Kuna mwamba usiku huu kaja kwa bimkubwa wake kumwabia mkasa alioufanya mkewe sasa hivi

Kujiua utajiua wewe mwenyewe yan unashikwa unataitishwa vizuri na futa ukitoka hapo utajua wewe uendelee kuwa lokole au ujiue mwenyewe

Ila kwa ushauri mzuri mke wa mtu unajitafutia balaa kuna siku isiyo na jina itajenga historia kwako
 
Wenye haki yao ya kucheat siku hizi wanalia machozi ya usaha. Ubaya ubwela!
mm nilichitiwa bhn kibaya zaidi skufumania ila nlpga sana sim usku ule haikupokelewa asubuhi asubuhi akanpgia sim analia na kusema kacheat bt alikuw ni mchumba kwa wakati ila hadi sasa ni mke wangu. na hana hzo tabia mpaka sasa huwa najiulza shida ilkuwaga wapi? lakin pia ananfahamu vzuri kuwa mm ni kipanga hatari mana toka acheat mm nina list ya hata 50 hivi,kifupi maisha yana go on.
 
Bora wewe muelewa. Kama mtu kacheat na akajisemea mwenyewe huku anatubu basi ni kweli anajuatia kitendo alichofanya. Anapaswa kusamehewa.
Labda ile anakucheat na kukudharau tena bila kujutia hapo unaweza kumpiga chini..

Sasa useme unamuacha mwanamke unayempenda uende kuchukua malaya kila siku si afadhali ubaki na hako kamalaya kako kamoja ukatulize?😀😀

Wakati mwingine ni kuteleza tu bahati mbaya.
 
 
Kujiua utajiua wewe mwenyewe yan unashikwa unataitishwa vizuri na futa ukitoka hapo utajua wewe uendelee kuwa lokole au ujiue mwenyewe

Ila kwa ushauri mzuri mke wa mtu unajitafutia balaa kuna siku isiyo na jina itajenga historia kwako
Liwalo na liwe mie wake za watu ndio nawapenda...wanahudumia wengine mie najilia uroda dezo dezo
 
Mkuu fuatilia hii issue hadi kieleweke...tujue imeishaje!?
 
Nyiee Nyiee....
Mke kapelekwa kwao (na familia ya mume) asubuhi asubuhi.. Jana jamaa alipokimbia alienda kwa mgoni wake ila hakumkuta getoni kwake, muda sio mrefu nimemwona Mwamba (aliye chapiwa) na kaka wa mgoni wake wamejitenga mahali wanaongea.
 
Fuatilia Mkuu utupe "Updates"....
 
Sasa boya kama huyo kuna Mwanamke gani anaweza kukaa naye?

Kushikwa ugoni tu kakimbilia kwa maza kusimulia?

Kwanza Mwanaume Mwenye akili unaendaje kwa Mama yako kusimulia mambo ya mtu aliyetombwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…