Kuna madhara gani mwanaume anapochelewa kuoa?

Shida wanaume wengi wakifika 40 na kitu kwenye sex huwa wachovu balaa yaani ni mwendo wa daily kimoko, Siku akukojoa viwili labda awe hajachoka na kazi, wengi wao wanatumia Viagra, vumbi na konyagi
 
Madhara ni Yale Yale kama ukiwahi..... Tofauti ni kulea uzeeni
 
Kwahiyo hapo umempa ushauri wa kumsaidia au ndo umemuangamiza kabisa??? Unajua madhara ya zinaa au ndo unahisi hakuna kufa?
 
Ukipitia comment humu utagundua bado watu wanaogopa maneno ya watu waliowazunguka kwenye jamii zao binadamu wengi huwa wanaangalia mapungufu tu hivyo ishu utakavyo utakuwa na amani na furaha
 
Kwahiyo hapo umempa ushauri wa kumsaidia au ndo umemuangamiza kabisa??? Unajua madhara ya zinaa au ndo unahisi hakuna kufa?

Kwani usipofanya zinaa hufi?unataka kusema dhambi ni ngono tu??
 
Anachelewa kuanza kufanya mapenzi[tendo la ndoa] simple like that.
 
Wanaume umri wa kuoa unazidi kwenda juu, watu hawataki kuoa paka wapate pesa sio, pesa zenyewe unazipata around mid 30s na zaidi. Mbona kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…