Kuna Maisha Nyuma ya Hizi 'ID' Zetu, Tusiache Kupendana ❤️

Ndio ndio nakazia
 
Hakika umenena mkuu
 
You can't love us kama huwezi kulaani udhalimu wa mama yenu kwetu.
 
🤣🤣🤣 Kwamba mkiwa na hoja tofauti ni vumbi tupu,,sawa lakini tusiache kupendana japo kidogo,kuna maisha pia nje huku
 
Nawapenda sana machawa hasa Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na ChoiceVariable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…