Kuna muda unaweza kuishiwa pesa hadi ukatamani kumkopa mdada wa kazi

Endelea mkuu hali ikaendeleaje mbele mpaka leo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...Nilianza kuvuta picha kuwa hata mahusiano niliyokuwa nayo kuyumba kwake ni issue ya kipato...kwanza nilikuwa sina source yeyote ya income at dat tym...lakin nilikuwa napambana nipate 5,000 au 10,000 au 20,000 na muda mwingine sipat kabisaa..

Nakumbuka 2015 mwez wa 7 ndio nakata ngebe ya chuo..na utawala mpya unaingia...bank cash nilikuwa na laki nane na ushee..na hyo semistr ya mwisho nilijibana sana caz nilikuwa mnufaika wa bodi nikiamin itanisaidia baada ya ya kuhitimu...

Sasa hapa ndio niliamin hicho hicho kidogo lakin bado watu wanakitaka...nimemaliza vizur mtihan wa mwisho nakumbuka ilikuwa majira ya saa mbil kasoro..siku hyo tulipangiwa upanga pale..narud home vizur na kwa furaha sana..caz kile chuo ni konyo..,sikuwah taman kusoma tenaa...sio kwa mateso yalee...

Basi najirudisha nyumban taratibu..nadaka gar za mwananyamala na drop manyanya mdogo mdogo naingia scan karibu na Mzee kigogo wa zeze....ile nafungua tu getto napawe hongera na mpangaji mwenzangu yule anae kaa na boyfriend wake...nakumbuka kwa kipindi hicho hyo dada alikuwa anafanyia Smile cjui ipo mikochen if am nt mistkn..tukapiga story nyingi sana na kati kat ya story..alipigiwa sim akawa anaongea nikamuacha hapo na mimi nikaingia ndan...nikapumzika kidogo tuu huku nikijisemea sasa rasmi nimeingia mtaani...

Kidogo kama dk 10 hiv kupita yule dada akanigongea..khee B una bahati sana kuna simu nimepokea hapa kuna rafiki yangu ametoka china ameonganishwa kwenye project flani hivi sasa kaniambia kama una mdogo wako kuna kamchango unaktoa thn unaingia...na kweli yule dada alikuwa na mdogo wake wa kiume na usiku wakati amepata hilo dili asubuh yake mdogo wake wa kiume aliondoka kurudi kwao shinyanga..na alikuwa muhitim wa mzumbe sasa sikumbuki ni diploma au certificate...so kwa huo muda tunao ongea mdogo wake alikuwa bado hajafika shinyanga...akampigia simu akamwambia shukia kituo chochote kikubwa thn kesho uanze tena safar ya kurud dar..

Eeh sister nikamwambia inakuaje sasa akaniambia hyo project inaenda miez sita..miez 6... na mwez mmoja ni trainng na miez iliyobakia ni field...mmh malipo?? Malipo ni laki 150,000 kwa siku mmh eeh tunaipataje hyo kaz? Nikamuuliza..akasema rafik yake amemwambia atoe laki sita...nikamuuluza so unamtolea dogo?( mdogo wake anaitwa kelvin) ila anajiita keivooo...akaniambia b ningekuwa na hela ningekutolea lakin ningependa sana muwe na kelv maana mjini hapa kelvin hajui mitaa mingi so atateseka...duu kichwa kinapatw ganz pesa kweli nilikuwa nayo..laki nane tuu..na nilikuwa nimeipangilia kufanya kitu mpaka pale vyet vitakapo toka..

Nikamwambia sister hebu ngoja kwanza nitakujibu kesho...nikarudi geto ni ndan humo humo..nikaoga thn nikaenda kula huku mawazo kibao..,nilikuwa na kawaida nikitoka kula mida ya saa nne mpaka tano...kuna sehemu nakuja nawaangalia madogo fulan hivi wakifanya mazoez ya kudance..walikuwa wanajitahid sana na kuna baadhi wameongia kwenye lebal kubwa sana za muziki akiwepo somebody Nyigu huyu yupo wcb..mfupi hivi kipindi hicho dahπŸ˜‚πŸ˜‚ kweli usione vyaelea..walikuwa wanajituma sana..kipind hicho yupo nahis ni boyfriend wake anajiita Abdu jini..

Basi zikapita siku kama mbili hivi keivoo akawasili pale nyumban...tukapiga story fresh na nikmuuliza umeongea na sister wako akajibu ndio..amenipambania kaz aisee..yaan jamaaa anapenda magar haswa..akawa ashapigia mahesabu kabisaa ile posho ya project...Huku akinena hyo kaz nikifanya mwez mmoja na nusu tuu naagiza alteza...basi story za hapa na pale..tukatoka tembea tembea mtaani..yaani akiona rim za magar anaulizia..huku akiwajibu wauzaji nipeni mwez nakuja kubeba...πŸ˜‚πŸ˜‚

Jioni dada yake akarudi nikamwambia sister ongea nae basi hyo rafiki yako mimi nina laki tano..anisaidie ikabid ampigie lakin alikataa..basi yule sister akanimbia b nitakuongezea hyo laki mdogo wangu...bas chapu nikadandia gar studio mpaka kwa machen pale kuna ATM ya crdb..nikatoa laki 6 thn laki nikaitenganisha...nikaja home nikampatia..akachanganya na ya mdogo wake akatuma...

Muda kama wa dk 20 mbele ikaingia msg kwenye simu yangu nahitajika training...eneo kibadamo hotel karibu na stendi ya ubungo..,mida ya saa mbili na nusu...Nikapiga yowee la hatari sasa hapa chuo tuu umemaliza hata wiki haijapita nishapata kazi...aah nilifurah sana nikaanza kumpigia mchiz wangu mmoja hivi na nikamweleza kila kitu...dah jamaa akaniambia ngoja aongee na wazaz wake..nikasema poa..

Kevoo usiku ule alikuwa hatak hata kulala tupo nae getto..akaniuliza unapafaham hapo kibadamo nikamwambia kama ipo karibu na ubungo nitapajua tuu ...

Asubuh ikafika nikajiandaa na kevoo nae akijiandaa tukasepa mpaka ubungo..ile kupiga jicho kulia naiona Mic hotel,Kagame hotel na kibadamo pia..nikamwambia ile pale tukaanza pandisha pale..fika mapokez kuuliza wakatueleza twende floor ya mwisho kabisa ..tukadandia lift pale mpaka juu..

Kufika pale kuna kama kaukumbi flani hivi watu wasio pungua 80 mpaka 100 yaani wapo wa mama, wababa,vijana..yaan kwa kifup kwa walio hitim kwa huo mwaka 2015 tena kuna wengine bado walikuwa wakiendelea na mitihan..so tulikuwa wachache..maana kwenye kujitambulisha pale wengi ni wafanyakaz na wahitimu wa miaka ya nyuma..

Basi imefika mida ya saa sita tukapangwa mstari tukapewa 20,000 kila mtu kwa ajil ya siku hyo..dah nikasema maisha si ndo haya..lakin nilijiuliza sasa angekuja mzaamiaji wangejuaje..?caz yaan hakuna cha majina wala nn..yaan pesa waligawa kutokana na idadi ya mule ndani...but sikuwaza sana na pale ndio nilichochea kuwapigia watu simu...kuwaambia wajiunge...kesho yake tena wakaongezeka tena..yaan tukawa wengi lakin siku hyo waligawa 15,000 kwa kila mtu..na huku wakitupatia vijarida vinavyo husu hyo project makumbuka project ilikuwa ikihusu maswala ya mass media and communication....

