Unanileteaje umri huu habari za ”hadithi njoo uwongo njoo utamu kolea” mjomba?mimi naangalia picha inasemaje.Hivi mmesoma kweli hizo Hadith za Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) nilizoziweka kweli? Achana na hizo picha, mmesoma hizo comments zangu nilizoweka Hadith za Mtume? Hakuna cha mwenye asili yake, sijui utamaduni wake Uislam sio Dini kwa ajili ya waarabu peke yao. Na hicho alichofanya Mfalme ni Sunnah ambayo imethibiti kutoka kwa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake).
Sisi Wasislam, ikiwemo Mfalme wa Saudia, wote tunawajibika kuifuata QUR-AAN na SUNNAH juu ya UFAHAMU WA WEMA WALIOTANGULIA.
Tatizo lenu nini?
Mkuu ALLAH akuzidishie kheriHivi mmesoma kweli hizo Hadith za Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) nilizoziweka kweli? Achana na hizo picha, mmesoma hizo comments zangu nilizoweka Hadith za Mtume? Hakuna cha mwenye asili yake, sijui utamaduni wake Uislam sio Dini kwa ajili ya waarabu peke yao. Na hicho alichofanya Mfalme ni Sunnah ambayo imethibiti kutoka kwa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake).
Sisi Wasislam, ikiwemo Mfalme wa Saudia, wote tunawajibika kuifuata QUR-AAN na SUNNAH juu ya UFAHAMU WA WEMA WALIOTANGULIA.
Tatizo lenu nini?
Unanileteaje umri huu habari za ”hadithi njoo uwongo njoo utamu kolea” mjomba?mimi naangalia picha inasemaje.
Pia hizi hizi mnazoita hadith za mtume kuna kipindi mkibanwa nazo huwa mnazikana kwamba hahusiki nazo so mimi huwa naamini kwamba chochote kinachohusisha hadith hakimuhusu mtume wenu so hata hili la viatu Msikitini unamsingizia mtume.
Mkuu ALLAH akuzidishie kheri
Sifa za makafiri ni ukaidi na ujinga pia sio watu wa adabu( ni kama wahuni) hapa unaona umetoa majibu sahihi kabisa ili wajifunze waondokane na ujinga
Lakini hawataki kabisa wao wanang'ang'ania ujinga ni ajabu watu kama hawa kujinadi ni watu wa elimu na maarifa maana tabia zao ni kama za watu mbumbumbu na wapumbavu
Kwa kua elimu umeifikisha usisumbuke kuendelea kuwaelewesha zaidi kwa maana walishaelewa ila hawataki kukubali.
Kuendeleza mjadala nao wao wanafurahi maana watakujibu kwa kejeli na matusi
Kinachofanya nibishane na wewe ni kwamba kuna wakati huwa mnazikataa hadith then kuna wakati mnazikubali,hii huzingatia mnavyoona mazingira.Haya bishana na screen yako. Mtu huelewi kitu unatakiwa ujifunze kwanza. Sio unaingia mijadala Huna elimu nayo. Si ajabu huelewi chochote kuhusu Sunnah , hujui chochote kuhusu Ilmu za Hadith na sishangai, sasa si unauliza? Kuleta leta ujuaji kwenye Dini ambayo hata huijui
Kwani mkibaki na ukafiri wenu mkawaacha Waislam na Dini yao mnawashwa nini na nyinyi hamtaki kuwa Waislam?
Kitu kimethibiti katika Uislam wenyewe, wewe unasumbuka nini?
Niwaache tu
Tatizo hakuna ikiwa viatu vinaruhusiwa kwa wote na sio mfalme peke yake.Hivi mmesoma kweli hizo Hadith za Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) nilizoziweka kweli? Achana na hizo picha, mmesoma hizo comments zangu nilizoweka Hadith za Mtume? Hakuna cha mwenye asili yake, sijui utamaduni wake Uislam sio Dini kwa ajili ya waarabu peke yao. Na hicho alichofanya Mfalme ni Sunnah ambayo imethibiti kutoka kwa Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake).
Sisi Wasislam, ikiwemo Mfalme wa Saudia, wote tunawajibika kuifuata QUR-AAN na SUNNAH juu ya UFAHAMU WA WEMA WALIOTANGULIA.
Tatizo lenu nini?
Tuamke, tujitambue.mbna dini zao zishatuteka toka mda
Haiseh😂😂😂😂
Hawatakuelewa:Hao mashehe ndio wanajua nini zaidi ya kukariri kuruani na hadithi zilizoletwa na hao hao wenye mila yao, we uliwahi kuona mwislam wa Uarabuni akakubali kuitwa majina ya kikwetu!!??
Mathalan azae mtoto eti amwite "Kaijage" au Masanja au masawe?? Sisi tulivyokuwa wajinga, tunaona ufahari kuzaa mtoto ukamwita eti Nasurudin, AbuuHamza, Fildaus, na majina mengine ya mila zao ni upuuzi wa kiwango cha lami!!
Sisi wamakonde hatutaki ugomvi nawe. Kwani tumekutenda nini?Haiseh
Hawatakuelewa:
Wamekuwa radhi kuziua kabila zao na kuzitukiza kabila za Kiarabu:
Utasikia Mmakonde anaitwa Abudulkadir Jailan Al-Hadidi 🤣🤣🤣
Mkuu ALLAH akuzidishie kheri
Sifa za makafiri ni ukaidi na ujinga pia sio watu wa adabu( ni kama wahuni) hapa unaona umetoa majibu sahihi kabisa ili wajifunze waondokane na ujinga
Lakini hawataki kabisa wao wanang'ang'ania ujinga ni ajabu watu kama hawa kujinadi ni watu wa elimu na maarifa maana tabia zao ni kama za watu mbumbumbu na wapumbavu
Kwa kua elimu umeifikisha usisumbuke kuendelea kuwaelewesha zaidi kwa maana walishaelewa ila hawataki kukubali.
Kuendeleza mjadala nao wao wanafurahi maana watakujibu kwa kejeli na matusi
Tena unakuta mmakonde huyo anaaminishwa kwamba kuwaenzi babu zake ni ushirikina, isipokuwa uwaswalie maswahaba wa Mtume s.a w , wakati nao ni sawa na mizimu yao tu!! Yaani tumepigwa vibaya!Haiseh
Hawatakuelewa:
Wamekuwa radhi kuziua kabila zao na kuzitukiza kabila za Kiarabu:
Utasikia Mmakonde anaitwa Abudulkadir Jailan Al-Hadidi 🤣🤣🤣
No reform No election 🇹🇿hujaelewa ama unakaza fuvu tu
Sasa hapo ni nje au ndani?
Zinateka wajinga wasiojielewa kama miafrika.mbna dini zao zishatuteka toka mda
😂😂😂😂Haiseh
Hawatakuelewa:
Wamekuwa radhi kuziua kabila zao na kuzitukiza kabila za Kiarabu:
Utasikia Mmakonde anaitwa Abudulkadir Jailan Al-Hadidi 🤣🤣🤣