Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Wanajua kujibrand na uongo mwingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini SUMUMA GANG imerudishwa kiaina "ili kubalance" kura za mwakani.Tuombe radhi watu wa kanda ya ziwa,, hakuna kitu tumemaind kama kumpiga chini Dada yetu kipenzi Angelina Mabula ardhi na kumuweka huyo dogo,, tumemaind sana na mtajua tu soon kwa nini hatukupendezwa na hilo jambo
Doh kumbe watu mna mnavuta tu file za watu.Imebidi nimwangalie tena nikasoma na hii comment yako nikaishia kucheka.Mchengelwa japo alishawahi kuwa katibu wa Jaji kiongizi lakini kichwani hamna kitu. Alishawahi kupewa mafaili Aandae hukumu akaandika Madudu tu. Bora alivyoingia siasani tu akafie huko
HAKUNA JIPYA WANASHERIA WANAOINGIA MIKATABA YA HOVYOWakati Tunakaribia uchaguzi mkuu 2025, Dream team imeanza kupangwa, Captain amepewa captain msaidizi {kapten kapunguziwa madaraka kijanja} huku mabeki wakipewa wanasheria.
Kapten kashtuka, ameamua kukaa kimya, naye anajipanga anataka namba 2025, wacha inyeshe tujua pavujapo.
Kanda ya Ziwa ambapo mikutano ya CAHDEMA imebamba sana, sasa team "JPM" imerudishwa ili wananchi wajione wanawakilishwa, Mabula ambaye amefeli sana kwenye Wizara ya Ardhi na pia kuhusishwa na kashfa kadha ameachwa.
1. Jerry Slaa, Waziri Ardhi-Mwanasheria
2. Anthony Mavunde, Waziri Madini-Mwanasheria
3. Pindi Chana, Waziri Katiba na Sheria-Mwanasheria
4. Dr. Damas Ndumbaro, Waziri Sanaa na Michezo-Mwanasheria
5. Omary Mchengerwa, Waziri Tamisemi-Mwanasheria
6. Ummy Mwalimu, Waziri afya-Mwanasheria
7. George Simbachawene, Waziri Utumishi-Mwanasheria
9. Angela Kairuki, Waziri Maliasili-Mwanasheria
10. Ridhiwan Kikwete, Naibu Waziri Utumishi-Mwanasheria
11. Byabato, Naibu Waziri mambo ya Nje-Mwanasheria
12. Judith Kapinga, Naibu Waziri Nishati-Mwanasheria.
13. Geofrey Pinda, Naibu Waziri Ardhi-Mwanasheria
14. Tulia Ackson [pHD ya Sheria]-Spika wa Bunge
Tupo salama kwa sasa baraza karibu lote ni learned brothers hatutegemei uchafu.
a[emoji41][emoji1241]
Wananchi Kipenzi chao ni Magufuri na sio mtu mwingine yule.Wakati Tunakaribia uchaguzi mkuu 2025, Dream team imeanza kupangwa, Captain amepewa captain msaidizi {kapten kapunguziwa madaraka kijanja} huku mabeki wakipewa wanasheria.
Kapten kashtuka, ameamua kukaa kimya, naye anajipanga anataka namba 2025, wacha inyeshe tujua pavujapo.
Kanda ya Ziwa ambapo mikutano ya CAHDEMA imebamba sana, sasa team "JPM" imerudishwa ili wananchi wajione wanawakilishwa, Mabula ambaye amefeli sana kwenye Wizara ya Ardhi na pia kuhusishwa na kashfa kadha ameachwa.
1. Jerry Slaa, Waziri Ardhi-Mwanasheria
2. Anthony Mavunde, Waziri Madini-Mwanasheria
3. Pindi Chana, Waziri Katiba na Sheria-Mwanasheria
4. Dr. Damas Ndumbaro, Waziri Sanaa na Michezo-Mwanasheria
5. Omary Mchengerwa, Waziri Tamisemi-Mwanasheria
6. Ummy Mwalimu, Waziri afya-Mwanasheria
7. George Simbachawene, Waziri Utumishi-Mwanasheria
9. Angela Kairuki, Waziri Maliasili-Mwanasheria
10. Ridhiwan Kikwete, Naibu Waziri Utumishi-Mwanasheria
11. Byabato, Naibu Waziri mambo ya Nje-Mwanasheria
12. Judith Kapinga, Naibu Waziri Nishati-Mwanasheria.
13. Geofrey Pinda, Naibu Waziri Ardhi-Mwanasheria
14. Tulia Ackson [pHD ya Sheria]-Spika wa Bunge
Tupo salama kwa sasa baraza karibu lote ni learned brothers hatutegemei uchafu.
a[emoji41][emoji1241]
Jafo, kasoma sua piaWa kuaminika ni wanafunzi wasomi kutoka SUA tu, wengine ni matakataka tu!
Kuna ka-ukweli hivi.Tanzania haijawahi kukosa wasomi, na watu wenye uwezo ki fikra na mikakati, Tanzania inakosa watu wema, wazalendo wa kuwahudumia wananchi.
Ni wale wa Serikali ambao wanaingia kazini saa mbili na nusu na kutoka saa tisa mchana.HAKUNA JIPYA WANASHERIA WANAOINGIA MIKATABA YA HOVYO
Badala ya kuandoka mawakili, ungeandika wanasheria watawala Baraza la Mawaziri sababu hujui kama wote wanaruhusiwa kufanya shughuli za uwakili. Uwakili ni mpaka usajiliwe na uwe unalipa retention feesWakati Tunakaribia uchaguzi mkuu 2025, Dream team imeanza kupangwa, Captain amepewa captain msaidizi {kapten kapunguziwa madaraka kijanja} huku mabeki wakipewa wanasheria.