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hebu nicheke kwanza..wale jamaa ni wajanja sanaa..afu kingine ukishuka pale chin magar ni mengi watu wameacha kaz zao kuja kufanya ile project...kevoo muda wote hata tukiwa tunarud anaeaza magar tuu...sasa hapa na mim nilifanya ujinga kidogo..kwanza nilipiga simu home (mkoa) nikawaambia nimepata kazi...nikataja mpaka kiasi nitakacho lipwa lakin sikuwaambia nimetoa shngap ili niipata ile kazi(kosa)...kupitia zile jeur za siku tatu ilinifanya hata kile kiasi kilichobaki bank nisikitumie kwa nidham...πŸ˜‚πŸ˜‚ yaan nishakuwa don au naenda kuwa don soon..
 
Kwa kweli kufulia kubaya sana. Nilifulia kipindi fulani, nikaenda zangu benki nilikuwa na 20k ya mwisho dadeq. Nikaichukua nikajisemea sasa nakua Eliya wa baiboni aisee, sijui unga robo na mafuta kidogo...daah...

Nimekaa siku mbili nikamcheki mwamba wangu yupo Norway kipindi hicho, sijui nilikumbuka vipi lakini yule mwamba kuna siku alikuja tz akatumia pesa zote, akanitafuta nimpe 500k, nilimpa bila hata kuambiana atanilipa vipi...nilivyomcheki tu akaniambia nimpe account namba na swift yake..kesho yake nakutana na msg ya 2.5m, nilihisi dunia yote yangu maniner!!
Meseji yako imefurahisha sana... Bravo kwa mshikaji wako.... Mpe tano....
 
Kuna Siku nilikwama sana, kila nikiwaza sipati jibu, la hela. Nikaona nimwangushie zigo mama watoto, ambae tumeachana miaka minne iliyopita kipindi hicho nina Shida.

Pamoja na kuachana, huwa tunawasiliana mara kwa mara kama wazazi, ingawa tunaishi mikoa tofauti, hivyo baada ya kukosa pesa nikamjaribu, aniazime Tsh 200,000 kama anazo he, akaniambia ndani ya masaa matatu atanitumia, kweli akanitumia yaani nilishukuru sana, alinifanya niendelee kujiamini Siku ile.
Hahaha..simba akizidiwa hula nyasi...bila shaka ulimrudishia....
 
haya maisha naelewa sana hasa Nkikuta kijana mwenzangu ananiambia kakosa hata nauli kama ninayo huw anampa mara 2 ya aliyoniomba kama mwanaume unaweza kupigika mpaka ukaona wadada wanaojiuza hawakosei πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ tukaze huku tukiomba wanaangu
mimi hata huwa sisubiri amalize kuongea yaani akiishataja nauli huwa nauliza ni wapi natoa,hasa unakuta mshkaji kashika bahasha yaani hata siku yangu huwa inaharibika naanza mawazo.

kuna siku nimekaa kwenye kiosk cha mshkaji anaingizaa nyimbo,akiwa katoka sina hili wala lile anakuja jamaa kakosa furaha kabisa ananiambia "kaka samahani nimepewa taarifa baba yangu mzazi amefariki hapa nilikuwa nimelala sijui hata nafikaje nyumbani msibani hapo kibaha"aisee nikampa 2000 japo mwenyewe sikuwa poa kiivyo.
 
Kufulia hakujawahi muacha mtu salama! Iwe mtu, kampuni au Serikali. Hata serikali pamoja na kwamba inakusanya kila kitu lakini ikiishiwa huwa inawaza kukusanya kodi kwenye barabara na madaraja wakati yamejengwa kwa kodi zao!

Kuna wakati vyuma vinaweza kukaza kila kona hadi ukatamani kumkopa pesa dada wa kazi ilihali hujamlipa mshahara.
Mkuuu sijui unanisema mimi.

Jana yamenikutaa ikawa sina option kabisa

Imebaki kidogo tuu nifunguke kwa Dada wa kazi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...Nilianza kuvuta picha kuwa hata mahusiano niliyokuwa nayo kuyumba kwake ni issue ya kipato...kwanza nilikuwa sina source yeyote ya income at dat tym...lakin nilikuwa napambana nipate 5,000 au 10,000 au 20,000 na muda mwingine sipat kabisaa..

Nakumbuka 2015 mwez wa 7 ndio nakata ngebe ya chuo..na utawala mpya unaingia...bank cash nilikuwa na laki nane na ushee..na hyo semistr ya mwisho nilijibana sana caz nilikuwa mnufaika wa bodi nikiamin itanisaidia baada ya ya kuhitimu...

Sasa hapa ndio niliamin hicho hicho kidogo lakin bado watu wanakitaka...nimemaliza vizur mtihan wa mwisho nakumbuka ilikuwa majira ya saa mbil kasoro..siku hyo tulipangiwa upanga pale..narud home vizur na kwa furaha sana..caz kile chuo ni konyo..,sikuwah taman kusoma tenaa...sio kwa mateso yalee...

Basi najirudisha nyumban taratibu..nadaka gar za mwananyamala na drop manyanya mdogo mdogo naingia scan karibu na Mzee kigogo wa zeze....ile nafungua tu getto napawe hongera na mpangaji mwenzangu yule anae kaa na boyfriend wake...nakumbuka kwa kipindi hicho hyo dada alikuwa anafanyia Smile cjui ipo mikochen if am nt mistkn..tukapiga story nyingi sana na kati kat ya story..alipigiwa sim akawa anaongea nikamuacha hapo na mimi nikaingia ndan...nikapumzika kidogo tuu huku nikijisemea sasa rasmi nimeingia mtaani...

Kidogo kama dk 10 hiv kupita yule dada akanigongea..khee B una bahati sana kuna simu nimepokea hapa kuna rafiki yangu ametoka china ameonganishwa kwenye project flani hivi sasa kaniambia kama una mdogo wako kuna kamchango unaktoa thn unaingia...na kweli yule dada alikuwa na mdogo wake wa kiume na usiku wakati amepata hilo dili asubuh yake mdogo wake wa kiume aliondoka kurudi kwao shinyanga..na alikuwa muhitim wa mzumbe sasa sikumbuki ni diploma au certificate...so kwa huo muda tunao ongea mdogo wake alikuwa bado hajafika shinyanga...akampigia simu akamwambia shukia kituo chochote kikubwa thn kesho uanze tena safar ya kurud dar..

Eeh sister nikamwambia inakuaje sasa akaniambia hyo project inaenda miez sita..miez 6... na mwez mmoja ni trainng na miez iliyobakia ni field...mmh malipo?? Malipo ni laki 150,000 kwa siku mmh eeh tunaipataje hyo kaz? Nikamuuliza..akasema rafik yake amemwambia atoe laki sita...nikamuuluza so unamtolea dogo?( mdogo wake anaitwa kelvin) ila anajiita keivooo...akaniambia b ningekuwa na hela ningekutolea lakin ningependa sana muwe na kelv maana mjini hapa kelvin hajui mitaa mingi so atateseka...duu kichwa kinapatw ganz pesa kweli nilikuwa nayo..laki nane tuu..na nilikuwa nimeipangilia kufanya kitu mpaka pale vyet vitakapo toka..

Nikamwambia sister hebu ngoja kwanza nitakujibu kesho...nikarudi geto ni ndan humo humo..nikaoga thn nikaenda kula huku mawazo kibao..,nilikuwa na kawaida nikitoka kula mida ya saa nne mpaka tano...kuna sehemu nakuja nawaangalia madogo fulan hivi wakifanya mazoez ya kudance..walikuwa wanajitahid sana na kuna baadhi wameongia kwenye lebal kubwa sana za muziki akiwepo somebody Nyigu huyu yupo wcb..mfupi hivi kipindi hicho dahπŸ˜‚πŸ˜‚ kweli usione vyaelea..walikuwa wanajituma sana..kipind hicho yupo nahis ni boyfriend wake anajiita Abdu jini..

