Tetesi: Kuna tetesi kuwa kuna mambo yatafanyika ili kuzima yanayojiri Sasa

Lakini Malasusa alikemea na kutoa rai kwa wachungaji kote nchini kuombea taifa na kukemea jambo hilo
Mimi kwa mara ya kwanza nimemwona Malasusa amekemea na hata sauti yake ilikuwa ya ukali aisee sikutegemea .Ila Mama nimeshangaa sana jana kuanza kujitambulisha mimi ndie amiri Jeshi daaa tumefika huko kwamba hata wasiojulikana na wanaojulikana na waliopotea waliokufa hawajui kuwa Raisi ni amiri jeshi mkuu
 
Na ndiyo maana wenye Akili Kubwa tumeamua Kumpa Spana za Kutosha tu ili ajue kuwa Jana Kalikoroga na Kaharibu.
 
SAMIA MUST GO
 
Binafsi pia ilinishtua sana mkuu, mpaka nikahisi mambo kadhaa yaliyokuwa yakisemwa baada ya kifo cha JPM,nikahisi inawezekana aliside na wale ambao hawakutaka smooth transition kama katiba inavyotuongoza
 
Hamna lolote mama kapiga kwenyewe kwenye mshono, sasa hivi wale jamaa wanajitafuta baada ya kuambiwa kua kila hatua inajulikana. Genta kashiba ugali na makande ya maharage 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ndiyo maana Namdharau, Tunamdharau na Tunawadharau huko Kwao pia.
 
Tayari huko Jamhuri ya Whattapp kazi imeanza tunaforwadiwa kujuwa balozi ni nini na kazi zake kana kwamba Watanzania ni mazezeta kiasi hicho.

Sasa hizi propaganda wataenda kuzieleza wakati wa kuomba misaada?

Yani akili ya maccm yanasimamisha saa yakiamini kweli muda nao unasimama, stupid kabisa.

Dr Nchimbi press yake alifanyakazi nzuri sana ya kutuliza hali ya hewa na watu wakamuelewa wakawa na subra, sasa huyu mama sijui karogwa nini yarabi kaja kuyakoroga kabisa maji yaliyotuama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…