Kuna Upigaji mkubwa sana kwenye Miradi ya Ujenzi hasa Barabara

Awamu hii hata flyover ni quality mbovu ukilinganisha awamu iliyopita
Magufuli ndo alikua bingwa wa barabara mbovu.... barabara nyingi zilizojengwa akiwa waziri na baadae Rais ni chini ya kiwango. Yule jamaa alikua mpigaji basi tu hii nchi ina vichwa vya panzi wengi sana.
 
Picha ulizoziweka hapo nyingi ni highway sio Barbara za vijijini za TARURA. Ingawa issues za usimamizi mbovu pia limo.
 
Viongozi waliopatikana kwa wizi wa kura lazima wataendeleza na kuusimamia wizi
 
Wananchi wa kawaida wengi wanakwambia angekuwepo hayati magufuli dsm nzima kungekua na lami.

Hata huu mradi wa majitaka unaoendelea ungekuwa na quality.hizi mwendokasi zinazoendelea kujengwa ilihali mabasi hakuna nazo zingekuwa na high quality kama ile aliyojenga strabag ila hawa wachina wanaokula ugali wa buku 3 washakuwa waswahili.
Na ukitaka kujua wachina matapeli kwenye ujenzi google sakata la pwc china. Pwc scandal china utaujua utapeli wa ma contractor na developer wa kichina
 
Wachina ni wahuni namba moja duniani.

Wanazipiga sana nchi zinazoendekeza rushwa kwa kuwajengea miradi ya hovyo isiyo na ubora ya chini ya kiwango.

Kiukweli barabara tunazotengenezewa na wachina hapa Tanzania ni vituko na takataka tu!

Utaziona bora kama umekulia kijijini na hujawahi toka nje ya Tanzania ambapo ndo wanajenga barabara zenye viwango. Kama umefika mataifa yanayojua namna ya kutumia vizuri kodi za wananchi katika miradi ya maendeleo barabara zetu utaziona ujinga tu
 
siku ukiyajua yanayoendelea huko kwenye hayo maujenzi ya kibongo unaweza kulia na kuzimia.....anyway MUNGU atusaidie
 
siku ukiyajua yanayoendelea huko kwenye hayo maujenzi ya kibongo unaweza kulia na kuzimia.....anyway MUNGU atusaidie
Weka wazi humu ndugu. Inabidi wajue kuwa tunajua madudu wanayoyafanya. Na kwa kuwa Jinai haiozi kuna siku wajue watapandishwa tu kizimbani kujibu mashtaka.
 
Weka wazi humu ndugu. Inabidi wajue kuwa tunajua madudu wanayoyafanya. Na kwa kuwa Jinai haiozi kuna siku wajue watapandishwa tu kizimbani kujibu mashtaka.
niliwahi kuandika humu kwenye mojawapo ya thread zangu na pia nilishawahi kukomenti mara kadhaa.....inasikitisha! Ndio maana wafanyakazi wetu wananyanyaswa na wachina mno na hakuna mtu wa kufanya kitu. Nikukumbushe tu, unajua kuwa viongozi wengi sio wote wengi wanajaziwa mafuta na wachina? DC, OCD na wengine,, akihitaji dieasel anapewa bure na mchina? Kwa ufupi, hakuna kitu cha bure mchina atakupa, ndio maana siku zile kwa mfano DC Gondwe aanpiga mkwara jamaa walikua wanacheka tu....inaumiza.
 
Ni hatari sana
 
Wachina watu wa hovyo sana.
 
Magu alipokua rais ndie aliewanyima strabag tender ya phase 2,wahindi sijui wachina aliowaleta brt phase 2 wamejenga stand mbaya na hata barabara ndio ya ovyo kupita maelezo
 
Kuanzia kimara hadi kibaha kiukweli hii ina kiwango cha hali ya juu mwamba alikua strick san
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…