Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Wasauzi wengi wapo USA na China mkuu hizo mambo zilikua zamani sasa hivi mpaka pisi zao zipo kibao huko hasa kwa walioenda shule..Nadra kukuta kijana wa kisauzi ana ndoto za kuzamia ulaya akafanye nini wakati kila kitu anapata south
South Africa ina wahuni ,ila wahuni halisi dunia hii na magangwe wako kule Amerika ya kusini , lile bara almost kila nchi inatatizo kubwa la magenge ya wahuni na wahalifu wa mitaani ,vitu kama ujambazi ,madawa ya kulevya ,utekaji , biashara haramu ya human trafficking , viungo vya binadamu nkNchi imevurugwa ile
Ila Rio kule Brasil lile jiji lina kizazi cha laana sana ,kuna video nilicheki wahuni wanavamia bus stations vituo vya polisi na wanajeshi ,wanateka na kufanya massacres kabisa live live na wanarusha kwenye mitandaoJohannesburg watu karibia 3000 wamepigwa risasi sidhani rio au mexico city inafikia
Huyu ni Mbongo au Msouth? Ukijibu hili swali ndio nitakuelewa ulichomaanisha usichokijua wapo wabongo mixing na Southila kwa pisi kali ukija tanzania mademu zetu unawaona kama masokwe
Huwa nafuatilia crime incidences zao kupitia documentaries za National Geographic ,aisee Yale majitu ni makatili sijawahi onasouth Africa wanauwana kwa kupigana sana risasi,ila nchi za S.America wanauwana sana tena kinyama,kuchinjana,kukatana miili vipande kama mishakaki,ni vile zipo mbali hatusikii mamabo yao.
Vinchi vingi vya SOUTH AMERICA ile LATIN AMERICA wanaishi GANGSTER LIFE.mwezi wa 10 last yeakr niliingia south Africa. Ila February nikarud bongo nilifanikiwa kutembelea mikoai karibu yote
South Africa kimaendeleo imezidi nchi nyingi sana za ulaya ,Asia ,na america yaani south Africa ipo mbali san kiuchumi.
Tatizo Ina raia wenye hasira sana mara nyingi ni watu wenye kinyongo na kulipa kisasi yan dakika sifuri tu unawezA kupoteza uhai
Swala la mapenzi south Africa ni next level Kuna mchezo unaitwa sleep over.
Yani unawezA kukutana bint kituo Cha tren ukaomba namba ukifika home unamuomba aje alale kwako simply anakuja kesho anaondoka then unatafuta mwingine simply tu.
Shule south Africa wanafunzi wanavaa nusu uchi kama south Korea .
Ushoga na usagaji kwao sio kitu Cha kushangaza.
Halafu hao wahuni walitokana na kizazi cha kishenzi kilichozamia Marekani miaka ya 70 na 80 huko ,wakafanya uhuni Marekani na wengine wakaanza kufungwa na kurudishwa hizo nchi za Latin America na hao waliorudishwa na kutolewa magerezani Marekani kipindi kile cha Reagan ndio hao kizazi jeuri wakaendeleza umafia wao waliokuwa wanafanya kwenye miji ya Marekani hasa Chicago ,Los Angeles ,San Francisco , Newyork nkHasa iyo El salvador kuna makundi mawili moja linaitwa MS 13 na 18.yan kila raia anaezaliwa lazma awe kund moja kati ya hao na wana mitaa.
Wale wahuni wanazipiga mpaka na wanajeshi , yaani wanajeshi , paratroopers commandos wanakuwa supported na helicopters Ila bado mpaka leo kuna mitaa imeshindikana kuikomboaHakuna sehemu SA utafananisha na umafia wa Mexico City wale Wauza sumu wakiamua ipo mitaa hakuna mtu anatoka nje kitu ambacho SA hawajafikia huko na pia SA sehemu yeyote Polisi wanaweza kuvamia na wakatoka salama kitu ambacho Mexico ni ngumu mpaka watumie jeshi...
Hao Los zetas ,Kuna documentary niliona walituma mpaka timu ya wauaji Texas na Arizona kuua watu waliokuwa wanataka kuwauaLos zetas kuna mtu alikua anaitwa el taleban , balaa sana
Wale jamaa wamesambaza watoa habari wao kila kona mpaka sehemu za ibada wakipata taarifa pana kiongozi wa Kanisa anawazungumzia kwa mabaya watakuja kumteka siku ingine ya ibada wale sio watu kabisaa...Wale wahuni wanazipiga mpaka na wanajeshi , yaani wanajeshi , paratroopers commandos wanakuwa supported na helicopters Ila bado mpaka leo kuna mitaa imeshindikana kuikomboa
kuna kuuwa na kuuwa kinyama,South Africa watu wanauwa,ila huko America ya kusini watu wanauwa kikatili(kinyama).Huwa nafuatilia crime incidences zao kupitia documentaries za National Geographic ,aisee Yale majitu ni makatili sijawahi ona
Yaani waavyouana kule hata Mungu hapendi aisee
Amezungumzia NCHI iliyoendelea KIUCHUMI na SI SALAMA kuishiSasa hujatembea sehemu zingine za dunia unataka kusema South Africa ndio sehemu hatari ya kuishi.
Kuna nchi kama Haiti, El Salvador hizi ni moto wa kuotea mbali raia karibu wote washapinda.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kuna muda zile nchi za Latin America zitaongozwa na cartels za wahuni ,Wale jamaa wamesambaza watoa habari wao kila kona mpaka sehemu za ibada wakipata taarifa pana kiongozi wa Kanisa anawazungumzia kwa mabaya watakuja kumteka siku ingine ya ibada wale sio watu kabisaa...
Mexco ni kwenye mitaa ya wauza unga, kama wewe sio police na wala sio muuza unga haaana shida na wewe, Sasa South tu mambo ya kuchukuliana wanawake hii ni kosa kubwa.Mexico sio Nchi ile unakuta karibu watu wengi wamejichora tattoo wao wanazielewa wewe ambae hauna tattoo yeyote unaweza kumuuliza kitu akakuangalia tu au akivurugwa anakuchapa risasi ile ndio Nchi niliona mtu anatumwa dukani anakumbushwa kuchukua na bastola...