Basi zikapita siku kama mbili hivi keivoo akawasili pale nyumban...tukapiga story fresh na nikmuuliza umeongea na sister wako akajibu ndio..amenipambania kaz aisee..yaan jamaaa anapenda magar haswa..akawa ashapigia mahesabu kabisaa ile posho ya project...Huku akinena hyo kaz nikifanya mwez mmoja na nusu tuu naagiza alteza...basi story za hapa na pale..tukatoka tembea tembea mtaani..yaani akiona rim za magar anaulizia..huku akiwajibu wauzaji nipeni mwez nakuja kubeba...πŸ˜‚πŸ˜‚

Jioni dada yake akarudi nikamwambia sister ongea nae basi hyo rafiki yako mimi nina laki tano..anisaidie ikabid ampigie lakin alikataa..basi yule sister akanimbia b nitakuongezea hyo laki mdogo wangu...bas chapu nikadandia gar studio mpaka kwa machen pale kuna ATM ya crdb..nikatoa laki 6 thn laki nikaitenganisha...nikaja home nikampatia..akachanganya na ya mdogo wake akatuma...

Muda kama wa dk 20 mbele ikaingia msg kwenye simu yangu nahitajika training...eneo kibadamo hotel karibu na stendi ya ubungo..,mida ya saa mbili na nusu...Nikapiga yowee la hatari sasa hapa chuo tuu umemaliza hata wiki haijapita nishapata kazi...aah nilifurah sana nikaanza kumpigia mchiz wangu mmoja hivi na nikamweleza kila kitu...dah jamaa akaniambia ngoja aongee na wazaz wake..nikasema poa..

Kevoo usiku ule alikuwa hatak hata kulala tupo nae getto..akaniuliza unapafaham hapo kibadamo nikamwambia kama ipo karibu na ubungo nitapajua tuu ...

Asubuh ikafika nikajiandaa na kevoo nae akijiandaa tukasepa mpaka ubungo..ile kupiga jicho kulia naiona Mic hotel,Kagame hotel na kibadamo pia..nikamwambia ile pale tukaanza pandisha pale..fika mapokez kuuliza wakatueleza twende floor ya mwisho kabisa ..tukadandia lift pale mpaka juu..

Kufika pale kuna kama kaukumbi flani hivi watu wasio pungua 80 mpaka 100 yaani wapo wa mama, wababa,vijana..yaan kwa kifup kwa walio hitim kwa huo mwaka 2015 tena kuna wengine bado walikuwa wakiendelea na mitihan..so tulikuwa wachache..maana kwenye kujitambulisha pale wengi ni wafanyakaz na wahitimu wa miaka ya nyuma..

Basi imefika mida ya saa sita tukapangwa mstari tukapewa 20,000 kila mtu kwa ajil ya siku hyo..dah nikasema maisha si ndo haya..lakin nilijiuliza sasa angekuja mzaamiaji wangejuaje..?caz yaan hakuna cha majina wala nn..yaan pesa waligawa kutokana na idadi ya mule ndani...but sikuwaza sana na pale ndio nilichochea kuwapigia watu simu...kuwaambia wajiunge...kesho yake tena wakaongezeka tena..yaan tukawa wengi lakin siku hyo waligawa 15,000 kwa kila mtu..na huku wakitupatia vijarida vinavyo husu hyo project makumbuka project ilikuwa ikihusu maswala ya mass media and communication....

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hebu nicheke kwanza..wale jamaa ni wajanja sanaa..afu kingine ukishuka pale chin magar ni mengi watu wameacha kaz zao kuja kufanya ile project...kevoo muda wote hata tukiwa tunarud anaeaza magar tuu...sasa hapa na mim nilifanya ujinga kidogo..kwanza nilipiga simu home (mkoa) nikawaambia nimepata kazi...nikataja mpaka kiasi nitakacho lipwa lakin sikuwaambia nimetoa shngap ili niipata ile kazi(kosa)...kupitia zile jeur za siku tatu ilinifanya hata kile kiasi kilichobaki bank nisikitumie kwa nidham...πŸ˜‚πŸ˜‚ yaan nishakuwa don au naenda kuwa don soon..
JamiiForums-1882554008.jpeg
yaani mpaka hapo imebidi nisikie huruma tu.
 
Dah! Mkuu acha tu maisha yasikie tu!

2017 kuna siku niliwahi kuishiwa yaani unajua kuishiwa acheni tu jamani, hasa kwa sisi ambao tunapambana noma sana.

Wazo lilokuja kichwani ni cha kwako ndo kinakusaidia, nikachukua simu yangu nikaitafutia soko kwenye maduka simu kila ninapoingia wananiambia una risit wengine wananipa kiwango ambacho hata shida yangu haiwezi kuisha dah siku hiyo ilikuwa noma sana.

Siku hiyo sikuuza simu asubuhi nikatembea toka Nyamanoro hadi mjini (Mwanza) kazini shida iko pale pale.

Nikawaza nimpige mzinga mama naye maisha kijijini noma nikapiga chini wazo la mama nikakomaa kama siku tatu mpaka nawaza hivi ni kwa nini naishi!!!
Ikawaje mkuu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Nilianza kuvuta picha kuwa hata mahusiano niliyokuwa nayo kuyumba kwake ni issue ya kipato...kwanza nilikuwa sina source yeyote ya income at dat tym...lakin nilikuwa napambana nipate 5,000 au 10,000 au 20,000 na muda mwingine sipat kabisaa..

Nakumbuka 2015 mwez wa 7 ndio nakata ngebe ya chuo..na utawala mpya unaingia...bank cash nilikuwa na laki nane na ushee..na hyo semistr ya mwisho nilijibana sana caz nilikuwa mnufaika wa bodi nikiamin itanisaidia baada ya ya kuhitimu...

Sasa hapa ndio niliamin hicho hicho kidogo lakin bado watu wanakitaka...nimemaliza vizur mtihan wa mwisho nakumbuka ilikuwa majira ya saa mbil kasoro..siku hyo tulipangiwa upanga pale..narud home vizur na kwa furaha sana..caz kile chuo ni konyo..,sikuwah taman kusoma tenaa...sio kwa mateso yalee...

Basi najirudisha nyumban taratibu..nadaka gar za mwananyamala na drop manyanya mdogo mdogo naingia scan karibu na Mzee kigogo wa zeze....ile nafungua tu getto napawe hongera na mpangaji mwenzangu yule anae kaa na boyfriend wake...nakumbuka kwa kipindi hicho hyo dada alikuwa anafanyia Smile cjui ipo mikochen if am nt mistkn..tukapiga story nyingi sana na kati kat ya story..alipigiwa sim akawa anaongea nikamuacha hapo na mimi nikaingia ndan...nikapumzika kidogo tuu huku nikijisemea sasa rasmi nimeingia mtaani...

Kidogo kama dk 10 hiv kupita yule dada akanigongea..khee B una bahati sana kuna simu nimepokea hapa kuna rafiki yangu ametoka china ameonganishwa kwenye project flani hivi sasa kaniambia kama una mdogo wako kuna kamchango unaktoa thn unaingia...na kweli yule dada alikuwa na mdogo wake wa kiume na usiku wakati amepata hilo dili asubuh yake mdogo wake wa kiume aliondoka kurudi kwao shinyanga..na alikuwa muhitim wa mzumbe sasa sikumbuki ni diploma au certificate...so kwa huo muda tunao ongea mdogo wake alikuwa bado hajafika shinyanga...akampigia simu akamwambia shukia kituo chochote kikubwa thn kesho uanze tena safar ya kurud dar..

