Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Wamebadili maisha unajua tena ugali wanaudharau wakati wameula miaka 30
Sasa kubadili maisha haraka kisa wanapata za wizi, rushwa, hongo, na hata utapeli basi hapo wanaanza kujiona watakulaje ugali tena
Mda wa manyama na chips kuku au mayai na juice zilizojaa sukari za bila viwango
Matokeo yake ni kufa kwa taabu sana wakiandamwa na kisukari, BP na mengine