Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

Mmmh mzee acha kujidanganya mimi zaidi ya miaka kumi naenda kila mwezi na nimetembea sehemu nyingi africa hakuna hata ukaribu wa southafrica na nchi yetu ni mbingu na ardhi
Wa south wanawake ni wakawaida sana huwez fananisha n'a warangi wanyaturu au wairaq kwa uzuri labda ww km kwenu mbeya au njombe ndio utaona wanawake wa SA wazuri

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Congo ni cha mtoto kwa South africa wacongo ni vibaka tu lkn South Africa ni wahuni

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Hawawezi fanya yote hayo bila pesa sasa wakatafute nini ulaya wakati vipo south
Shida sio kwenda ulaya shida hana vigezo vya kwenda ulaya wa south wengi wemeridhika na maisha n'a uchumi wa SA unamilikiwa n'a weupe wenyeji ni maskini tu ila wameridhika n'a umaskini wao wakila ugali na kulewa ndio maisha wameshamaliza

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Adult clubs na ma-stripper na ile miili daaaaah. Mpaka mwenyeji anakushtua oyaaa muda umeenda tusepe
 
Sasa hujatembea sehemu zingine za dunia unataka kusema South Africa ndio sehemu hatari ya kuishi.

Kuna nchi kama Haiti, El Salvador hizi ni moto wa kuotea mbali raia karibu wote washapinda.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Elewa mantiki ya member kuleta uzi huu

Yeye anaongelea SA kwa sababu ni sehemu ambayo kibongobongo unaweza kwenda kubeti maisha; sasa Haiti na El Salvador kuna wabongo wanakwenda kutafuta maisha huko?
 
Mexico, Colombia, Chile, El Salvador, Venezuela, Peru, na Ecuador huko ndipo wanakaa watu katili wasio ogopa kifo Wala serikali
 
Kuna miamba huko America ya kusini wana territories kabisa na hata jeshi wala polisi hawaingii au kusogeza pua zao
Mfano ni Brazil kwenye zile favella / slums za Rio De Janeiro kule kwenye milima
Kule kuna wahuni wanamiliki machine guns na silaha nyingine nzito na mpaka serikali ya mwanajeshi yule aliyepita , yule Rais aliyepita kabla ya huyu Da Silva , walipelekwa polisi kule wanauawa kama panya ,wakapelekwa wanajeshi ndio mpaka sasa wanapambana na hao wahuni ila hali ni mbaya , ile ni war zone kabisa , wale wahuni wameshindikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…