Kuna muda unaweza kuishiwa pesa hadi ukatamani kumkopa mdada wa kazi

Si unajua familia zetu hizi sister za hali ya chini, hivyo vitu kupatikana ni kwa tabu kidogo. Ila nimempanga ajitaidi aje hata na mahindi ili tukisaga unga angalau utusogeze hata mahali fulani kipindi naendelea kuumiza kichwa
 
Nenda msikitini au kanisani muombe Mungu hayo yataisha
 
daah sister mkavu huyooo
 
haya maisha naelewa sana hasa Nkikuta kijana mwenzangu ananiambia kakosa hata nauli kama ninayo huw anampa mara 2 ya aliyoniomba kama mwanaume unaweza kupigika mpaka ukaona wadada wanaojiuza hawakosei πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ tukaze huku tukiomba wanaangu
 
Kati ya agenda ambayo mama yangu haipendi ni kusikia unataka kuzaa watoto wachache, naishia kucheka na kusema haya...
 
Pole sana mkuu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vipi ulimrudishia pesa yake au aliendelea kunyandua kama malipo yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…