Raia wengi sahv wanasema kuishi nchi fulani sahv ni hatari,suala la kufa ni jambo jepesi sana kukutokea tena unachomolewa mbele ya watu wanaondoka na wee na haurudiHasa na kilichomchanganya zaidi ni Hizi Threads zetu hapa JamiiForums kwani kila akisoma anakuta Kapigwa tu Spana.
Lakini Malasusa alikemea na kutoa rai kwa wachungaji kote nchini kuombea taifa na kukemea jambo hiloJamaa limefukia tonge kumi haraka haraka zimeteleza moja kwa moja bila hata kutafunwa then likaja kumwaga madini kabla tonge hazijapoa
Anyway, hilo dhehebu ni KKKT, lkn huyo unaesema mama anamuheshimu yeye si alikuwepo harvard jana, kwani amesharudi msoga?
Baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa.
Hivyo basi ili kutuliza hali hii na haya Mashambulizi ya Mitandaoni (hasa hasa hapa kwenye Watu wenye Akili Kubwa JamiiForums) kaomba Msaaada wa Kusafishiwa Anga ili upepo ubadilike kwani hata Yeye pia Kagundua kaharibu japo kutoka mbele Kukiri huo Udhaifu hata akipewa Karafuu za Kwao na Haluwa hawezi.
Tegemeeni yafuatayo muda wowote kuanzia sasa.......
1. Chama chake Taifa kufanya Press ya Kutetea Boko lake
2. Wale wa Vijana nao kila Kona ya Nchi kuitisha Press Kumuunga Mkono
3. Huenda kukawa na Mabadiliko Sekta fulani ili Kutuhamisha Kifikra
4. Huenda kuna Tukio baya la Kijamii litatokea ili Kufunika hili kwani Mashambilizi yetu yamemvuruga
5. Ataomba Poo kwa Mabalozi husika huku akijifanya Kuwatembelea kuonyesha hakuwa na baya nao
6. Kuna Mtandao fulani utafuatwa kuombwa kuwajua Members Thinkers ni akina nani kwa Majina halisi
7. Viongozi wa Dini fulani na Dhehebu fulani 'pelekwa pelekwa' siyo langu la RC wataombwa Kumsafisha
Nimem
Simply like that!Kayanunue kwa Tapeli wa Kiimani Mwamposa Tanganyika Packers Kawe.
Asante sana Mkuu nimezipokea Credits zako zote kwa Mikono miwili. Haya akina Lucas Mwashambwa Mwanafunzi wangu na Chawa Dunduka ChoiceVariable ni lini na nyie Members hapa JamiiForums wawatambua kuwa mna Madini Vichwani na ni Great Thinkers kama GENTAMYCINE na wachache baadhi?😀😀😀😀...kuna watu ni genius aisee, your among them, even before hayo kutokea, with a such kind of presentation ,have my salute brother
Tangu jana mnahangaika,kaongea mara moja tu,nyuzi kila baada ya robo saa..'zile sheria bado zipo'Baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa.
Hivyo basi ili kutuliza hali hii na haya Mashambulizi ya Mitandaoni (hasa hasa hapa kwenye Watu wenye Akili Kubwa JamiiForums) kaomba Msaaada wa Kusafishiwa Anga ili upepo ubadilike kwani hata Yeye pia Kagundua kaharibu japo kutoka mbele Kukiri huo Udhaifu hata akipewa Karafuu za Kwao na Haluwa hawezi.
Tegemeeni yafuatayo muda wowote kuanzia sasa.......
1. Chama chake Taifa kufanya Press ya Kutetea Boko lake
2. Wale wa Vijana nao kila Kona ya Nchi kuitisha Press Kumuunga Mkono
3. Huenda kukawa na Mabadiliko Sekta fulani ili Kutuhamisha Kifikra
4. Huenda kuna Tukio baya la Kijamii litatokea ili Kufunika hili kwani Mashambilizi yetu yamemvuruga
5. Ataomba Poo kwa Mabalozi husika huku akijifanya Kuwatembelea kuonyesha hakuwa na baya nao
6. Kuna Mtandao fulani utafuatwa kuombwa kuwajua Members Thinkers ni akina nani kwa Majina halisi
7. Viongozi wa Dini fulani na Dhehebu fulani 'pelekwa pelekwa' siyo langu la RC wataombwa Kumsafisha
Nimemaliza.