Kapten kashtuka, ameamua kukaa kimya, naye anajipanga anataka namba 2025, wacha inyeshe tujua pavujapo.
Kanda ya Ziwa ambapo mikutano ya CAHDEMA imebamba sana, sasa team "JPM" imerudishwa ili wananchi wajione wanawakilishwa, Mabula ambaye amefeli sana kwenye Wizara ya Ardhi na pia kuhusishwa na kashfa kadha ameachwa.
1. Jerry Slaa, Waziri Ardhi-Mwanasheria
2. Anthony Mavunde, Waziri Madini-Mwanasheria
3. Pindi Chana, Waziri Katiba na Sheria-Mwanasheria
4. Dr. Damas Ndumbaro, Waziri Sanaa na Michezo-Mwanasheria
5. Omary Mchengerwa, Waziri Tamisemi-Mwanasheria
6. Ummy Mwalimu, Waziri afya-Mwanasheria
7. George Simbachawene, Waziri Utumishi-Mwanasheria
9. Angela Kairuki, Waziri Maliasili-Mwanasheria
10. Ridhiwan Kikwete, Naibu Waziri Utumishi-Mwanasheria
11. Byabato, Naibu Waziri mambo ya Nje-Mwanasheria
12. Judith Kapinga, Naibu Waziri Nishati-Mwanasheria.
13. Geofrey Pinda, Naibu Waziri Ardhi-Mwanasheria
14. Tulia Ackson [pHD ya Sheria]-Spika wa Bunge
Tupo salama kwa sasa baraza karibu lote ni learned brothers hatutegemei uchafu.
a😎🇹🇿
Ni mawakili, mimi nafahamu:Badala ya kuandoka mawakili, ungeandika wanasheria watawala Baraza la Mawaziri sababu hujui kama wote wanaruhusiwa kufanya shughuli za uwakili. Uwakili ni mpaka usajiliwe na uwe unalipa retention fees
Asante mh. Jaji. Inaonekana ulifanya research kali sana ndio ukaja na andiko.Ni mawakili, mimi nafahamu:
Wanasheria ni hao ambao hawana roll number.
siandiki nisicho kijua.
ingia google andika "MJUE WAKILI" then andika jina la yeyote hapo, ila usikosee hata spelling kama wazaaramo badala ya kusema "MREMA " wanasema "MLEMA"
Asante sana.Asante mh. Jaji. Inaonekana ulifanya research kali sana ndio ukaja na andiko.
Hongera sana pia jana mawakili na wanasheria wenzako wamepata tena uteuzi. Nafikiri almost 99% ni nyie tu. Term yenu hii mkuu. Uongozi uliopita engineers walipeta sana. Labda awamu nyingine madaktari au walimu tutapeta
Lakini pale kada moja inapowakilisha more than 80% ya appointments zote inafikirisha sanaAsante sana.
MAJALIWA KASSIM anawakilisha walimu.
JPM aliwakilisha walimu.
NYERERE aliwakilisha walimu.
Tukubali tu , walimu ndio wametufikisha tulipo, tunatambua mchango wao.
Labda ndio hao hao wana uwezo.Lakini pale kada moja inapowakilisha more than 80% ya appointments zote inafikirisha sana
Mkuu, umesema kweli tupu. Nilitaka kuzungumzia hili, ila nashukuru umenitangulia.They've never practiced at all .Kuna tofauti ya daktari aliyewahi kuingia wodini na ambaye hajawahi kuingia wodini kabisa.
Inasemekana hawajui kufanya research na hata hiyo theory waliyosoma walishasau bali wamebaki na majungu ya kisiasa tu, mimi kama jaji sijui>
Uko sahihi kwa sehemu.Kusoma sheria hakukupi hadhi ya kuitwa wakili.
Wengi hapo wamesoma sheria, lakini sio mawakili/wanasheria.
Taaluma ambazo zinazohitaji kufanya proffesional exams and practice duration to gain experience in order to qualify; bila ya kufanya hivyo uwezi kuitwa proffesional, umesomea tu hayo mambo.
Hakuna law firm itakuajiri bila ya malengo ya kukutengenezea njia ya kupata proffesional qualification; na muda huo watakutumia kama research assistant tu uwezi kupewa kesi yoyote kama kampuni ya maana.
Wewe unamwonaje Jafo?Jafo, kasoma sua pia
Kwa hiyo unataka tumuamini?.
Asante kwa ufafanuzi mzuri. Lakini teuzi zikiwa zinatolewa kwa jinsi watu wanaweza kusimama na kuzungumza current issues tu na siyo vigezo vingine vya kunyamaza nahisi kuna tatizoLabda ndio hao hao wana uwezo.
Mwalimu gani anapigania demokrasia nchini?
Mwalimu gani ama engineer yupo kuhoji mikataba DP WORLD?
Mwalimu gani anapambana kuhakikisha watu wnapata katiba na tume huru?
Hao wanasheria wanao pambana ndio hapo hao wanaonekana kwenye teuzi!
Ukiacha Maria Sarungi ambaye hana chama na si mwanasheria wengine wanao pambana ni mawakili/wanasheria.