Eeh sister nikamwambia inakuaje sasa akaniambia hyo project inaenda miez sita..miez 6... na mwez mmoja ni trainng na miez iliyobakia ni field...mmh malipo?? Malipo ni laki 150,000 kwa siku mmh eeh tunaipataje hyo kaz? Nikamuuliza..akasema rafik yake amemwambia atoe laki sita...nikamuuluza so unamtolea dogo?( mdogo wake anaitwa kelvin) ila anajiita keivooo...akaniambia b ningekuwa na hela ningekutolea lakin ningependa sana muwe na kelv maana mjini hapa kelvin hajui mitaa mingi so atateseka...duu kichwa kinapatw ganz pesa kweli nilikuwa nayo..laki nane tuu..na nilikuwa nimeipangilia kufanya kitu mpaka pale vyet vitakapo toka..

Nikamwambia sister hebu ngoja kwanza nitakujibu kesho...nikarudi geto ni ndan humo humo..nikaoga thn nikaenda kula huku mawazo kibao..,nilikuwa na kawaida nikitoka kula mida ya saa nne mpaka tano...kuna sehemu nakuja nawaangalia madogo fulan hivi wakifanya mazoez ya kudance..walikuwa wanajitahid sana na kuna baadhi wameongia kwenye lebal kubwa sana za muziki akiwepo somebody Nyigu huyu yupo wcb..mfupi hivi kipindi hicho dah[emoji23][emoji23] kweli usione vyaelea..walikuwa wanajituma sana..kipind hicho yupo nahis ni boyfriend wake anajiita Abdu jini..

Basi zikapita siku kama mbili hivi keivoo akawasili pale nyumban...tukapiga story fresh na nikmuuliza umeongea na sister wako akajibu ndio..amenipambania kaz aisee..yaan jamaaa anapenda magar haswa..akawa ashapigia mahesabu kabisaa ile posho ya project...Huku akinena hyo kaz nikifanya mwez mmoja na nusu tuu naagiza alteza...basi story za hapa na pale..tukatoka tembea tembea mtaani..yaani akiona rim za magar anaulizia..huku akiwajibu wauzaji nipeni mwez nakuja kubeba...[emoji23][emoji23]

Jioni dada yake akarudi nikamwambia sister ongea nae basi hyo rafiki yako mimi nina laki tano..anisaidie ikabid ampigie lakin alikataa..basi yule sister akanimbia b nitakuongezea hyo laki mdogo wangu...bas chapu nikadandia gar studio mpaka kwa machen pale kuna ATM ya crdb..nikatoa laki 6 thn laki nikaitenganisha...nikaja home nikampatia..akachanganya na ya mdogo wake akatuma...

Muda kama wa dk 20 mbele ikaingia msg kwenye simu yangu nahitajika training...eneo kibadamo hotel karibu na stendi ya ubungo..,mida ya saa mbili na nusu...Nikapiga yowee la hatari sasa hapa chuo tuu umemaliza hata wiki haijapita nishapata kazi...aah nilifurah sana nikaanza kumpigia mchiz wangu mmoja hivi na nikamweleza kila kitu...dah jamaa akaniambia ngoja aongee na wazaz wake..nikasema poa..

Kevoo usiku ule alikuwa hatak hata kulala tupo nae getto..akaniuliza unapafaham hapo kibadamo nikamwambia kama ipo karibu na ubungo nitapajua tuu ...

Asubuh ikafika nikajiandaa na kevoo nae akijiandaa tukasepa mpaka ubungo..ile kupiga jicho kulia naiona Mic hotel,Kagame hotel na kibadamo pia..nikamwambia ile pale tukaanza pandisha pale..fika mapokez kuuliza wakatueleza twende floor ya mwisho kabisa ..tukadandia lift pale mpaka juu..

Kufika pale kuna kama kaukumbi flani hivi watu wasio pungua 80 mpaka 100 yaani wapo wa mama, wababa,vijana..yaan kwa kifup kwa walio hitim kwa huo mwaka 2015 tena kuna wengine bado walikuwa wakiendelea na mitihan..so tulikuwa wachache..maana kwenye kujitambulisha pale wengi ni wafanyakaz na wahitimu wa miaka ya nyuma..

Basi imefika mida ya saa sita tukapangwa mstari tukapewa 20,000 kila mtu kwa ajil ya siku hyo..dah nikasema maisha si ndo haya..lakin nilijiuliza sasa angekuja mzaamiaji wangejuaje..?caz yaan hakuna cha majina wala nn..yaan pesa waligawa kutokana na idadi ya mule ndani...but sikuwaza sana na pale ndio nilichochea kuwapigia watu simu...kuwaambia wajiunge...kesho yake tena wakaongezeka tena..yaan tukawa wengi lakin siku hyo waligawa 15,000 kwa kila mtu..na huku wakitupatia vijarida vinavyo husu hyo project makumbuka project ilikuwa ikihusu maswala ya mass media and communication....

[emoji23][emoji23][emoji23] hebu nicheke kwanza..wale jamaa ni wajanja sanaa..afu kingine ukishuka pale chin magar ni mengi watu wameacha kaz zao kuja kufanya ile project...kevoo muda wote hata tukiwa tunarud anaeaza magar tuu...sasa hapa na mim nilifanya ujinga kidogo..kwanza nilipiga simu home (mkoa) nikawaambia nimepata kazi...nikataja mpaka kiasi nitakacho lipwa lakin sikuwaambia nimetoa shngap ili niipata ile kazi(kosa)...kupitia zile jeur za siku tatu ilinifanya hata kile kiasi kilichobaki bank nisikitumie kwa nidham...[emoji23][emoji23] yaan nishakuwa don au naenda kuwa don soon..
ikawaje?
 
Kulalia crips za 500 nayo unaona ni shida kubwa sana uliyopitia in your whole life?

Aisee kumbe shida hazina uniformityπŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Mimi sijawahi lala njaa kiukweli ila kuna siku nakung,>
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...Nilianza kuvuta picha kuwa hata mahusiano niliyokuwa nayo kuyumba kwake ni issue ya kipato...kwanza nilikuwa sina source yeyote ya income at dat tym...lakin nilikuwa napambana nipate 5,000 au 10,000 au 20,000 na muda mwingine sipat kabisaa..

Nakumbuka 2015 mwez wa 7 ndio nakata ngebe ya chuo..na utawala mpya unaingia...bank cash nilikuwa na laki nane na ushee..na hyo semistr ya mwisho nilijibana sana caz nilikuwa mnufaika wa bodi nikiamin itanisaidia baada ya ya kuhitimu...

Sasa hapa ndio niliamin hicho hicho kidogo lakin bado watu wanakitaka...nimemaliza vizur mtihan wa mwisho nakumbuka ilikuwa majira ya saa mbil kasoro..siku hyo tulipangiwa upanga pale..narud home vizur na kwa furaha sana..caz kile chuo ni konyo..,sikuwah taman kusoma tenaa...sio kwa mateso yalee...

Basi najirudisha nyumban taratibu..nadaka gar za mwananyamala na drop manyanya mdogo mdogo naingia scan karibu na Mzee kigogo wa zeze....ile nafungua tu getto napawe hongera na mpangaji mwenzangu yule anae kaa na boyfriend wake...nakumbuka kwa kipindi hicho hyo dada alikuwa anafanyia Smile cjui ipo mikochen if am nt mistkn..tukapiga story nyingi sana na kati kat ya story..alipigiwa sim akawa anaongea nikamuacha hapo na mimi nikaingia ndan...nikapumzika kidogo tuu huku nikijisemea sasa rasmi nimeingia mtaani...