Hapo kwenye think tank hapo ndiyo pamoto sana. GENTAMYCINE jiandae maana wewe ndiyo ulikuwa wa kwanza kimbelembele chakoBaada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa.
Hivyo basi ili kutuliza hali hii na haya Mashambulizi ya Mitandaoni (hasa hasa hapa kwenye Watu wenye Akili Kubwa JamiiForums) kaomba Msaaada wa Kusafishiwa Anga ili upepo ubadilike kwani hata Yeye pia Kagundua kaharibu japo kutoka mbele Kukiri huo Udhaifu hata akipewa Karafuu za Kwao na Haluwa hawezi.
Tegemeeni yafuatayo muda wowote kuanzia sasa.......
1. Chama chake Taifa kufanya Press ya Kutetea Boko lake
2. Wale wa Vijana nao kila Kona ya Nchi kuitisha Press Kumuunga Mkono
3. Huenda kukawa na Mabadiliko Sekta fulani ili Kutuhamisha Kifikra
4. Huenda kuna Tukio baya la Kijamii litatokea ili Kufunika hili kwani Mashambilizi yetu yamemvuruga
5. Ataomba Poo kwa Mabalozi husika huku akijifanya Kuwatembelea kuonyesha hakuwa na baya nao
6. Kuna Mtandao fulani utafuatwa kuombwa kuwajua Members Thinkers ni akina nani kwa Majina halisi
7. Viongozi wa Dini fulani na Dhehebu fulani 'pelekwa pelekwa' siyo langu la RC wataombwa Kumsafisha
Nimemaliza.
Hivi ulifikiria nini hadi ukaandika hivyo. Kila nikiiona hiyo Post yako hapa Juu nabaki Kucheka tu hapa nilipo. Haya bhana.
Unamuamini na unaliamini Kanisa la KKKT Mkuu?Lakini Malasusa alikemea na kutoa rai kwa wachungaji kote nchini kuombea taifa na kukemea jambo hilo
Jamaa kanifanya Nicheke sana kwa ile Post yake.Hahah unajua ukishakula msosi mzuri ubongo huwa unasettle na kumwaga points ndio maana msela kaandika hivyo...
Rubbish and Nonsensical.Tangu jana mnahangaika,kaongea mara moja tu,nyuzi kila baada ya robo saa..'zile sheria bado zipo'
Hivi na wewe una jiona upo sawa kichwani.Asante sana Mkuu nimezipokea Credits zako zote kwa Mikono miwili. Haya akina Lucas Mwashambwa Mwanafunzi wangu na Chawa Dunduka ChoiceVariable ni lini na nyie Members hapa JamiiForums wawatambua kuwa mna Madini Vichwani na ni Great Thinkers kama GENTAMYCINE na wachache baadhi?
Zamani tulijuwa haya mambo yanafanyika kwa majambazi sugu wale walikuwa wanamalizqna nao kimya kimya,eh sahv upepo umehamia kwengineNilishangaa nikajisemea sasa tukae mguu sawa, mambo yamebadilika
Hata kama Sina bando,kuna kahotel nitavizia kawaifii kao!Tega sana Sikio lako kuanzia hii Leo (hasa Usiku huu) hadi Ijumaa au Jumamosi. Nakuomba hizi Siku tajwa zizingatie!!!
Yaani ilikua hata akiuliwa mtu mtaa unashangilia na kufurahia, lakini kibao kimegeukaZamani tulijuwa haya mambo yanafanyika kwa majambazi sugu wale walikuwa wanamalizqna nao kimya kimya,eh sahv upepo umehamia kwengine
Ova
Kama Aliyekuzaa.UNA...KA...TWAAAA
Haeleweki yule dingi,na juzi alijikakamua baada ya kelele nyingi zingine zikisikika toka ndani ya Kanisa (vijana) kuhusiana na ukimya na ndiyo maana akajikaza kuongea na nadhani ilikuwa msibani......ila Malasusa alishasema kwa lolote lile yeye atakuwa upande wa gavamentiUnamuamini na unaliamini Kanisa la KKKT Mkuu?
Namba 6 = Jamiiforums. Wanataka kukata mkia wa JF siyo?Baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa.