Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Nani kawapa watumie siku hiyo? Kwani ule no uwanja wa mpira au wa dini?
Naamini hakuna uwanja wa Dini,
Wanaweza kutumia hata huo wa Mkapa ila sasa kwanini siku hiyo ya game?
Lakini Uwanja ni kwa ajili ya Mpira,
Hata huko FIFA inajulikana ni uwanja wa mpira sio Dini..
Kwahiyo Busara hapo ingetumika walau yafanyike siku moja kabla au baada,
Lakini siku ya mechi hapa Kuna lawama zinaenda kutokea..
Takbiiir
Nchi Haina Dini. Wakashindanie Misikitini.
Kwann wasiende jangwani?
Tunajua sote jinsi mchezo huu ulivyo muhimu kwa Simba na Taifa kwa ujumla, ndio wa kwanza katika historia ya Nchi yetu kutumia teknolojia ya usaidizi wa Video kwa Mwamuzi (VAR).
Zaidi ya hayo Sheria za CAF zinataka uwanja kuwa wazi angalau saa 72 kabla ya mchezo.
Pamoja na kwamba Wanasema saa 7 kamili hao washindani wa Quran watatolewa kwa usaidizi wa Polisi...
Lakini naona kabisa hapa kuna lawama zinaenda kutengenezwa sisi Waswahili tunajijua katika kutunza muda.
Lakini vipi kama mtu akaingia then akagoma kutoka ili aangalie mechi?
Lakini vipi kama hayo mashindano yakachelewa kwisha baada ya saa 7?
Ndio maana nauliza kuna ulazima haya mashindano kufanyika Lupaso?
N.B
Sina nia ya kukashifu Dini ya mtu.
Pitch itakua na hali gani !!!!?Watu wataingia bure lakini uwanja umekodiwa Watu waeshalipiwa kila Kitu Wetu waingie bure ndiyomana Wenye Uwanja hawezi kuyahairisha au kuyahamisha.
Hebu jaribu kufuatilia matangazo yao utaona Masponsor kibao pale wametoa mamilioni kulipia uwanja na Matangazo ya Moja kwa moja ya Television hivyo wanaosimamia Uwanja hawawezi kuhairisha kwasababu ya mechi ya mpira hata siku moja wakati kuna hela Cash wameshazinyaka wakichanganya na za mechi ya Simba tayari wameshanasa double payment hapo.
Ndugu uwanja ni Biashara hule.
Mziki Anaofanya Diamond hata Mimi na Wewe Tutaenda bila Kujali Imani zetu,Mpira Hivyo Hivyo hebu Niambie Hayo Mashindano Wataenda Watanzania wenye Imani tofauti. Kukodisha Uwanja wa Kitaifa Kufanya Shughulia Isiyo ya Kitaifa na Ikaacha Shughuli ya Kitaifa si Jambo JemaUpo sahihi Nchi haina Dini ndiyomana wale hawawakilishi Nchi bali ule uwanja wamekodi kama VENUE tu na sio sehemu ya Dini.
Hata Diamon anaweza kukodi uwanja ule ule kama VENUE akapiga show ya mziki ingawa nchi haina Mziki.
Ndiyo maana najivunia kuwa Mkatoliki. Tukiwa na shughuli zetu, tunafanyia kwenye makanisa yetu, au kwenye viwanja vinavyo zunguka hayo Makanisa.
Sasa hawa wenzetu, sijui wanakosea wapi!
Vyote vitajaa, kumbuka kuna mashindano ya Qur'an yalishafanyika kipindi cha Mwenda zake mgeni rasimi alikuwa Bwana Majaliwa, Mwendazaka alikuwa anafuatilia kupitia TV mubashara.Hapo dar si kuna viwanja viwili wangetumia usiohusika na mechi
Ratiba ya Mashindano kufanyika yalishapangwa kabla ya droo ya mechi ya Simba v/s Orlando haijapangwa.Tunajua sote jinsi mchezo huu ulivyo muhimu kwa Simba na Taifa kwa ujumla, ndio wa kwanza katika historia ya Nchi yetu kutumia teknolojia ya usaidizi wa Video kwa Mwamuzi (VAR).
Zaidi ya hayo Sheria za CAF zinataka uwanja kuwa wazi angalau saa 72 kabla ya mchezo.
Pamoja na kwamba Wanasema saa 7 kamili hao washindani wa Quran watatolewa kwa usaidizi wa Polisi...
Lakini naona kabisa hapa kuna lawama zinaenda kutengenezwa sisi Waswahili tunajijua katika kutunza muda.
Lakini vipi kama mtu akaingia then akagoma kutoka ili aangalie mechi?
Lakini vipi kama hayo mashindano yakachelewa kwisha baada ya saa 7?
Ndio maana nauliza kuna ulazima haya mashindano kufanyika Lupaso?
N.B
Sina nia ya kukashifu Dini ya mtu.
Kwani kipi kilianza!? Kunankimoja kimekuja ghafra..!? Simba na Wasauzi ilijulikana kabla, mashindano hayo vipi!?
Naanza kuona lawaza za UDINI zitaelekezwa kwa wasio waislamu
Kwa nini hufagilii ndugu ?Japo mimi siyafagilii mashindano yanayoendeshwa na huyu kishki
Ule ni awanja wa michezo sio dini unless kama Quran ni moja ya michezo
Unahisi nani alaumiwe,Lakini Uwanja ni kwa ajili ya Mpira,
Hata huko FIFA inajulikana ni uwanja wa mpira sio Dini..
Kwahiyo Busara hapo ingetumika walau yafanyike siku moja kabla au baada,
Lakini siku ya mechi hapa Kuna lawama zinaenda kutokea..
Takbiiir
Kuna main purpose na others, sasa uahirishe mpira kisa mashindano ya dini?Kwani Ngumi zinapochezwa kwenye uwanja wa Mpira unakuwa uwanja wa Boxing?
Au sherehe za Uhuru zikifanyika Uwanja wa Mpira unakuwa uwanja wa Gwaride?
Pitch itakua na hali gani !!!!?
Asiyekuwa na Imani hajalazimishwe aende! Asubiri mashindano ya Qur-an yamalize ataenda kuangalia mbungi.Mziki Anaofanya Diamond hata Mimi na Wewe Tutaenda bila Kujali Imani zetu,Mpira Hivyo Hivyo hebu Niambie Hayo Mashindano Wataenda Watanzania wenye Imani tofauti. Kukodisha Uwanja wa Kitaifa Kufanya Shughulia Isiyo ya Kitaifa na Ikaacha Shughuli ya Kitaifa si Jambo Jema
Shughuli Hii Wangeifanya Kwenye Misikiti Yao maana Ipo Mingi Tu na Inauwezo wa Kujaza Waumini wao tu bila Kuathiri burudani za Watu wasiokuwa na Imani Yao
Kuna main purpose na others, sasa uahirishe mpira kisa mashindano ya dini?
Hakuna anayesema hayana muhimu, Ila kwa nini lazima yafanyike uwanja wa Taifa yasifanyike hata uhuru?