Kidogo kama dk 10 hiv kupita yule dada akanigongea..khee B una bahati sana kuna simu nimepokea hapa kuna rafiki yangu ametoka china ameonganishwa kwenye project flani hivi sasa kaniambia kama una mdogo wako kuna kamchango unaktoa thn unaingia...na kweli yule dada alikuwa na mdogo wake wa kiume na usiku wakati amepata hilo dili asubuh yake mdogo wake wa kiume aliondoka kurudi kwao shinyanga..na alikuwa muhitim wa mzumbe sasa sikumbuki ni diploma au certificate...so kwa huo muda tunao ongea mdogo wake alikuwa bado hajafika shinyanga...akampigia simu akamwambia shukia kituo chochote kikubwa thn kesho uanze tena safar ya kurud dar..

Eeh sister nikamwambia inakuaje sasa akaniambia hyo project inaenda miez sita..miez 6... na mwez mmoja ni trainng na miez iliyobakia ni field...mmh malipo?? Malipo ni laki 150,000 kwa siku mmh eeh tunaipataje hyo kaz? Nikamuuliza..akasema rafik yake amemwambia atoe laki sita...nikamuuluza so unamtolea dogo?( mdogo wake anaitwa kelvin) ila anajiita keivooo...akaniambia b ningekuwa na hela ningekutolea lakin ningependa sana muwe na kelv maana mjini hapa kelvin hajui mitaa mingi so atateseka...duu kichwa kinapatw ganz pesa kweli nilikuwa nayo..laki nane tuu..na nilikuwa nimeipangilia kufanya kitu mpaka pale vyet vitakapo toka..

Nikamwambia sister hebu ngoja kwanza nitakujibu kesho...nikarudi geto ni ndan humo humo..nikaoga thn nikaenda kula huku mawazo kibao..,nilikuwa na kawaida nikitoka kula mida ya saa nne mpaka tano...kuna sehemu nakuja nawaangalia madogo fulan hivi wakifanya mazoez ya kudance..walikuwa wanajitahid sana na kuna baadhi wameongia kwenye lebal kubwa sana za muziki akiwepo somebody Nyigu huyu yupo wcb..mfupi hivi kipindi hicho dahπŸ˜‚πŸ˜‚ kweli usione vyaelea..walikuwa wanajituma sana..kipind hicho yupo nahis ni boyfriend wake anajiita Abdu jini..

Basi zikapita siku kama mbili hivi keivoo akawasili pale nyumban...tukapiga story fresh na nikmuuliza umeongea na sister wako akajibu ndio..amenipambania kaz aisee..yaan jamaaa anapenda magar haswa..akawa ashapigia mahesabu kabisaa ile posho ya project...Huku akinena hyo kaz nikifanya mwez mmoja na nusu tuu naagiza alteza...basi story za hapa na pale..tukatoka tembea tembea mtaani..yaani akiona rim za magar anaulizia..huku akiwajibu wauzaji nipeni mwez nakuja kubeba...πŸ˜‚πŸ˜‚

Jioni dada yake akarudi nikamwambia sister ongea nae basi hyo rafiki yako mimi nina laki tano..anisaidie ikabid ampigie lakin alikataa..basi yule sister akanimbia b nitakuongezea hyo laki mdogo wangu...bas chapu nikadandia gar studio mpaka kwa machen pale kuna ATM ya crdb..nikatoa laki 6 thn laki nikaitenganisha...nikaja home nikampatia..akachanganya na ya mdogo wake akatuma...

Muda kama wa dk 20 mbele ikaingia msg kwenye simu yangu nahitajika training...eneo kibadamo hotel karibu na stendi ya ubungo..,mida ya saa mbili na nusu...Nikapiga yowee la hatari sasa hapa chuo tuu umemaliza hata wiki haijapita nishapata kazi...aah nilifurah sana nikaanza kumpigia mchiz wangu mmoja hivi na nikamweleza kila kitu...dah jamaa akaniambia ngoja aongee na wazaz wake..nikasema poa..

Kevoo usiku ule alikuwa hatak hata kulala tupo nae getto..akaniuliza unapafaham hapo kibadamo nikamwambia kama ipo karibu na ubungo nitapajua tuu ...

Asubuh ikafika nikajiandaa na kevoo nae akijiandaa tukasepa mpaka ubungo..ile kupiga jicho kulia naiona Mic hotel,Kagame hotel na kibadamo pia..nikamwambia ile pale tukaanza pandisha pale..fika mapokez kuuliza wakatueleza twende floor ya mwisho kabisa ..tukadandia lift pale mpaka juu..

Kufika pale kuna kama kaukumbi flani hivi watu wasio pungua 80 mpaka 100 yaani wapo wa mama, wababa,vijana..yaan kwa kifup kwa walio hitim kwa huo mwaka 2015 tena kuna wengine bado walikuwa wakiendelea na mitihan..so tulikuwa wachache..maana kwenye kujitambulisha pale wengi ni wafanyakaz na wahitimu wa miaka ya nyuma..

Basi imefika mida ya saa sita tukapangwa mstari tukapewa 20,000 kila mtu kwa ajil ya siku hyo..dah nikasema maisha si ndo haya..lakin nilijiuliza sasa angekuja mzaamiaji wangejuaje..?caz yaan hakuna cha majina wala nn..yaan pesa waligawa kutokana na idadi ya mule ndani...but sikuwaza sana na pale ndio nilichochea kuwapigia watu simu...kuwaambia wajiunge...kesho yake tena wakaongezeka tena..yaan tukawa wengi lakin siku hyo waligawa 15,000 kwa kila mtu..na huku wakitupatia vijarida vinavyo husu hyo project makumbuka project ilikuwa ikihusu maswala ya mass media and communication....

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hebu nicheke kwanza..wale jamaa ni wajanja sanaa..afu kingine ukishuka pale chin magar ni mengi watu wameacha kaz zao kuja kufanya ile project...kevoo muda wote hata tukiwa tunarud anaeaza magar tuu...sasa hapa na mim nilifanya ujinga kidogo..kwanza nilipiga simu home (mkoa) nikawaambia nimepata kazi...nikataja mpaka kiasi nitakacho lipwa lakin sikuwaambia nimetoa shngap ili niipata ile kazi(kosa)...kupitia zile jeur za siku tatu ilinifanya hata kile kiasi kilichobaki bank nisikitumie kwa nidham...πŸ˜‚πŸ˜‚ yaan nishakuwa don au naenda kuwa don soon..

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...Nilianza kuvuta picha kuwa hata mahusiano niliyokuwa nayo kuyumba kwake ni issue ya kipato...kwanza nilikuwa sina source yeyote ya income at dat tym...lakin nilikuwa napambana nipate 5,000 au 10,000 au 20,000 na muda mwingine sipat kabisaa..

Nakumbuka 2015 mwez wa 7 ndio nakata ngebe ya chuo..na utawala mpya unaingia...bank cash nilikuwa na laki nane na ushee..na hyo semistr ya mwisho nilijibana sana caz nilikuwa mnufaika wa bodi nikiamin itanisaidia baada ya ya kuhitimu...

Sasa hapa ndio niliamin hicho hicho kidogo lakin bado watu wanakitaka...nimemaliza vizur mtihan wa mwisho nakumbuka ilikuwa majira ya saa mbil kasoro..siku hyo tulipangiwa upanga pale..narud home vizur na kwa furaha sana..caz kile chuo ni konyo..,sikuwah taman kusoma tenaa...sio kwa mateso yalee...

Basi najirudisha nyumban taratibu..nadaka gar za mwananyamala na drop manyanya mdogo mdogo naingia scan karibu na Mzee kigogo wa zeze....ile nafungua tu getto napawe hongera na mpangaji mwenzangu yule anae kaa na boyfriend wake...nakumbuka kwa kipindi hicho hyo dada alikuwa anafanyia Smile cjui ipo mikochen if am nt mistkn..tukapiga story nyingi sana na kati kat ya story..alipigiwa sim akawa anaongea nikamuacha hapo na mimi nikaingia ndan...nikapumzika kidogo tuu huku nikijisemea sasa rasmi nimeingia mtaani...

