Kuna ulazima hayo mashindano ya Quran yafanyike Mkapa Stadium? Siku ya mchezo Simba vs Orlando!?

Kweli ,ndio maana inapigiwa promo watu wajae wanatumika mpk watu maarufu Ktk fani mbalimbali kupromote Ktk page ya Kishki insta.
 
Yanatakiwa yafanyike mbinguni ila kutokana na watu wenye kuipenda imani na umoja wa dini yao na kutokuwa wanafiki inabidi yafanyikie mkapa hakuna namna.
 
Hapa mkatoliki mwenzangu umefuka moshi
 
Kama shughuli yao inaisha saa 7 sioni shida kwasababu kuna masaa matano mbele kufikia muda wa mchezo
Kwa mujibu wa vyama vya michezo, kiwanja kinatakiwa kuwa wazi masaa mangapi kabla ya mechi kuanza!?
 
Kwani kipi kilianza!? Kunankimoja kimekuja ghafra..!? Simba na Wasauzi ilijulikana kabla, mashindano hayo vipi!?

Naanza kuona lawaza za UDINI zitaelekezwa kwa wasio waislamu
Labda ulikuwa huna taarifa, mashindano ya Quran yalitangazwa toka mwezi wa tatu mwanzoni, kabla ya simba kufuzu hatua ya robo fainali
 
Kulikua kuna haja gani kusema binafsi wewe ni mkatoliki?.mara nyingi watu mnaotangulizaga kauli zakujionyesha uko upande fulani unapozungumzia upande mwingine mnakuaga wanafiki sana.Wewe toa mawazo mambo yakujifanya uko upande fulani ni unafiki.
 
Kwani kuna mtu kasema lisifanyike? Suala ni mahali linapofanyikia kwa siku hiyo sio mahali sahihi sababu hiyo sehemu kwanza ni kwa ajili ya michezo na siku hiyo kuna mchezo. Je utaunga mkono ikiamuliwa wakafanyie shuleni na masomo yaahilishwe?
Nakuuliza wapi uliona uneandikwa ni wa mchezo tu? Viwanja huwa ni vya mambo yote ya kijamii, kuwekwa zile nyasi pale ni ili pia kuruhusu mpira wa miguu maana ni sehemu ya jambo la kijamii.

Mechi ya simba ndio imeingilia mashindano ya Quran maana ratiba ya simba ni ya juzi wakat ya mashindano Quran ni ya kitambo
 
Kulikua kuna haja gani kusema binafsi wewe ni mkatoliki?.mara nyingi watu mnaotangulizaga kauli zakujionyesha uko upande fulani unapozungumzia upande mwingine mnakuaga wanafiki sana.Wewe toa mawazo mambo yakujifanya uko upande fulani ni unafiki.
Unakereka nini na mimi nikitangaza maslahi yangu? Hilo lipo kila mahali infact ni sehemu ya ethics, ukitaka kuchangia jambo ukiona Lina maslahi ya pande kadhaa lazima ufanye declaration of interest
Chukua hilo somo nakupa bure kuku wewe
 
Mashindano yameanza kutangazwa kabla ya mechi.
 
Kuna ukweli hapa
 
Hakuna anayesema hayana muhimu, Ila kwa nini lazima yafanyike uwanja wa Taifa yasifanyike hata uhuru?
 
Kweli ,ndio maana inapigiwa promo watu wajae wanatumika mpk watu maarufu Ktk fani mbalimbali kupromote Ktk page ya Kishki insta.
Ingekuwa wanalenga quran tu, isingehitaji promo kubwa hivi...huyu jamaa amekuwa tapeli sana...

Usanii mwingi sana...hivi unadhani ile hospital waliyolilia uwanja wa MWEMBEYANGA wajenge siku ile na Magufuli...ni kwamba ukiumwa unaenda tibiwa bure...? Yaani wanataka waoneshe wadhamini kwamba hela wanazopewa zinatumika ipasavyo...ila ALLAAH NDIYE MJUZI ZAIDI....
 
Soma vizuri nimeandika ni kwa ajili ya michezo kwanza na sijaandika ni kwa ajili ya michezo tu. Maana yake kama kuna mchezo mkubwa na mkusanyiko mwingine basi mchezo ndio unapewa kipa umbele wa kufanyika pale. Duniani kote viwanja vinajengwa kwa ajili ya michezo kwanza.
 
Dini imekisaidia nini?imewahi kukuletra neemaipi kama chakula,kukulipia kodi,kukulipia matibabu,nk

Ujinga wa kuwekeza kwenye dini za kuletwa hauna maana tena Afrika.

Haya hiyo dini itumike kutuondolea ufisadi,kupanda mafuta,hali ngumu,nk
 
Ule ni awanja wa michezo sio dini unless kama Quran ni moja ya michezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…