaka Jana amepata mtoto, huku mtoto wake akiwa na miaka 66 mwanaume ni nguvu na ela ndo kitu Cha msingi
Amepima DNA au ndo wale wale watoto wa kupandikiza hii dunia ina mambo mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…