Kidogo kama dk 10 hiv kupita yule dada akanigongea..khee B una bahati sana kuna simu nimepokea hapa kuna rafiki yangu ametoka china ameonganishwa kwenye project flani hivi sasa kaniambia kama una mdogo wako kuna kamchango unaktoa thn unaingia...na kweli yule dada alikuwa na mdogo wake wa kiume na usiku wakati amepata hilo dili asubuh yake mdogo wake wa kiume aliondoka kurudi kwao shinyanga..na alikuwa muhitim wa mzumbe sasa sikumbuki ni diploma au certificate...so kwa huo muda tunao ongea mdogo wake alikuwa bado hajafika shinyanga...akampigia simu akamwambia shukia kituo chochote kikubwa thn kesho uanze tena safar ya kurud dar..

Eeh sister nikamwambia inakuaje sasa akaniambia hyo project inaenda miez sita..miez 6... na mwez mmoja ni trainng na miez iliyobakia ni field...mmh malipo?? Malipo ni laki 150,000 kwa siku mmh eeh tunaipataje hyo kaz? Nikamuuliza..akasema rafik yake amemwambia atoe laki sita...nikamuuluza so unamtolea dogo?( mdogo wake anaitwa kelvin) ila anajiita keivooo...akaniambia b ningekuwa na hela ningekutolea lakin ningependa sana muwe na kelv maana mjini hapa kelvin hajui mitaa mingi so atateseka...duu kichwa kinapatw ganz pesa kweli nilikuwa nayo..laki nane tuu..na nilikuwa nimeipangilia kufanya kitu mpaka pale vyet vitakapo toka..

Nikamwambia sister hebu ngoja kwanza nitakujibu kesho...nikarudi geto ni ndan humo humo..nikaoga thn nikaenda kula huku mawazo kibao..,nilikuwa na kawaida nikitoka kula mida ya saa nne mpaka tano...kuna sehemu nakuja nawaangalia madogo fulan hivi wakifanya mazoez ya kudance..walikuwa wanajitahid sana na kuna baadhi wameongia kwenye lebal kubwa sana za muziki akiwepo somebody Nyigu huyu yupo wcb..mfupi hivi kipindi hicho dahπŸ˜‚πŸ˜‚ kweli usione vyaelea..walikuwa wanajituma sana..kipind hicho yupo nahis ni boyfriend wake anajiita Abdu jini..

Basi zikapita siku kama mbili hivi keivoo akawasili pale nyumban...tukapiga story fresh na nikmuuliza umeongea na sister wako akajibu ndio..amenipambania kaz aisee..yaan jamaaa anapenda magar haswa..akawa ashapigia mahesabu kabisaa ile posho ya project...Huku akinena hyo kaz nikifanya mwez mmoja na nusu tuu naagiza alteza...basi story za hapa na pale..tukatoka tembea tembea mtaani..yaani akiona rim za magar anaulizia..huku akiwajibu wauzaji nipeni mwez nakuja kubeba...πŸ˜‚πŸ˜‚

Jioni dada yake akarudi nikamwambia sister ongea nae basi hyo rafiki yako mimi nina laki tano..anisaidie ikabid ampigie lakin alikataa..basi yule sister akanimbia b nitakuongezea hyo laki mdogo wangu...bas chapu nikadandia gar studio mpaka kwa machen pale kuna ATM ya crdb..nikatoa laki 6 thn laki nikaitenganisha...nikaja home nikampatia..akachanganya na ya mdogo wake akatuma...

Muda kama wa dk 20 mbele ikaingia msg kwenye simu yangu nahitajika training...eneo kibadamo hotel karibu na stendi ya ubungo..,mida ya saa mbili na nusu...Nikapiga yowee la hatari sasa hapa chuo tuu umemaliza hata wiki haijapita nishapata kazi...aah nilifurah sana nikaanza kumpigia mchiz wangu mmoja hivi na nikamweleza kila kitu...dah jamaa akaniambia ngoja aongee na wazaz wake..nikasema poa..

Kevoo usiku ule alikuwa hatak hata kulala tupo nae getto..akaniuliza unapafaham hapo kibadamo nikamwambia kama ipo karibu na ubungo nitapajua tuu ...

Asubuh ikafika nikajiandaa na kevoo nae akijiandaa tukasepa mpaka ubungo..ile kupiga jicho kulia naiona Mic hotel,Kagame hotel na kibadamo pia..nikamwambia ile pale tukaanza pandisha pale..fika mapokez kuuliza wakatueleza twende floor ya mwisho kabisa ..tukadandia lift pale mpaka juu..

Kufika pale kuna kama kaukumbi flani hivi watu wasio pungua 80 mpaka 100 yaani wapo wa mama, wababa,vijana..yaan kwa kifup kwa walio hitim kwa huo mwaka 2015 tena kuna wengine bado walikuwa wakiendelea na mitihan..so tulikuwa wachache..maana kwenye kujitambulisha pale wengi ni wafanyakaz na wahitimu wa miaka ya nyuma..

Basi imefika mida ya saa sita tukapangwa mstari tukapewa 20,000 kila mtu kwa ajil ya siku hyo..dah nikasema maisha si ndo haya..lakin nilijiuliza sasa angekuja mzaamiaji wangejuaje..?caz yaan hakuna cha majina wala nn..yaan pesa waligawa kutokana na idadi ya mule ndani...but sikuwaza sana na pale ndio nilichochea kuwapigia watu simu...kuwaambia wajiunge...kesho yake tena wakaongezeka tena..yaan tukawa wengi lakin siku hyo waligawa 15,000 kwa kila mtu..na huku wakitupatia vijarida vinavyo husu hyo project makumbuka project ilikuwa ikihusu maswala ya mass media and communication....

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hebu nicheke kwanza..wale jamaa ni wajanja sanaa..afu kingine ukishuka pale chin magar ni mengi watu wameacha kaz zao kuja kufanya ile project...kevoo muda wote hata tukiwa tunarud anaeaza magar tuu...sasa hapa na mim nilifanya ujinga kidogo..kwanza nilipiga simu home (mkoa) nikawaambia nimepata kazi...nikataja mpaka kiasi nitakacho lipwa lakin sikuwaambia nimetoa shngap ili niipata ile kazi(kosa)...kupitia zile jeur za siku tatu ilinifanya hata kile kiasi kilichobaki bank nisikitumie kwa nidham...πŸ˜‚πŸ˜‚ yaan nishakuwa don au naenda kuwa don soon..
mkuu nakuomba sana umalizie hii story maana umenichekesha sanaa
 
mimi hata huwa sisubiri amalize kuongea yaani akiishataja nauli huwa nauliza ni wapi natoa,hasa unakuta mshkaji kashika bahasha yaani hata siku yangu huwa inaharibika naanza mawazo.

kuna siku nimekaa kwenye kiosk cha mshkaji anaingizaa nyimbo,akiwa katoka sina hili wala lile anakuja jamaa kakosa furaha kabisa ananiambia "kaka samahani nimepewa taarifa baba yangu mzazi amefariki hapa nilikuwa nimelala sijui hata nafikaje nyumbani msibani hapo kibaha"aisee nikampa 2000 japo mwenyewe sikuwa poa kiivyo.
yaa mkuu wanaume tunapitia magumu snaa
 
