Kuna muda unaweza kuishiwa pesa hadi ukatamani kumkopa mdada wa kazi

Usijali luckyline huu ndo uanaume tunapambana mpaka senti ya mwisho. Mungu ni mwema hizi ni nyakati tu za mpito
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huu uzi nimecheka sana, maana umekuja wakati muafaka kabisa. Mimi ijumaa, jumamosi na jumapili nilikuwa sina hata mia, ninaposema mia mnielewe...ni ile mia yenye moja na sifuri mbili. Nilianza kusachi mikoba, mabegi kabatini labda kuna siku nilisahau hata buku wapi...bahati nzuri jana nimeenda kanisani nikakutana na mtu nilikuwa namdai elfu tatu ndio akawa mkombozi wangu. Maisha haya yasikie tu
 
kuna vitu ni muhimu sana.
AKIBA

Kingine jitahidi uwe na vitu vya thamani kama TV,MUSIC SYSTEM, FRIJI, KITANDA, GODORO, N.K niamini hv vitu vinaokoa sana ukifulia maana hata ukiuza ukika sawa vina nunulika
Kuuza vitu hapana, labda iwe ni kwaajili ya kuokoa uhai lakini njaa tu hii acha iume tu
 
unaweza kunguta tenga lote la nguo lakini hata 100 huambulii maisha hayaaa... πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ ukikuta hata 1000 unaweza shukuru maisha yako yote
 
unaweza kunguta tenga lote la nguo lakini hata 100 huambulii maisha hayaaa... πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ ukikuta hata 1000 unaweza shukuru maisha yako yote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tafuta mifuko yote hamna kitu. Wakati kuna muda huwa nasahau hela ndogondogo nakutana nazo wakati wa kufua
 
Kinakuwaga ni kipindi kigumu sana nakumbuka niliwahi ktk kipindi kigumu sana mpaka nikakosa ela ya mafuta ya kujipa mwisho wa siku nikawa napakaa mafuta ya house girl wangu kisirisiri asijue
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakyanani
 
Ndio maana namheshimu sana mtu ambaye amenisaidia wakati nikiwa kwenye hali ngumu. Kuna mwalimu mmoja alisaidia sana wakati niko shule, nimejaribu kumtafuta nilipe fadhila ila sijampata. Mwisho wa mwezi inabidi nikatoe sadaka kwa ajili yake. Kuna mtu nilimsaidia sana akiwa na shida lakini alichonifanyia Mungu tu ndio anajua.
 
Nilishawahi fulia mpaka nikatamani kwenda kwa mkuu wa mkoa kukopa hapo nadaiwa Timiza .Tala .Branch nk .Yani nilitamani hadi kuwa omba omba ..Maisha haya ..
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€daah acheni haya mambo
 

Enheee
 
Kukopa kupo kuna wakati unaishiwa kabisa unawez muazima mtu hata kama utamrudishia kwa wakati bado kaheshima kanashuka
hakuna kushuka heshima kama unalipaaa...heshima inashuka kama unakopa alafu unakuwa msumbufu...!! me kuna ndugu nlimkopa laki akasema atanilipa hakunilipa hadi kesho lakini akiwa na shida mimi huwa namsadia bila kinyongoo
 
Fedha inahitaji nidhamu ya juu sana...caz hujui mbele unakabiliana na kitu gan? Kwenye utafutaji changamoto ni nyingi sana yaani kifupi hapa duniani tunakumbana na matatizo mengi na vichembe chembe vidogo vya starehe...binafsi cjawah amin ktk fedha nyepesi...ingawa fedha ina ushetani sana...Ni kupambana tuu..na kuomba Mungu...unapata pesa unapata mwenzi wako pasua kichwaa..yaan hapa pesa yako mwenyewe inakunyima aman...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nyumban hakukaliki, hakulaliki, mara hichi mara hiki..unaishia kutafuta faraja nje...hapo upate mchepuko au uhamie bar... 🀣🀣🀣🀣 dah..,kikubwa nikuomba Mungu...nakumbuka niliwah kujisemea sitakaa kuitolea macho pesa ya mwanamke kamwee..hata alipwe mil 100 kwa siku..kikubwa tu awe na upendo na familia..basii
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…