Tukafundishwa palee...na ilikuwa kila siku lazima wale walimu waulize kuna wagen? Wapo wapi? Wasimame thn wanasimama na wanaambiwa baada ya trainng kuisha wenyewe wabaki....nakumbuka hii ilikuwa siku kama ya nne na siku hyo alikuwepo jamaa yangu tulie soma nae kuanzia advnce tukachagua wote chuo kimmoja sema tukachaguliwa course tofauti...
Na hata siku ya kureport chuo tulireport wote na registration tulifanya pamoja na mwanzon kabisa tulipanga chumba kimoja..na tukakaa wote kwa miaka miwil ya mwanzo..ni yule aliyesema ngoja aongee na wazaz kweli walimpatia ile hela na akaja home pale na wala sio mgem pale..hata sister kevoo alie niunganisha anamjua hivyo akampatia sister kvoo laki sita ile na yule sister kvoo anaitwa(Caro) akaituma kwa yule rafik ake hvyo nae akawa amesajiliwa...kwa hyo tukawa mm ntu tatu..mimi keivoo na stephaa ambae ndio jamaa angu kabisaa...
Tulimtangulia stephaa kwa siku tatu na ya nne ndio akawepo...haikuwa kaz ngumu kwake kwan niliyofundismhwa nyuma nilimpiga msasa chapu chapu so kulikuwa haina haja ya yy kubaki baada ya trainng kuisha kwa siku hyo...na siku anae fika yy..walitugawa kwa makundi watu walio kuwamo kule...kila kundi moja lilikuwa na watu 13..na sharti kiongoz ndani ya kundi hilo lazima awe mwanamke...na hapa niseme kidogo wale jamaa waliweza kuwashika majina kwa haraka sana wanawake wa mule ndani..kiasi kwamba hata maswali walio kuwa wakiuliza yatokanayo na ile project alikuwa anapoint tu kwa kuwataja majina hvyo inakuwa rahis kututoa hofu kwa kuamin mbona wanafahamiana...
Kandri siku zinavyoenda kuna ukakasi nilikuwa naupata kila kipindi kikianza..mosi; ule mradi ni ufadhil wa marekani na hata kwenye vile vijarida (quationare zao) chini kabisa kuna website zao na uki google unazikuta kweli...lakin kwa nn wapewe vijana wadogo namna ile tena wenye fedha nying sana??? Kulikuwa na walimu wawil tu na wote ni wajinsia ya kiume mmoja ukimkadiria umri kwa kipindi hicho caz ilikuwa ni 2015 mwez wa 7 ni kama hajazid miaka 34 nq mwingine alikuwa na kama kwa kukisia miaka 37....na walikuwa na mbwembwe sana na mbinu za kufundusha kwel walijua hasa hyu wa miaka 34..
Wasi wasi mwingine nilio utilia shaka ni kwa nn kila akifundisha anasema huku ndan kila mtu anajua amekujaje..maswala ya kuanza kuulizana ooh cjui mwenzangu uliingiaje huku na akakupa vigezo tofaut na ww thn uanze kulalamika basi akijua tuu...mnarudishiwa chenu mnasepa...so swala la ww umeingiaje huku ibaki kuwa siri yako...!! Nilipata wasi wasi kidogo kwenye hilo..binafsi mimi kevo na stephano najua tumeingia kwa jumla ya sh.1.8M... kwa kuwa tulikuwa karibu..na hapo hapo watu walikuwa wanazid kuingia na hii nahisi ni baada ya vyuo vingi kumaliza mitihan..ilifika sehem kukawa kuna shift yaan tunao ingia saa tatu kasoro tunatoka saa sita na nusu...thn wanaingia wengine saa saba..na pia ilikuwa hivi..kadri siku watu wanavyo ongezeka ndio malipo yalikuwa yakipungua yaan..siku ya kwanza tulilipwa 20,000 ya pli 15,000 ya tatu 15,000 ile ya nne 10,000 hapa napo nilipata ukakasi..
Sasa tulikuwa tukirudi nyumban...mimi stephano na keivoo..kuna muda nilihis kupigwa yaan kama nimetapeliwa lakin nikiangalia ule umati dah naona kama siamin...na kuna muda wanauliza aliyepata dharura? Yaan kama mtu anaenda funga harusi, mtu aliyepata msiba, labda hatoenda field..wajitokeze kuna baadhi kwa uchache wao wanajitokeza wanapewa fedha zao wanasepa...na kuna wale viongoz wa makundi ambao..kiongoz inabid awe na namba ya simu kwa mwana kikundi ambae tutakuwa tunapata taarifa za kila siku kupitia yy...sasa kuna baadhi ya wana kikundi walikuwa wanawasumbua viongoz hawa na moja moja hawa viongoz wanareport kwa walimu wale na hapo hapo wanaitwa kwa utovu wa nidham wanapewa hela zao wanasepa..wanafukuzwa...hii walifanya ili kuziba minong'ono iliyo anza kuenea enea...hivyo walifanikiwa kwa kiasi..caz walisema usimuamin mwenzio ndan ya hili jengo utajiongelesha wee thn anakuja kukuchoma kwa siri na unafukuzwa so hata tukiwa tukipiga story mmoja akanzisha oya masema hii issue imekaaje? Utaanza kuona kila mmoja anasambaratika..[emoji23][emoji23][emoji23]
Jumamos na jumapili tulikuwa hatuendi kwan wale jamaa walikuwa na intakes hadi mikoani...sana sana walikuwa na intakes Arusha, Mbeya, Mwanza na Dar es salaam! Na dar haikuwa moja yaani zilikuwa kama tatu moja ubungo nyingine magomeni na nyingne sikumbuki...na ili sisi tuende Field lazimq kwanza zile intake zilizo tutangulia ziende thn sisi tufate..na hapa wasi wasi ndio ulinizid[emoji19][emoji19]
Kuna dada mmoja namfaham yy alikuwa intake ya magomen na wenyewe walianza kabla ya sisi yaan tokea mwez wa nne..trainng walimaliza lakin visababu vidogo vidogo tu walivyo kuwa wanapewa vya kutoenda field...hapa ndio moyo ulienda mbio kabisaa
Stepha kwa kipind hicho tulikuwa tunakaa nae geto na kevoo anakaa kwa dada ake lakin nyumba ni moja jumamos ile jioni tukawa mimi na stepha tunamuuliza caro hii ni project kweli? Na hyo rafik yako una mfaham vizur? Hapo hapo akampigia simu kwa hofu lakin rafik ake akawa positiv kabisa yaan tuondoe wasi wasi...kevoo akaropoka nyie mna wasi wasi tuu ile pesaa mazee..yaan ulikuwa ukiongelea lile swala kama tumepigwa kule ndan keivoo alikuwa haelewi kabisaa yaan anakataa kusaport tena kuna muda anakumbusha walimu si walisema tusijadili jadili..tukishtukiwa tuu tunafukuzwaa..yaan yy pale alikuwa anawaza gari tuu kashawapigia masela wake ameagiza Altezza..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]