Daah..maisha haya..nimeshawah kushinda takriban masaa 60 bila kula..na masaa 12 ya mwisho nikanywa maji ya moto tuu..hapo nimepanga nyumba moja hivi..na ndan ya hyo nyumba kuna wapangaji 3 tofauti na mim nikiwa wa tatu kwa hyo ni kaya tatu ndani ya nyumba moja...yaan nimeishiwa kila kitu..sina hata ndururu! Kaya moja kati ya tatu..wanaishi familia ya watoto wawil wadogo mama baba na mfanyakaz..kaya nyingine anaishi dada mmoja na boyfriend wake..na kaya nyingine naishi mim peke yangu..na kipind cha nyuma nilikuwa na manz angu tukatibuana..na baada kama ya miez 5 nikasikia anatembea na jamaa mwingine huku akiwa na ujauzito wa huyo jamaa...hapo ndani maji mnalipa flat rate haijalishi ww unaishi peke yako au vip.. ikija bill kama ni 30,000 itakubid mlipe sh 10,000 kwa kila kaya..umeme tu ndio nilikuwa nachangie na yule dada mwenye jamaa ake caz ndio tulishare meter...kuondoa aibu naamka asubuh sana nabeba vyeti nasambaza sana...unatoka gongolamboto mpaka mbagala kwa mguu..unarudi kuna jamaa mmoja pale posta nyuma ya chuo kimoja hivi(sitakitaja) ni fundi viatu na kwa jina anaitwa samora..yule jamaa ana connection nying sana za kaz..sasa nilikuwa nikifika pale tunapiga story za hapa na pale na thn ananipa abc's za kaz ..hapo msoto haswa unajiweka hali ya kufurah yaan kama huteseki vile..lakin moyon unajijua...so akiniambia mtafute hyu bas bila kuchelewa..nitamtafuta mdau kwa njia yyte ile..nitahangaika wee ikifika saa mbil ya usiku narud geto..naoga thn natoka naenda kushinda kwenye yale majumba ya kubetia..yaan pale najua kuna mipira wanaonesha so nitapoteza muda mpaka wanapo karibia kufunga..,.na hapo kuna makamaria wakila utasikia mkuu chukua buku hii..au jelo bas tunaishi..sasa bas nikupe siri yaan ni bora nisile siku nzima lakin sio kukosa vocha au dk za maongez kwenye simu...na hii dhana ninayo mpaka leo..maisha yakawa magumu kiasi kwamba nataka kurudisha mpira kwa kipa..lakin dah moyo unagoma..na kipindi hicho kuna ile kauli ya mkuu alisema atakae weza kukaa kwenye mkoa huu mpaka mwez wa sita yy ni mwanaume..basi ile kauli ilinipiga kwenye utosi sio kawaida..ilikuwa inarudia rudia sana kila ninapo ptia changamoto....hali bado ikawa bila bila kula yangu ni ya shida sana..ikafika kipind nyumba nayokaa nabaki mim na yule mfanyakaz wa kaya nyingine anae lea wale watoto wadogo..akiwa anapika tuu natoka ndan kwangu nampigisha vistory vya hapa na pale ili anizoee tuu..basi nikafanya hivyo kama wiki tatu mfululizo akawa amenizoea..sio sanaa..sasa kuna siku sikutoka kabisaa ndan na akajua..akaja dirishan kwangu na kuniita ilikuwa mida ya saa nane mchana..nikaitika akasema njoo nikasema poa..natoka pale nakuta ana sahan ya wali kuku..Mungu wee umejuaje..nikanena kimoyo moyo..nikamshukuru sana..niliufinya ule wali ndn ya dk 3..nikaenda bomban nikanywa maji na kuiosha sahan..ile namrudishia akaniambia umekula? Nikamjibu ndio na nimeshiba sana..akabak ananishangaa kwa kumaliza chakula haraka...binafsi nilishukuru sana..siku hyo ikapita..kesho yake nikaenda kutana na mshksji wangu ambae tulisoma nae chuo lakin alinitangulia madarasa mawil yaan nikiwa mwaka wa kwanza yy alikuwa watatu...na tulikuwa tumepanga kwenye hostel moja huko kwa josee mtambo mzee wa kiga...no.. so ninapomaliza mwaka wa tatu yy alikuwa anamalizia research caz aliunganisha masters..so hyo siku tulipanga tuonane..nae dah kwanza anaish hostel ya chuo nae kapigika haswa..lakin akaniambia kuna mtu nakuunganisha nae akupe laki 3..yupo equity sasa sikua mbal sana na eneo nilipo mpaka hyo bank..ingawa hyo jamaa aliniunganisha nae namfaham..caz walisoma wote na mshkaj wangu..so nikasema poa ngoja nimcheki..nikatoka zangu maeneo ya chuo mpaka ppf tower pale pemben ndio ilipo eqty..sasa nafika pale dah nakutana na manz angu niliye zinguaga nae..mimba yake kubwa haswa..dah roho ilinipasuka paa..kwa kweli nilipata maumivu makal sana..ingawa sikumuonesha..tukasalimiana pale na akaniuliza unaenda wap nikamjibu naenda bank ya hapo juu..sasa jengo hilo lina banks mbili juu ndio ipo eqty na chin ndio ipo bnk nyngne..ambayo yy ndio alikuwa anafanyia..akanambia ukitoka utanikuta hapa..nikasema poa nikapandisha..nikakutana na jamaa tukaongea thn akanipa ahadi..ile nashuka nikamkuta pale pale..thn akaniuliza unaelekea wapi sasa..nikamjibu naelekea kkoo kuna mzigo naenda funga..nikamdanganya..kula yangu tuu ya manga..khee! Akaniambia na yy anaelekea huko kwan kuna mzigo wa vipodoz anaenda funga..looh sasa siku zote nikiwa na mtt wa kike ingawa ni nadra sana kutoka nao..huwa kama ni nauli nitalipa na hata ikitokea akinikuta hotel basi nitamlipia thn nitasepa..bwans eeh posta pale bajaji wengi chibaa..nikajifanya namuuliza hivi mazoez unafanya kwel maana kwa hali yako inabid ufanye mazoez..akajibu huwa nafanya..nikamwambia hya sasa twende taratibu mpaka kkoo..kumbe kidume sina kituu..yaan kama hamna kitu vile lakin moyon naumia sana..alikataa katu katu..akafika tuu kwenye bajaj akaingia akakaa..ikabid na mim niingie..mfukoni nilikuwa na 8,00 tuu..akamwamrisha yule mzee tupeleke kariakoo..basi tukatoka pale tukafika..ile nashuka najifanya natoa pesa mfukon ..akaniita aah aah natoa huku..kabla hajashuka akampa dereva 5,000 kimoyomoyo nikasema asante Mungu..basi nikasema ngoja nikusindikize ww kwanza thn mishe zangu nitazimsliza baada ya zako kuishaa...tulifika mpaka mtaa wa msimbaz pale.. maduka ya vipodoz akanunua kama mzigo wa mil 6 hivi.. dah thn akaniambia nimefungua duka mkoan huku akinionesha picha..duh ni duka kubwa..nikamuuliza mbona kama limezid mil 20 akajibu alianza na mil 35.. nikamwambia hongera mwaya..bas nikamsaidia pale alipo maliza ...yy ananunua anaacha afu kuna kijana anakuja kukusanya..basi nikamsindikiza akapanda bajaj kurud ofisin..na mimi nikaanza mdogo mdogo..nilifika geto nikiwa na mawazo mengi sana! Baada ya pale niliichukia nafsi yangu..niliingia kufanya biashara ya risk sana ingawa ilikuwa legal bt baadae mbeleni ile biashara ikaja pigwa vita kali sana na serikal..(mkaa) hapa hakuna nyota niliacha kuiona..
Ninachoshukuru Mungu ukiwa huna hela msosi ndani haupo

Lazima ule tu piga ua lazima ule ujue kuwa Mungu ndie mwenye riziki
 
Si unajua familia zetu hizi sister za hali ya chini, hivyo vitu kupatikana ni kwa tabu kidogo. Ila nimempanga ajitaidi aje hata na mahindi ili tukisaga unga angalau utusogeze hata mahali fulani kipindi naendelea kuumiza kichwa
Maskini umeongea kwa unyonge mpaka nikawaza vyakula vyote vilivyopo home mama anagawa bure. Anyway Mungu ni mwema, ukipata ka mtaji mpe wife wako hata 30000 apate sehemu sokoni, auze mchicha nyanya vitunguu hoho, carote matunda etc hivyo vitu kila siku lazima vinunulike.

