Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,952
- 4,416
Wapelekwe mwembe yanga wazee wa kobazi. Kule ndio maeneo yao.
Mwembe Yanga picha za event hazitatoka vizuri[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapelekwe mwembe yanga wazee wa kobazi. Kule ndio maeneo yao.
Ndio Mana vilabu vinatakiwa viwe naviwanja vyao.Unaambiwa waliotangulia kukodisha ni waislamu wameulipia na risti zote wanazo na walianza kutoa matanganzo.kisha mtu akuhamishe kirahisi rahisi .Hakuna anayesema hayana muhimu, Ila kwa nini lazima yafanyike uwanja wa Taifa yasifanyike hata uhuru?
HahahahahDini Ni kifupi Cha "Dunia Ina nongwa iache"
Cheki zenu dhidi ya uislam hazitoisha mpaka kiyama hilo tunalijua, na uzuri wake ni kuwa tumefundishwa jinsi ya kuishi na nyinyi bila shida.Waislamu wana mambo ya ajabu sana kwenye kila jambo lao, hata mtaani wanafunga barabara ety kisa cjui visherehe vyao vya kupotezeana muda.
Ule uwanja ni kwa ajili ya shughuli za kijamii, ili upewe ruhusa ya kuutumia kuna taratibu za kufuata.Hakuna anayesema hayana muhimu, Ila kwa nini lazima yafanyike uwanja wa Taifa yasifanyike hata uhuru?
Mimi nimefunga sipo hapa kwa ajili ya matusi na kejeli na wala siyo mpenzi na mfuatiliaji wa hayo mashindano ,ila naona wana Jf(baadhi ya wakirsto) inapokuja maada inayohusisha na Uislamu hata kwa asilimia 1 mna chukua advantage ya kutukana hovyo na kwenda pakubwa nje ya maada iliyoletwa kiasi ambacho kinapelekea kukosa pasi na UADILIFUTulia wewe Jini Maimuna. Ona sasa mnavyo hangaika kutafuta eneo la kufanyia hayo mashindano yenu!
Viwanja vyenu vyote mmeuza! Sheikh Ponda kapambana weeeh kuwasaidia kuvirejesha! Mkaishia tu kumuweka mahabusu. Tukio kama hilo lina ulazima gani wa kufanyia kwenye uwanja unaotumika kwa ajili ya michezo?
Lakini ule ni uwanja wa michezo, Je hayo mashindano ni sehemu ya michezo?Mashindano ya Qur-an ni bora zaidi ya huo upuuzi wa mpira wa simba na orlando,Uwanja ni wa taifa na unatumika kwa watanzania wote wawe waislamu au wakristo...mleta mada una chuki na uislamu na bado uislamu utazidi kupaa juu zaidi na mtabaki mnashangaa kama kule Times Square,Hoja za hovyo eti watu watatokaje uwanjani baada ya mashindano kuisha,hakuna muislam anayeweza kujaribu kujificha eti aangalie mpira bure..ilhali kaenda kwa dhati kabisa ya moyo wake kusikiliza maneno matukufu ya Mola wa ulimwengu huyo atakuwa kafiri na sio muislam..naamini baada ya shughuli kuisha watatoka wote ili kupisha wapenda mpira kuingia...uislamu ni dini ya haki hivyo hatuwezi kudhulumu haki ya mtu siku hiyo.
Samia anachanganya dini na serikali.Anaharibu hii nchi,Jesuit mko wapi?okoeni hili taifa dhidi ya 'Nebukadreza'.Tunajua sote jinsi mchezo huu ulivyo muhimu kwa Simba na Taifa kwa ujumla, ndio wa kwanza katika historia ya Nchi yetu kutumia teknolojia ya usaidizi wa Video kwa Mwamuzi (VAR).
Zaidi ya hayo Sheria za CAF zinataka uwanja kuwa wazi angalau saa 72 kabla ya mchezo.
Pamoja na kwamba Wanasema saa 7 kamili hao washindani wa Quran watatolewa kwa usaidizi wa Polisi...
Lakini naona kabisa hapa kuna lawama zinaenda kutengenezwa sisi Waswahili tunajijua katika kutunza muda.
Lakini vipi kama mtu akaingia then akagoma kutoka ili aangalie mechi?
Lakini vipi kama hayo mashindano yakachelewa kwisha baada ya saa 7?
Ndio maana nauliza kuna ulazima haya mashindano kufanyika Lupaso?
N.B
Sina nia ya kukashifu Dini ya mtu.
Hayo mashindano ya Quran ni ya msingi kuliko mchezo wa mpira, ni jambo jema kuliko hata maadhimisho ya kitaifa yanayofanyika hapo.Takbiiiir
Binafsi ni mkatoliki kindaki ndaki lakini napingana na mtoa mada, huwezi kulinganisha mchezo na jambo jema linalomhusisha Mwenyezi Mungu na kuwaongoza watu ktk njia ya haki na unyoofu.
Tumsifu yesu kristo...
Kanisa la kisinodi.....
Mwana kondoo ameshinda...
Salam aleykum...
yamekuwa haya 😀Wakatoliki hamna ujanja wa kukusanya watu 60000+ kwa pamoja, wote mko busy kwenye mabaa
Haha acha uoga kama kikosi kiko vizuriAcha mashindano ya Quran yafanyike hapo, wakimamaliza muda wa maandalizi ya mechi ya Simba yatakuepo.atutaki timu yetu ya Simba iwe na mikwaruzano na dini yeyote ile.
Uwe na adabu wazee wa kobazi maanake nini?Wapelekwe mwembe yanga wazee wa kobazi. Kule ndio maeneo yao.
Acha ubishi ule ni uwanja wa soka umetengenezwa kwa malengo hayo, hayo mengine niyaziada tu.Sijui ni wapi uliona ule ni maalum kwa mpira wa miguu.
Ule ni mult purpose hata sisi wakristo huwa tunafanyia shughuli pale
muhimu,wasituharibie tunguli zetuNa ikumbukwe kuwa haya mashindano ya quran hayana kiingilio
Na ikumbukwe kuwa haya mashindano ya quran hayana kiingilio