Akiuza vitu vya 30000 hawezi kukosa 50000. Wakati huo wewe unapambana mjini kupata kazi.
 
Tukafundishwa palee...na ilikuwa kila siku lazima wale walimu waulize kuna wagen? Wapo wapi? Wasimame thn wanasimama na wanaambiwa baada ya trainng kuisha wenyewe wabaki....nakumbuka hii ilikuwa siku kama ya nne na siku hyo alikuwepo jamaa yangu tulie soma nae kuanzia advnce tukachagua wote chuo kimmoja sema tukachaguliwa course tofauti...

Na hata siku ya kureport chuo tulireport wote na registration tulifanya pamoja na mwanzon kabisa tulipanga chumba kimoja..na tukakaa wote kwa miaka miwil ya mwanzo..ni yule aliyesema ngoja aongee na wazaz kweli walimpatia ile hela na akaja home pale na wala sio mgem pale..hata sister kevoo alie niunganisha anamjua hivyo akampatia sister kvoo laki sita ile na yule sister kvoo anaitwa(Caro) akaituma kwa yule rafik ake hvyo nae akawa amesajiliwa...kwa hyo tukawa mm ntu tatu..mimi keivoo na stephaa ambae ndio jamaa angu kabisaa...

Tulimtangulia stephaa kwa siku tatu na ya nne ndio akawepo...haikuwa kaz ngumu kwake kwan niliyofundismhwa nyuma nilimpiga msasa chapu chapu so kulikuwa haina haja ya yy kubaki baada ya trainng kuisha kwa siku hyo...na siku anae fika yy..walitugawa kwa makundi watu walio kuwamo kule...kila kundi moja lilikuwa na watu 13..na sharti kiongoz ndani ya kundi hilo lazima awe mwanamke...na hapa niseme kidogo wale jamaa waliweza kuwashika majina kwa haraka sana wanawake wa mule ndani..kiasi kwamba hata maswali walio kuwa wakiuliza yatokanayo na ile project alikuwa anapoint tu kwa kuwataja majina hvyo inakuwa rahis kututoa hofu kwa kuamin mbona wanafahamiana...

Kandri siku zinavyoenda kuna ukakasi nilikuwa naupata kila kipindi kikianza..mosi; ule mradi ni ufadhil wa marekani na hata kwenye vile vijarida (quationare zao) chini kabisa kuna website zao na uki google unazikuta kweli...lakin kwa nn wapewe vijana wadogo namna ile tena wenye fedha nying sana??? Kulikuwa na walimu wawil tu na wote ni wajinsia ya kiume mmoja ukimkadiria umri kwa kipindi hicho caz ilikuwa ni 2015 mwez wa 7 ni kama hajazid miaka 34 nq mwingine alikuwa na kama kwa kukisia miaka 37....na walikuwa na mbwembwe sana na mbinu za kufundusha kwel walijua hasa hyu wa miaka 34..

Wasi wasi mwingine nilio utilia shaka ni kwa nn kila akifundisha anasema huku ndan kila mtu anajua amekujaje..maswala ya kuanza kuulizana ooh cjui mwenzangu uliingiaje huku na akakupa vigezo tofaut na ww thn uanze kulalamika basi akijua tuu...mnarudishiwa chenu mnasepa...so swala la ww umeingiaje huku ibaki kuwa siri yako...!! Nilipata wasi wasi kidogo kwenye hilo..binafsi mimi kevo na stephano najua tumeingia kwa jumla ya sh.1.8M... kwa kuwa tulikuwa karibu..na hapo hapo watu walikuwa wanazid kuingia na hii nahisi ni baada ya vyuo vingi kumaliza mitihan..ilifika sehem kukawa kuna shift yaan tunao ingia saa tatu kasoro tunatoka saa sita na nusu...thn wanaingia wengine saa saba..na pia ilikuwa hivi..kadri siku watu wanavyo ongezeka ndio malipo yalikuwa yakipungua yaan..siku ya kwanza tulilipwa 20,000 ya pli 15,000 ya tatu 15,000 ile ya nne 10,000 hapa napo nilipata ukakasi..

Sasa tulikuwa tukirudi nyumban...mimi stephano na keivoo..kuna muda nilihis kupigwa yaan kama nimetapeliwa lakin nikiangalia ule umati dah naona kama siamin...na kuna muda wanauliza aliyepata dharura? Yaan kama mtu anaenda funga harusi, mtu aliyepata msiba, labda hatoenda field..wajitokeze kuna baadhi kwa uchache wao wanajitokeza wanapewa fedha zao wanasepa...na kuna wale viongoz wa makundi ambao..kiongoz inabid awe na namba ya simu kwa mwana kikundi ambae tutakuwa tunapata taarifa za kila siku kupitia yy...sasa kuna baadhi ya wana kikundi walikuwa wanawasumbua viongoz hawa na moja moja hawa viongoz wanareport kwa walimu wale na hapo hapo wanaitwa kwa utovu wa nidham wanapewa hela zao wanasepa..wanafukuzwa...hii walifanya ili kuziba minong'ono iliyo anza kuenea enea...hivyo walifanikiwa kwa kiasi..caz walisema usimuamin mwenzio ndan ya hili jengo utajiongelesha wee thn anakuja kukuchoma kwa siri na unafukuzwa so hata tukiwa tukipiga story mmoja akanzisha oya masema hii issue imekaaje? Utaanza kuona kila mmoja anasambaratika..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jumamos na jumapili tulikuwa hatuendi kwan wale jamaa walikuwa na intakes hadi mikoani...sana sana walikuwa na intakes Arusha, Mbeya, Mwanza na Dar es salaam! Na dar haikuwa moja yaani zilikuwa kama tatu moja ubungo nyingine magomeni na nyingne sikumbuki...na ili sisi tuende Field lazimq kwanza zile intake zilizo tutangulia ziende thn sisi tufate..na hapa wasi wasi ndio ulinizidπŸ˜’πŸ˜’

Kuna dada mmoja namfaham yy alikuwa intake ya magomen na wenyewe walianza kabla ya sisi yaan tokea mwez wa nne..trainng walimaliza lakin visababu vidogo vidogo tu walivyo kuwa wanapewa vya kutoenda field...hapa ndio moyo ulienda mbio kabisaa

Stepha kwa kipind hicho tulikuwa tunakaa nae geto na kevoo anakaa kwa dada ake lakin nyumba ni moja jumamos ile jioni tukawa mimi na stepha tunamuuliza caro hii ni project kweli? Na hyo rafik yako una mfaham vizur? Hapo hapo akampigia simu kwa hofu lakin rafik ake akawa positiv kabisa yaan tuondoe wasi wasi...kevoo akaropoka nyie mna wasi wasi tuu ile pesaa mazee..yaan ulikuwa ukiongelea lile swala kama tumepigwa kule ndan keivoo alikuwa haelewi kabisaa yaan anakataa kusaport tena kuna muda anakumbusha walimu si walisema tusijadili jadili..tukishtukiwa tuu tunafukuzwaa..yaan yy pale alikuwa anawaza gari tuu kashawapigia masela wake ameagiza Altezza..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom